Friday 19 October 2012

Re: [wanabidii] Madai Ya Dkt Ulimboka “Ni Upuuzi Mtupu” – Ikulu - Mwanzo

Ninamkumbuka Squirrel wa Animal Farm. Nilikisoma zamani, sijui kama kinapatikana siku hizi, ningependa nikirudie.

--- On Fri, 10/19/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:

From: Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Madai Ya Dkt Ulimboka "Ni Upuuzi Mtupu" – Ikulu - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Friday, October 19, 2012, 7:37 AM

Haka katabia ka watu kuingia kwenye vikao na kukaa kimya ni ka kawaida kwa waswahili, akitoka nje utashangaa anavyochonga! utadhani ndo alikuwa mwenyekiti! lakini angezungumzaje wakati alikuwa hajapata balimi!!
"Kikwete alikwenda mbali zaidi na kusema hata Dk. Ulimboka mwenyewe alipokwenda Ikulu akiwa na viongozi wenzake alinyamaza kimya tu na kwamba waliokuwa wakizungumza ni wengine."

2012/10/19 Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dkt. Stephen Ulimboka, kusisitiza kwamba alitekwa na mtu anayefanya kazi Ikulu, Ramadhan Ighondu, Ikulu imehamanika na kujitetea kwamba madai hayo ni ya kipuuzi.
Jana Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alisisitiza: "Ikulu iliishajibu. Tulisema haihusiki, na Rais Jakaya Kikwete amepata kuzungumza juu ya jambo hili mara nyingi."
Rweyemamu, bila ya kufafanua zaidi alisema, "Naomba uninukuu; haya madai ni upuuzi… hiki kitu kilishajibiwa."

http://wotepamoja.com/archives/9235#.UIFiVMtWY5w.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment