Thursday 4 October 2012

Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

Nashukuru ndugu zangu kwa uchangiaji na ufafanuzi wa suala hili. Kweli kuna mambo hapa!Huhitaji kuwa rocket scientist au International Economic, Political and Military Strategist kuelewa kinacho endelea hapa. Mheshimiwa Banda alikuwa New York ktk mkutano wa UN. Kule kapewa sifa kem kem na wenzetu kuwa kiongozi shupavu katika bara hili! Immediately kurudi katoa tamko hilo! Je, tunashangaa nini kutoka kwa kauli ya Mheshimiwa huyu?
Nilikwisema kwenye jukwaa hili kuwa tuwe makini sana hapa kuna kitu. Huyu mama anatumiwa na kuna agenda ipo hapa! Waliotengeneza mipaka ni haohao wanataka mafuta hayo na ndio wanammwagia sifa kem kem kuwa kiongozi shupavu! Tanzania imekuwa kisiwa cha amani kwa muda mrefu. Hii ni sifa mbaya sana kwa wale walioishiwa resources! Hapa tutumie nguvu zote na raslimali watu katika nyanja husika tupate jawabu ya Ni Nani Yupo Nyuma ya huyu Mheshimiwa. Afrika ya Kusini wakati wa ubaguzi walifanya michezo hiyo hiyo na wakamtumia sijui mjomba au baba, babu yake huyu Mama walijibiwa vizuri sana! Lakini kwa kuwa wakati ule umepita tulitegemea kuongea tuelewana bila kuwahusicha mahakama ya Dunia au the final solution! Sasa kwa kuwa mheshimiwa kuvimbishwa kichwa basi tuende ICJ kwanza, baada ya hapo tujue lakufanya baada ya kuwa na takwimu za kutosha kuhusu usalama wa nchi yetu. Penye moshi pana moto, tuwe makini sana!
Mungu Ibariki Tanzania
Mungu Ibariki Afrika
Idriss Mussa
Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thu, 4 Oct 2012 01:35:41 -0700 (PDT)
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

nakubaliana nawe Songoro. Ila seriousness katika kuamua nini kifanyike inahitaji na TIMING pia. Bila kuuma maneno kudistabilise Malawi haihitaji kazi kubwa kwa Tanzania kama ikiwa established kuwa Banda anatumiwa. Na hii ni mbinu moja wapo ya ulinzi wa nchi. Nafikiri wahusika waliomo humu wanapaswa kuyakusanya na kuyafanyia kazi yanayosemwa humu ndiyo maana yanasemwa/yanaandikwa.

--- On Thu, 10/4/12, alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com> wrote:

From: alexander chipalazya <chipalazya@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 4, 2012, 1:17 AM

Tanzania ni nchi ambayo kwa sasa hivi nikubwa baada ya kuigawa Sudani ukiacha Congo. 
Every Western nation inatafuta namna ya kuvuruga amani ya nchi za Africa iliwaweze kupata mpenyo wa kuiba rasilimali kirahisi. 

Wamefanikiwa mahara pengi. Mfano south-Sudan, utaona  kwa sasa Nchi za umoja wa ulaya wanagawana ardhi ya South-Sudani kupita kawaida (is one of the hot spot of land grabbing in Africa). Wazungu hawajawahi kuwa generous hata sikumoja akikupa kitu nilazima awe anajua namna ya kukirejesha zaidi. So Madam banada anapaswa kuwa makini, maana wao wal Tz hatutafaidika na huo mgogoro. Yeye anazani akichukua ziwa atachimba mafuta na Malawi itafiadika.  

Nionavyo mimi huu mgogoro wa malawi na Tanzania juu ya mpaka kinaweza kikawa ni chambo kingine. Wazungu wanamambo mengi sana ya kijanja, but wanapiga mahesabu ya mbali. Wanajua wanachokifanya. Their backing madam Banda ndio maana ya kiburi chake chote.
We need to be careful before making any serous decision on this issue.  

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 4, 2012 9:45 AM
Subject: Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

Ipo haja ya kujiuliza 'Hutu binti anatumiwa na nani'. Tusipojiuliza tutashtukia anatokea. Kama Tanzania inasema sehemu fulani ya ziwa ni mali yake. Na mazungumzo yanalenga kumaliza hilo. Na kuwa kwa sababu kuna mazungumzo shughuli za utafiti wa mafuta katika eneo la mgogoro zisimame, alipata wapi ujasiri wa kufikiri kuwa wavuvi kutoka Malawi watavua kana kwamba hakuna mgogoro katika eneo hilo?.
Ipo haJA YA KUJUA NANI ANAMTUMIA NA KUJIANDAA KUKABILIANA NAYE KUPITIA HUYU BINTI AU KUMUONDOA mapema huyu binti kusudi anayemtumia akose pa kusimamia. na hii inawezekana.

--- On Wed, 10/3/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:

From: Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
Subject: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!
To: "Wanabidii googlegroups" <wanabidii@googlegroups.com>, "Mabadiliko" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>
Date: Wednesday, October 3, 2012, 6:56 PM

Kitwete bluffing! Fed up, Malawi suspends talks with Tanzania as border spat reaches 'next level'
Published on Wednesday, 03 October 2012 23:41
Written by RAPHAEL TENTHANI
BLANTYRE--Malawi President Joyce Banda has announced that Malawi was suspending dialogue with its northern neighbour Tanzania over the border dispute because the issue has gone "to the next level".
"It's now a big issue," Banda told a news conference Tuesday on arrival in Lilongwe from New York where she made her maiden appearance at the United nations.
"We wrote a letter to Tanzania protesting while at the United Nations."
Pres Banda said she has decided to call off the dialogue because her Tanzanian counterpart Jakaya Kikwete was bluffing her.
"My brother Kikwete that day on TV assured me (during talks on the sidelines of a Southern Africa Development Community [SADC] summit in Mozambique) that this is not a question to worry about because there was no question of war between Malawi and Tanzania," she said. "(But) when that statement was made President Kikwete said and I quote: 'Malawians are denying Tanzanians their right to their lake but at the same time our rivers flow into the lake.'"
Banda said following the Maputo talks with Kikwete she thought the issue could easily be resolved diplomatically but following Tanzania's actions she saw no point in the talks. She alleged that Malawian fishermen are being caught and harassed when they go to fish on the lake.
She also said she has information that Tanzania has deployed a gun-boat on the lake.
"We have received information that if our boat gets anywhere near the border they are going to blow it up," she said. "It wasn't a big issue, now it is. I (have therefore) asked the Foreign Affairs Minister to inform Tanzania that there is no point to continue the dialogue until this matter is resolved because I don't understand why our fishermen must be harassed and abused on the lake."
She added: "It's a very serious matter, now it has gone to the next level."
source: https://blu142.mail.live.com/default.aspx?id=64855#!/mail/InboxLight.aspx?n=1713586988!n=1630028300&view=1
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment