Saturday 13 October 2012

Re: [wanabidii] Malawi declares Tanzanian High Commissioner Persona Non-Grata - Mwanzo

Hiyo ripoti haikutungwa na JF. Ni mtandao wa Malawi uliotoa ripoti hiyo na JF kuinukulu.
em

2012/10/12 <nevilletz@gmail.com>
Hata mimi nimezungumza naye leo alfajiri na anasema yupo Lilongwe na anachapa mzigo kama kawaida.

Tsere anasema hajafukuzwa wala kupewa notice ya kufukuzwa licha ya kwamba jana jioni alizungumza na Katibu Mkuu wa Foreign ya Malawi kuhusu mambo kadhaa ya kiutendaji tu.

Taarifa hizo ni zimeandikwa kwenye mtandao wa Malawi Voice na yeye anakiri kuziona!
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Date: Sat, 13 Oct 2012 01:24:40 +0300
Subject: Re: [wanabidii] Malawi declares Tanzanian High Commissioner Persona Non-Grata - Mwanzo

hao JF wametunga tu

2012/10/13 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Jamiiforums wamezungumza na balozi Tsere amedai taarifa hizo si kweli!

Magiri, Paul.
www.wotepamoja.com

Tarehe 12 Oktoba 2012 10:46 alasiri, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> aliandika:

De kleinson,

Siku hizi hilo neno "siri" halipo duniani! Sasa hivi naweza kujua hata order ya mwisho iliyoagiza silaha za Malawi na nani mhusika na zilitoka wapi in a matter of a key stroke! Kwa kifupi siri haipo tena! Ukitaka kujua uwezo wa nchi kuvumilia vita, angalia foreign reserve zao na pia matumizi yao ya kijeshi kwenye bajeti ya nchi na idadi ya armed forces na per capita expenditure per unit under arms! Bajeti na taarifa za Malawi kwenye haya yote ni aibu tupu! Hawana jeshi kwa kifupi, wana kama FFU ya Tz!
Habari ndiyo hiyo!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: De kleinson kim <dekleinson@gmail.com>
Date: Fri, 12 Oct 2012 22:39:09 +0100
Subject: Re: [wanabidii] Malawi declares Tanzanian High Commissioner Persona Non-Grata - Mwanzo

Bravoo Kaka Tony,
Baaaaasi baba, yatosha usijewamwagia mpaka siri zetu bureeee,

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

0 comments:

Post a Comment