Thursday 4 October 2012

Re: [wanabidii] Lowassa Awatimulia Vumbi Sitta, Membe - Mwanzo

Lowasa, hamkahamka yake nzuri, lakini sina hakika na uadilifu wake, labda amtaje aliyenyuma ya Richmond. Pili najua uchumi utainuka na watanzania watakuwa na maisha fulani mazuri. Hii ni kwa sababu Lowasa anajiamini kutokea ndani, tuliyenaye anasuburi vitu na kundi la watu kumfanya ajiamini.
Lowasa anatamani wananchi wa kawaida kwa wingi wao wamseme kwa mazuri, huyu anasubiri wanywa kahawa, watu fulani, wamarekani na wazungu wengine.
Kuna kitu huwa kinapita kichwani kwang kuhusu lowasa na vyama vya upinzani,nadhani wana mawasiliano fulani na itakuwa kitu fulani, ebu tungoje muda ufike.

--- On Thu, 10/4/12, Daud Rwebangila <drwebangila@gmail.com> wrote:

From: Daud Rwebangila <drwebangila@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa Awatimulia Vumbi Sitta, Membe - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, October 4, 2012, 2:34 AM

kwa hali ya sasa ya CCM, itakuwa ngumu kupata  mtu wa kumzuia Lowassa ikiwa "taratibu za kawaida za kichama " zitatumika kumpata mgombea urais wa CCM 2015.Amepanga watu wake sawasawa na nafikiri anasupport toka "Juu".
Na Vyama vya upinzani wasifikiri itakuwa rahisi kumshinda katika uchaguzi mkuu ujao. Kama anaweza kungara katika chama chake, kuna uwezekano wa kungara pia kwa Watanzania kwa ujumla wao.
Lakini pia kuna uwezekano kwamba wengine kama hawatapata nafasi na wakaamua kutumia nguvu yao kubwa ambayo tayari wanayo kuungana na upinzani, basi bila shaka uhakika wa upinzani kushinda wakati huo utakuwa mkubwa.
Tusubiri tuone.
Daud
2012/10/4 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Hivi lazaro Sokoine yuko wapi? Anafanya nini? kwa garama za Nani?
Arudi haraka akaanzie alikoachia marehemu baba yake.

--- On Wed, 10/3/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:

From: mngonge <mngonge@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Lowassa Awatimulia Vumbi Sitta, Membe - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, October 3, 2012, 11:16 PM

Ngupula nimependa sentensi yako ya kwanza kwamba ''Kama ikiwa ni
lazima raisi atoke Ccm,na wagombea wakawa Sitta,Membe na Lowassa.
Nitamuomba Mungu kwa jinsi yeyote ile Lowassa ashinde kwa kishindo"

Mimi nasema si lazima atoke CCM maana tunao watu chungu mbovu wenye
upeo na udhubutu nje ya CCM wanaoweza kuongoza nchi vizuri. Lakini pia
kama kweli tutalazima kuwa waumini wa dini inayoitwa CCM bado tutaona
kwamba wapo vijana na wazee wengine wenye uwezo zaidi ya Lowassa,
Sitta na Membe. Sioni sababu ya kuiweka nchi rehani wakati tunayo
nafasi ya kuwachagua watu wenye uwezo na uzalendo zaidi ya hao

