Wednesday 3 October 2012

Re: [wanabidii] Lowassa Awatimulia Vumbi Sitta, Membe - Mwanzo

Nampongeza mheshimiwa kwa ushindi wa kishindo. Japo naomba nimjulishe kwamba wapo wazee wengi ambao ni waanzilishi wa TAA hadi TANU na baadaye CCM. Wamekaa pembeni na kuwaachia wengine kukijenga chama. Wapo vijana ambao ni damu changa wenye sifa ya kuwakilisha Monduli pengine zaidi yake, tunadumaza vipaji vyao kama tutaendelea kukaa madarakani milele. Amekwishatoa mchango wake wa kutosha kwa wanamonduli na kwa watanzania hivyo tutaendelea kumuenzi katika hilo lakini ili la kutotaka mwingine aiongoze monduli bali yeye tu halikubaliki.

Inaelekea mheshimiwa anayo hati miliki ya uongozi wa  wilaya ya Monduli, hivyo yoyote anayeonekana kuingiza jina kugombea ni mchawi na msema ovyoovyo kwake. Nakumbuka enzi za mzee Meborkine alivyokuwa mwenyekiti wa halmashauri Monduli. Alijengewa uhasama mkubwa hadi kufikishana polisi na mahakamani kisa ni kutofautiana na mheshimiwa. Jimbo la Monduli ni la wakazi wote hivyo wakijitokeza wa kugombea nafasi za uongozi jifunzeni ushindani siyo hizo kauli. Tuwaaje vijana nao waonyeshe vipaji vyao katika uongozi siyo kuwakandamiza kwa vile tumekwishapata mtaji wa kucheza na shida za watanzania

2012/10/3 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Urais maniac!!!!

Felix

2012/10/3 ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
Watanzania wa sasa wanao uwezo wa kujua udhaifu wa CCM wa kushindwa kujivua gamba. watayavua magamba yatakapoletwa na chama hicho kugombea nafasi nje ya chama. Sijui kama kweli watanzania ni au watakuwa wadanganyika kiasi cha kutoujua ukweli au watakuwa na njaa kuuza uzawa wao kama Esau.
Chama cha mapinduzi kinaelewa kuwa Chama ni Sera. Kikikumbatia viongozi wahalifu kitakwisha kikiona (Nyerere alisema).
Sitegemei kijimalize kwa kuweka watu ambao ukweli ulioelezwa na wapinzani wakiueleza sehemu iliyobaki utakimaliza kabisa. Kisifanye hivyo
--- On Wed, 10/3/12, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:

From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Lowassa Awatimulia Vumbi Sitta, Membe - Mwanzo
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Wednesday, October 3, 2012, 5:25 AM

KAMBI zinazosigana ndani ya CCM zinaonekana kuchuana vikali katika uchaguzi wa ngazi ya wilaya ya chama hicho tawala, kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015, huku Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akionekana kupata mafanikio, ikilinganishwa na mahasimu wake, Benard Membe na Samuel Sitta.
Kama ilivyo kwa Lowassa, Sitta ambaye ni Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Membe ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, wamekuwa wakitajwa kuwa kwenye harakati za kuusaka urais, hivyo uchaguzi wa ndani wa CCM ni fursa ya kupanga safu za kufanikisha mikakati hiyo. Lowassa binafsi tayari amepita katika kinyang'anyiro hicho kwa kuchaguliwa kwa kishindo kuwa mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM kupitia Wilaya ya Monduli.
Jana mbunge huyo wa Monduli alitoa kauli kali akisema kuwa wapo watu wanaovuruga CCM katika Wilaya ya Monduli na kwamba tayari amewabaini, hivyo kuahidi kwamba watashughulikiwa kisiasa. "Yako maneno ya ovyoovyo yamekuwa yakipikwa ya kuwaandama viongozi wa CCM Monduli, yanasemwa na wakubwa fulani, yanapikwa na watu fulani wa Monduli, tunawajua. Nataka kuwaambia tumewajua na nawaambia hawatuwezi," alitamba Lowassa. Lowassa alisema ushindi alioupata umedhihirisha kuwa ana misuli ya kisiasa na kwamba wakazi wa Monduli ndiyo msuli huo.

http://wotepamoja.com/archives/7948#.UGwubM5eg3w.gmail
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment