Friday 12 October 2012

Re: [wanabidii] Malawi declares Tanzanian High Commissioner Persona Non-Grata - Mwanzo

Bariki,

Kwa busara yangu, hata kuwa na ubalozi malawi ni kupoteza fedha za umma! Hatuuzi vitu vingi huko ukiacha kiwanda cha Bakresa, pili hatununui cha maana chochote ukiacha consumable for Mbeya and Ruvuma na Njombe regions!

Katika diplomasia ya karne hii, balozi wa Malawi (kama yupo) hapa Tz anatakiwa naye kuchapwa PNG kama walivyofanya! Baada ya hilo tunasogeza kikosi cha mizinga na anga katika maeneo na kuanza kurusha ndege za doria kwenye eneo leo la mpaka majini!

Kama anajua uchokozi, kuna siku ndege zinajifanya kupotea kidogo na kuingia kwenye airspace ya Malawi ili tuone anachoweza kukifanya! Nina hakika atalalamika kwa UN, AU au SADC organ, na kama ni mjinga, akafanya kosa la kupiga anti-aircraft batteries, then tunapiga mabomu miji kama 3 iliyo mwambao ya ziwa upande wa malawi!

Kwa historia ya malawi, watanyamaza kwa miaka mingine 20 bila ya kuwasumbua. Mkitaka msaada wa a war plan ninaweza kuwasaidia, bureee, bila malipo! Lakini ndilo litakalotokea! Wanabidii, oyeeee!
Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.

From: Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Fri, 12 Oct 2012 23:52:56 +0300
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Malawi declares Tanzanian High Commissioner Persona Non-Grata - Mwanzo

Hii sasa imekaa vibaya na wao ndiyo wanatangaza vita kwa mtizamo wangu

On 12 October 2012 23:45, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:

Reports coming from State House indicate that the Malawi Government has declared the Tanzanian High Commissioner to Malawi, Patrick Tsere, as a persona-non-grata.

This follows his interview with Zodiak Malawi where he made it crystal clear that part of Lake Malawi is owned by Tanzania.

The report just came hours after the president told the press in Lilongwe that she has called off the talks following reports that Tanzania had sent soldiers to patrol their alleged part of the lake.

The reports indicate that Tsere has been given 48 hours to leave Malawi.
http://wotepamoja.com/archives/8594#.UHiA3aLFGAA.gmail

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 



--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment