Friday 5 October 2012

Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

Dear Kim,
>wakishinda hatutakubali kupoteza haki yetu,
Tumuombe Mungu wasishinde, lakini wakishinda huko ICJ na kama wana-support ya wakubwa hatutoweza kufanya lolote, else tutawekewa vikwazo na Security Council kama Iran.
Pamoja na vikwazo hivyo mawaziri wa serikali yetu hawatoweza kutoka nje ya mipaka yetu na hatutoweza kufanya biashara ya nje. Watanzania wanaoishi nje watakuwa na maisha ya kunyanyaswa.
Ninachosema mimi ni kuwa, kama tunakubali kuenda huko ICJ basi tujue tunaweza kujakushindwa na kwahivyo tujue na mapema hayo ambayo yanaweza kutokea baadae tukiwapinga wakubwa. 
Kumuachia JK kuenda ICJ ni sawa na kumueleza kuwa tukishindwa ndio yamekwisha!
Kutegemea tukija kushindwa kujakuanza kutumia bunduki "itaifanya Tanzania a loser, hata wao watatuona hopeless kabisa' - kama utaniruhusu kutumia maneno ya Ndugu Lushengo.
Tanzania leo tunaheshimiwa Ulimwengu mzima kwa mengi na kujakukataa maamuzi ya ICJ itakuwa sawa na kuja kujivua nguo. Heshima yetu itapotea huko AU na kote kwengineko!
Tukiingia kwa nguvu leo Lilongwe na tukamuondoa Joyce Banda hakuna wakutueleza kitu, kwani kila mtu anajua kuwa tumestahamili kwa miaka mingi sana kungojea Lilongwe ipate Rais mwenye akili, 
lakini kwa bahati mbaya (nisamehe Dr Mbele) inaendelea kupata one political prostitute to another!
Tukitaka haki wakati ndio huu. Haki hatutoipata huko ICJ!!!
Mwenye uchungu wa nchi hii ajiunge na hii list hapa chini. Mwenye maneno matupu akae pembeni!

[1] Said Issa Othman
[2] Ali Said Issa
[3] Othman Said Issa
.
.
.
.

...bin Issa  


From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Friday, October 5, 2012 7:36:57 AM
Subject: Re: [wanabidii] Malawi wanatumia matusi sasa!

Said.
Loh!!! Hakuna la ziada zaidi ya kukaa macho! wakishinda hatutakubali
kupoteza haki yetu, wakishindwa hawatakubali kwa kiburi cha JB na
faida ya hao wanaomsukuma mstari wa mbele.
Ni kujipanga tu! kilichobaki tukatimize jukumu la kulinda mipaka yetu.

--
"Anyone who conducts an argument by appealing to authority is not
using his intelligence; he is just using his memory." Leonardo daa
Vinci

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.




0 comments:

Post a Comment