Kaka Bariki,
>Isitoshe kwa asilimia wanayoipata lazima itakuwa kubwa sana kama ikilinganishwa katika misingi ya watumiaji (idadi ya watu)
Kaka, kumbe hujafahamu Wazanzibari wanalalamika nini siku zote hizi. Mimi nimewafahamu mapema sana, labda kwasababu wapo nyumbani na kila siku ninayasikia hayo hayo. Hivyo unavyoeleza wewe ndio kiini cha malalamiko yao. Tukubali kuwa, Muungano, day in day out unawasukuma nyuma Wazanzibari badala ya kuwasukuma mbele. You don't need to be a hardcore CUF member to know that - hata Bw. Makundi akikaa chini with two crates of Heineken and a cool mind na akafikiri vizuri badala ya mtu mzima kuropokwa ovyo atajua hivyo. Mimi mwenyewe ninaipenda Tanzania sana kama mtu mwengine yoyote yule na ninaomba tuendelee hivi hivi, lakini kama Muungano una-inhibit the progress of other people, then, let it go peacefully. Hata tukiuvunja Muungano (I know this is hard for Bw. Matinyi to imagine) tusiwafanyie ngumu Wazanzibari, bali tuwasaidie zaidi kuliko hivi sasa - as they are only looking for a better life na sio kutuhujumu sisi. They will always be our neighbours. Tukiwaachia ni kweli haitokuwa rahisi kwao - wao wanajua na sisi tunajua, but in the end they will prevail. 20 years out of the Union, Zanzibar will not be the same, but another 50 years in the Union it will continue (just like us) to wallow in misery and poverty!
/Nkumba.
From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, October 7, 2012 12:46:50 AM
Subject: Re: [wanabidii] MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!
Kuna Tume ya pamoja ya Fedha sasa kwa wasiojua wataishia kupiga kelele na kubwabwaja lakini wangejipa wajibu wa kuchunguza wangejua kwamba MKUZA na MKUKUTA unafanya kazi kwa ushirikiano. Ushauri wangu ni kwamba, wawaulize viongozi wao upande wa Zanzibar wawape taarifa kamili. Isitoshe kwa asilimia wanayoipata lazima itakuwa kubwa sana kama ikilinganishwa katika misingi ya watumiaji (idadi ya watu)
--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
On 7 October 2012 05:54, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:
> Hivi Zanzibar hawana poverty katika rural areas? Au wao hawahitaji kuimprove service delivery?
...bin Issa
From: Emmanuel Muganda <emuganda@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Saturday, October 6, 2012 11:15:37 AM
Subject: Re: [wanabidii] MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!
Hivi Zanzibar hawana poverty katika rural areas? Au wao hawahitaji kuimprove service delivery?
emOn Sat, Oct 6, 2012 at 5:48 AM, <gm26may@gmail.com> wrote:
Wanapenda tu kuleta chokochoko kwenye kila kitu
Je wao wanavyopata misaada inayoelekezwa kwa nchi ya Kiislam tu sisi nasi twasemaje?Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania NetworkFrom: Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>Sender: wanabidii@googlegroups.comDate: Sat, 6 Oct 2012 12:40:37 +0300ReplyTo: wanabidii@googlegroups.comSubject: Re: [wanabidii] MISAADA ITAVUNJA MUUNGANO!Jamani ni wapi wanasema misaada hii inakwenda Tanzania bara? Mimi nilichokiona ni hiki "The German government has given to Tanzania over Euro 190 million (380bn/-)" sasa hapa Tanzania bara imetoka wapi?
On Fri, Oct 5, 2012 at 11:57 PM, Said Issa <saidissa100@yahoo.com> wrote:--"The German government has given to Tanzania over Euro 190 million (380bn/-) for a period of three yearsto fight poverty and to improve service delivery, particularly in rural areas.
German ambassador to Tanzania Klaus-Peter Brandes said during the signing ceremony yesterday that theamount was the largest amount Germany has ever committed to support Tanzania in its development".Dear All,Jamani, hizi sio pesa kidogo. Bado tutakuwa hatujafika tu?Hivyo Zanzibar inakuwa wanafaidika vipi kwenye misaada kama hii inayokuja Bara moja kwa moja?Mwenye kujua atujuvye!
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Nicomedes M. Kajungu
P.O.Box 7520, Mwanza.
Cel: +255 782 315 688,
+255 767 48 32 71,
+255 719 451 850
Email: nicomedes76@gmil.com
Skype add: nkajungu

0 comments:
Post a Comment