2012/10/3 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
>
> Ngoja nimnukuu Nyerere kwanza 'mtu anayetaka tumpe uraisi,ni lazima atuhakikishie kuwa anachukia rushwa.Na sio atuambie tu,bali HATA TUKIMTIZAMA USONI,TUTAMBUE KUWA ANACHUKIA RUSHWA.'.Kwa statement hii ina maana kuwa kiongozi mzuri ni yule mwenye uhusiano mzuri wa roho,akili na mwili wake. Akiwaza moyoni,akayatoa mdomoni,anaaminika kwa body language yake.Kiongozi wa jinsi hiyo,kwa kawaida huwa ana uwezo wa kuyasimamia anayoyaamini.Kinyume cha hapo ni usanii mtupu.Kwa kiswahili,tunasema yupoyupo tu.Halafu,ninapokuwa natoa maoni yangu  hata yakiwa kinyume cha mtu,sio kama namchukia mtu huyo au amenikosea mimi. Kiongozi ni kioo cha jamii. Wengine tunawaelewa watu beyond wanavyotaka tuwaelewe.Ngupula
>
>
>
> ------------------------------
> On Wed, Oct 3, 2012 7:57 PM EEST Dr. Hamisi A. Kigwangalla wrote:
>
>>Ngupula, hivi Membe ni msanii siyo? Alikufanyia nini?
>>
>>2012/10/3 Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
>>
>>>
>>> Kama ikiwa ni lazima raisi atoke Ccm,na wagombea wakawa Sitta,Membe na
>>> Lowassa. Nitamuomba Mungu kwa jinsi yeyote ile Lowassa ashinde kwa
>>> kishindo.Msani Membe atatufikisha wapi?a guy with no values,how can he
>>> become a good president? Ni heri zimwi ulijualo kuliko malaika wa
>>> kufikirika. Sitta he had a lot of time serikalini,but alishindwa kujenga
>>> trust kwa wananchi even at that age.Nashindwa kuamini chuki yake kwa
>>> mafisadi ni ya binafsi au kwa maslahi ya nchi.?Mungu ibariki
>>> Tanzania.Godfrey Ngupula
>>>
>>>
>>>
>>> ------------------------------
>>> On Wed, Oct 3, 2012 6:46 PM EEST mngonge wrote:
>>>
>>> >Nampongeza mheshimiwa kwa ushindi wa kishindo. Japo naomba nimjulishe
>>> >kwamba wapo wazee wengi ambao ni waanzilishi wa TAA hadi TANU na baadaye
>>> >CCM. Wamekaa pembeni na kuwaachia wengine kukijenga chama. Wapo vijana
>>> >ambao ni damu changa wenye sifa ya kuwakilisha Monduli pengine zaidi yake,
>>> >tunadumaza vipaji vyao kama tutaendelea kukaa madarakani milele.
>>> >Amekwishatoa mchango wake wa kutosha kwa wanamonduli na kwa watanzania
>>> >hivyo tutaendelea kumuenzi katika hilo lakini ili la kutotaka mwingine
>>> >aiongoze monduli bali yeye tu halikubaliki.
>>> >
>>> >Inaelekea mheshimiwa anayo hati miliki ya uongozi wa  wilaya ya Monduli,
>>> >hivyo yoyote anayeonekana kuingiza jina kugombea ni mchawi na msema
>>> >ovyoovyo kwake. Nakumbuka enzi za mzee Meborkine alivyokuwa mwenyekiti wa
>>> >halmashauri Monduli. Alijengewa uhasama mkubwa hadi kufikishana polisi na
>>> >mahakamani kisa ni kutofautiana na mheshimiwa. Jimbo la Monduli ni la
>>> >wakazi wote hivyo wakijitokeza wa kugombea nafasi za uongozi jifunzeni
>>> >ushindani siyo hizo kauli. Tuwaaje vijana nao waonyeshe vipaji vyao katika
>>> >uongozi siyo kuwakandamiza kwa vile tumekwishapata mtaji wa kucheza na
>>> >shida za watanzania
>>> >
>>> >2012/10/3 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>>> >
>>> > Urais maniac!!!!
>>> >
>>> > Felix
>>> >
>>> >
>>> > 2012/10/3 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>> >
>>> > Watanzania wa sasa wanao uwezo wa kujua udhaifu wa CCM wa kushindwa
>>> > kujivua gamba. watayavua magamba yatakapoletwa na chama hicho kugombea
>>> > nafasi nje ya chama. Sijui kama kweli watanzania ni au watakuwa
>>> > wadanganyika kiasi cha kutoujua ukweli au watakuwa na njaa kuuza uzawa
>>> wao
>>> > kama Esau.
>>> > Chama cha mapinduzi kinaelewa kuwa Chama ni Sera. Kikikumbatia viongozi
>>> > wahalifu kitakwisha kikiona (Nyerere alisema).
>>> > Sitegemei kijimalize kwa kuweka watu ambao ukweli ulioelezwa na
>>> wapinzani
>>> > wakiueleza sehemu iliyobaki utakimaliza kabisa. Kisifanye hivyo
>>> > --- On *Wed, 10/3/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com>* wrote:
>>> >
>>> >
>>> > From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
>>> > Subject: [wanabidii] Lowassa Awatimulia Vumbi Sitta, Membe - Mwanzo
>>> > To: wanabidii@googlegroups.com
>>> > Date: Wednesday, October 3, 2012, 5:25 AM
>>> >
>>> >
>>> >  KAMBI zinazosigana ndani ya CCM zinaonekana kuchuana vikali katika
>>> > uchaguzi wa ngazi ya wilaya ya chama hicho tawala, kuelekea Uchaguzi
>>> Mkuu
>>> > wa 2015, huku Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akionekana kupata
>>> > mafanikio, ikilinganishwa na mahasimu wake, Benard Membe na Samuel
>>> Sitta.
>>> > Kama ilivyo kwa Lowassa, Sitta ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika
>>> > Mashariki na Membe ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
>>> > Kimataifa, wamekuwa wakitajwa kuwa kwenye harakati za kuusaka urais,
>>> hivyo
>>> > uchaguzi wa ndani wa CCM ni fursa ya kupanga safu za kufanikisha
>>> mikakati
>>> > hiyo. Lowassa binafsi tayari amepita katika kinyang'anyiro hicho kwa
>>> > kuchaguliwa kwa kishindo kuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC)
>>> ya
>>> > CCM kupitia Wilaya ya Monduli.
>>> > Jana mbunge huyo wa Monduli alitoa kauli kali akisema kuwa wapo watu
>>> > wanaovuruga CCM katika Wilaya ya Monduli na kwamba tayari amewabaini,
>>> hivyo
>>> > kuahidi kwamba watashughulikiwa kisiasa. "Yako maneno ya ovyoovyo
>>> yamekuwa
>>> > yakipikwa ya kuwaandama viongozi wa CCM Monduli, yanasemwa na wakubwa
>>> > fulani, yanapikwa na watu fulani wa Monduli, tunawajua. Nataka kuwaambia
>>> > tumewajua na nawaambia hawatuwezi," alitamba Lowassa. Lowassa alisema
>>> > ushindi alioupata umedhihirisha kuwa ana misuli ya kisiasa na kwamba
>>> wakazi
>>> > wa Monduli ndiyo msuli huo.
>>> >
>>> > http://wotepamoja.com/archives/7948#.UGwubM5eg3w.gmail
>>> > --
>>> > Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> > Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> > Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>> >
>>> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> > ukishatuma
>>> >
>>> > Disclaimer:
>>> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> > legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> > must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> > agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.

>>> legal
>>> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be
>>> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >
>>> >--
>>> >Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> >Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> >Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>> >
>>> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>> >
>>> >Disclaimer:
>>> >Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>> >
>>> >
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>>
>>--
>>"Vision is the ability to see the invisible!"
>>Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
>>P.O.Box 22499,
>>Dar es salaam.
>>Tanzania.
>>Phone No: +255 754 636963
>>                +255 782 636963
>>website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
>>Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
>>Skype ID: hkigwangalla
>>Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>>
>>--
>>Karibu Jukwaa la www.mwa
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment