Thursday 4 October 2012

Re: [wanabidii] msaada wa mashine ya kuchimbia visima virefu

Wasiliana na Dam Drilling and Construction Agency (DDCA), iko chini ya Wizara ya Maji, Ubungo; mkabala na Rwegulira Institute of Water, kama unaelekea Chuo Kikuu Mlimani. Nimeshawatumia kuchimba visima viwili na vyote vinafanya kazi vizuri hadi leo hii. Wasiliana na Mr. Mdugi, Mob: 0764 616366.

Kilasara.

On Thu, Oct 4, 2012 at 11:37 AM, <gm26may@gmail.com> wrote:

Assegile kula kichwa hicho kaka

Usisahau tu % yangu maana cha 2 hiki

Just a joke pls
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: "Msuya, Yusuph (Bulyanhulu)" <YMsuya@africanbarrickgold.com>
Date: Thu, 4 Oct 2012 06:35:17 +0000
Subject: [wanabidii] msaada wa mashine ya kuchimbia visima virefu

Habari wanabidii naomba msaada kujua kama kuna mtu anafahamu bei ya driling machine au dealer yeyote anehusika na hizo machine.
nitashukuru sana.
y.msuya

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Fratern Kilasara,
P. O. Box - (Home): 62810; or (Office): 65300
Dar es Salaam - Tanzania.
Telephone (Office): +255 (0)22 2700021/4 Ext No. 239; Fax: +255 (0)22 2775591
Mobile (Personal): +255 (0)715 40 41 53 or +255 (0)754 40 41 53
Emails: kilasara.fratern@gmail.com or kilasara.fratern@yahoo.com

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment