Wednesday 3 October 2012

Re: [wanabidii] Mstaafu atapeliwa Mil 20 Tegeta

Je kama huu muamala baina ya dada yule na huyu Mama umefanyika ndani ya benki nafikiri kwa technolojia iliyopo kwenye mabebki kunauwezekano wa kumpata huyu dada kama hakuwa amajificha kiasi cha kutojulikana. Naamini kuwa CCTV za benki zimerekodi tukio hilo na hivyo vyombo vya usalama vinaweza kumsaidia mama huyu kupata huyo mwivi wake. Je ndugu wataalamu wa taaluma hiyo mnasemaje katika hilo?

Ken

2012/10/3 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
Huyo mama maisha yake ndio yamefika mwisho ni mpango huo. Madeni ya ujenzi atayalipaje. Atapagawa.
Hao huwa wana dawa za kienyeji. wakikusemesha ukijimu umeumia utamfuata tu. Ni kumwambia not interested ukaondoka usimsikilize ukajibishana nao. Wametapeliwa wengi na kuibiwa mlimaci city. Wanakaa na kuangalia watokao benki na bureau de change. Ukichukua pesa mlimani city na kuelekea vyooni-wanakufuata huko unakabwa au kutishiwa kisu anakupora anaingia hiyo milango humo wanajuana wenyewe hujui kaingilia upi.Unakuta mtu analia au amekaa ananyeshewa na mvua kazubaa hajielei keshaporwa. Au anajifanya mlisoma wote anakufahamu na kuwa yeye kwa sasa yupo Buzwagi, handeni au Tulawaka anashughulika na dhahabu ana mgodi. Mwambie humkumbuki-kitoe usiongee naye wanatumia nguvu za giza utaumia kama udini wako wa kujua Mungu wa kweli na kujitupa kwake mdogo. Pepo zao zitakufanya ukubali wanayokuambia.Na wala usipande gari wakisema inakwenda makongo bado mtu mmoja au wawili, wamekufuatilia hapo ukitoka bank wanataka wakupore kupitia vilift hivyo vya gari kwenda huko ambako usafiri ni tabu. Ni dunia nyingine kwa sasa, watu hawaogopi Mungu na hawana utu. utauawa kwa vijisenti.

From: Yona F Maro <oldmoshi@gmail.com>
To: Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Wednesday, 3 October 2012, 12:37
Subject: [wanabidii] Mstaafu atapeliwa Mil 20 Tegeta

Kuna mama mmoja mstaafu ametapeliwa mil 20 alizokua ametoa benki kwa
ajili ya ujenzi wa nyumba yake .

ILIVYOTOKEA

Mama ameingia benki akakutana na mdada mmoja amesimama pembeni  kama
mteja , ghafla huyu dada akamwambia Yule kwamba kuna watu wanauza
dhahabu nay eye  ana milioni 10 hapo alipo wachange wanunue hayo
madini .

Yule mama akaingia mkenge akamwamini Yule dada wakakubaliana kwenda
makumbusho kwa mchungaji wao kwa ajili ya kulipa na kupewa dhahabu .

Walipotoka nje gari likaja , Yule mama akaanza kupanda , Yule dada
akatokomea upande mwingine wa barabara na hela zote .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment