Saturday 6 October 2012

Re: [wanabidii] MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!

Hivi Zanzibar hawana poverty katika rural areas? Au wao hawahitaji kuimprove service delivery?
em

On Sat, Oct 6, 2012 at 5:48 AM, <gm26may@gmail.com> wrote:

Wanapenda tu kuleta chokochoko kwenye kila kitu

Je wao wanavyopata misaada inayoelekezwa kwa nchi ya Kiislam tu sisi nasi twasemaje?

Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>
Date: Sat, 6 Oct 2012 12:40:37 +0300
Subject: Re: [wanabidii] MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!

Jamani ni wapi wanasema misaada hii inakwenda Tanzania bara? Mimi nilichokiona ni hiki "The German government has given to Tanzania over Euro 190 million (380bn/-)" sasa hapa Tanzania bara imetoka wapi?

On Fri, Oct 5, 2012 at 11:57 PM, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:
"The German government has given to Tanzania over Euro 190 million (380bn/-) for a period of three years 
to fight poverty and to improve service delivery, particularly in rural areas.
German ambassador to Tanzania Klaus-Peter Brandes said during the signing ceremony yesterday that the 
amount was the largest amount Germany has ever committed to support Tanzania in its development".

Dear All,
Jamani, hizi sio pesa kidogo. Bado tutakuwa hatujafika tu?
Hivyo Zanzibar inakuwa wanafaidika vipi kwenye misaada kama hii inayokuja Bara moja kwa moja?
Mwenye kujua atujuvye!

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 7520, Mwanza.
Cel: +255 782 315 688,
        +255 767 48 32 71,
        +255 719 451 850

Email: nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu

0 comments:

Post a Comment