Friday 19 October 2012

Re: [wanabidii] Madai Ya Dkt Ulimboka “Ni Upuuzi Mtupu” – Ikulu - Mwanzo

Kujibu ndiyo kutofanya? Ingekuwa kujibu maana sana kutofanya kitu
kusingekuwa na mtu yeyote kushtakiwa mahakamani huwa wanajitetea
hawakufanya na kisha ushahidi kuwatia hatiani. Sasa Ikulu kusema tu
"ni upuuzi" haina maana kwamba Dr Ulimboka hakuteshwa na mtu wa Ikulu
na kama anasema uwongo si Salva Rweyemamu amshtaki?

On 10/19/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
> SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dkt. Stephen
> Ulimboka, kusisitiza kwamba alitekwa na mtu anayefanya kazi Ikulu, Ramadhan
> Ighondu, Ikulu imehamanika na kujitetea kwamba madai hayo ni ya kipuuzi.
>
> Jana Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu, alisisitiza: "Ikulu
> iliishajibu. Tulisema haihusiki, na Rais Jakaya Kikwete amepata kuzungumza
> juu ya jambo hili mara nyingi."
>
> Rweyemamu, bila ya kufafanua zaidi alisema, "Naomba uninukuu; haya madai ni
> upuuzi… hiki kitu kilishajibiwa."
>
> http://wotepamoja.com/archives/9235#.UIFiVMtWY5w.gmail
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment