Thursday 18 October 2012

RE: [wanabidii] Mh. Dk. Hamisi Kigwangallah Atangaza “Nia” Ya Urais Hapo 2025 - Mwanzo

Sawa kutangaza nia lakini hili tangazo lina tija?.  Its a joke kwa sababu is just too far na tangazo hili kama ni kweli halina relevance kwa mtu yeyote.  Kwani hatuna maswala ya kuyazungumzia ambayo yana tija kuliko hili la urais 2025?

Herment A. Mrema


Date: Thu, 18 Oct 2012 16:35:39 +0100
Subject: [wanabidii] Mh. Dk. Hamisi Kigwangallah Atangaza "Nia" Ya Urais Hapo 2025 - Mwanzo
From: kiganyi@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Akiwahutubia wananchi wa Nzega siku chache zilizopita  Mbunge wa jimbo la Nzega kupitia tiketi ya CCM Dkt Hamisi Kigwangalla ametangaza kuwa na ndoto za kuwania Urais 2025!  Dkt. Kigwangalla alisema:
http://wotepamoja.com/archives/9140#.UIAhpIMWoCs.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment