Thursday 4 October 2012

Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

Kim.
Mimi wala sitakuwa wa mwisho kukubali kwenda huko. Sikubali kwenda ICJ huko kuna ICI (injustice).
Hukumu imeishaandaliwa. Wazungu wahuni tu. Nilishangaa waafrica wenzangu wakiimba wimbo wa Gadafi dictator. Kwa sababu bwana mkubwa kasema. Hata sasa hivi Kikwete ataimbwa dictator kwa sababu kakataa kuheshimu hukumu ya ICI mnaiita ICJ. dawa ni moja Vijaqna wawahi Lilongwe.

--- On Thu, 10/4/12, De kleinson kim <dekleinson@gmail.com> wrote:

From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 4, 2012, 8:23 AM

Wazo la kwenda mahakama ya dunia tunalikubali, tuko tayari kukubali
maamuzi? Ninachoogopa mimi, wadhu>ru<ngu hao hao wasije tumia ICJ kama
muhur wa mwisho kuhalalisha ugomvi!!!

--
"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not
using his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa
Vinci

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment