Tuesday 9 October 2012

Re: [wanabidii] Lake Malawi saga, let Tanzania arrest Joyce Banda

Hapa naona tunapiga soga tu kwa vihadithi kwa kusikilizia kwa masikio ya kupiga chabo. Sidhani kama Joyce Banda kasema lolote kati ya mnayomsingizia. Mwanfwi wa haya ni kauli ya Mhe. Dk Kikwete, ambaye hajaonekana kuhamanishwa na kitu kulingana na kauli zake juu ya hili. Meaning, hata huyo Banda mwenyewe hana mwelekeo wa hiki mnachokizungumza. Acheni itifaki za kimataifa zifanye kazi, majibu yapatikane na amani itawale pande zote tule mema ya nchi.
 
Hizi kauli za kuhamasishana kuvua nguo na kupigana, si wote mnaozishabikia mnaojua hata kukoki bunduki, achilia mbali kuibeba na kukimbia nayo.

--- On Mon, 10/8/12, Tumaini J <tumaini2006@gmail.com> wrote:

From: Tumaini J <tumaini2006@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Lake Malawi saga, let Tanzania arrest Joyce Banda
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Monday, October 8, 2012, 4:25 AM

Vita havina maslahi. Hii vita Sii Kati ya Tanzania na malawi. Bali Kati ya Tanzania na uingereza kwa sababu ndiyo wanaotaka kuchimba mafuta!

Na hao wazungu wana njia mbili za kunufaika. Njia ya kwanza ni kurudisha Ziwa nyasa Malawi ili wazungu wachimbe mafuta kwa uhuru.

Njia ya pili Ni kupitia vita Kati ya Tanzania na Malawi. Watauza silaha kwa mataifa yote mawili na vita haitakuwa Nyepesi Kama tunavyodhani. Na hizo silaha tutauziwa kwa bei kubwa na mikopo yenye riba kubwa sana. Na baada ya vita tutakuwa hatuna akiba ya kulipa hata mishahara. Na hapo ndipo wazungu watatawala tena Nchi yetu maana watasema Kama hamwezi kutupa hela yetu, basi tuachieni mwadui mine, tanzanite mine, national parks etc

We should be careful! It's better to release lake nyasa to Malawi than going to war

Sent from my iPhone

On 5 Okt 2012, at 8:04 alasiri, Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

>
>
>
> True,sio ushauri mzuri,utakuwa ni uamzi wa jazba na utaikosha serikali mapato.
>
> ------------------------------
> On Fri, Oct 5, 2012 14:44 EEST Lushengo Lutinwa wrote:
>
>> Lwegasira,
>>
>> Ushauri wako haupo sahihi, a minor issue like this cannot lead to such
>> action. Ingawaje operation nyingi pale zina Tax exemption lakini mapato
>> yanayopatikana kutokana na port charges na delivery services ni makubwa.
>> Kumbuka ukisema wafunge MCC hautakuwa umewakomoa, wana option ya Msumbiji
>> na SA.
>>
>> Uamuzi wako itaifanya Tanzania a loser, hata wao watatuona hopeless kabisa.
>>
>> Lushengo
>>
>>
>> On Fri,  naOct 5, 2012 at 2:19 PM, Peter Lwegasira <petermakatu@yahoo.com>wrote:
>>
>>> Wadau,
>>>
>>> Pale Kurasini, Dar es Salaam kuna bohari kubwa sana ya mafuta masafi ya
>>> petroli na mizigo mingine inaitwa Malawi Cargo Centre. Jina hili linatokana
>>> na bohari hii kuendesha na kampuni inayoitwa Malawi Cargo Centre Limited,
>>> Kampuni hii inamilikiwa na serikali ya Malawi. Mizigo yote ya serikali ya
>>> Malawi na watu binafsi na mashirika mengine ya nchini Malawi inayopitia
>>> bandari ya Dar es Salaam inatunzwa kwenye bohari hii. Mimi napendekeza kwa
>>> kuanzia serikali yetu ifunge shughuli zote za bohari hii ikiwa ni jibu kwa
>>> Rais Joyce Banda wa Malawi kwa tamko lake mpaka hapo kesi yake dhidi ya
>>> serikali yetu itakapokwisha huko ICJ.
>>>
>>> Lwega
>>>
>>>  ------------------------------
>>> *From:* Deodatus Balile <deobalile@yahoo.com>
>>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>>> *Sent:* Wednesday, October 3, 2012 4:04 PM
>>> *Subject:* Re: [wanabidii] Lake Malawi saga, let Tanzania arrest Joyce
>>> Banda
>>>
>>> In life we learn through examples. Most of the time, I normally support
>>> less of US missions to overthrow legitimate leaders.
>>>
>>> I'm one of those pained by the regime decline of Saddam Hussein, Col.
>>> Mohammar Gadaffi, Hossin Mubarak, Manuel Noriega, to mention a few.
>>>
>>> But when it comes to living with nuisencical leader like Joyce Banda, I
>>> find myself inclined to join Mobhare Matinyi and Tony, hence left without
>>> option.
>>>
>>> Let's (Tanzania) replace (overthrow)Joyce Banda for not only our interests
>>> as a nation, but also in the name of peace and security for SADC region.
>>>
>>> For quite some time we are not used to uncultured presidents like the one
>>> we are witnessing I Malawi now.
>>>
>>> Kanali Bakari shook the matchbox we taught him a lesson. I think it is
>>> time to restore peace, harmony and tranquility in the region by doing away
>>> with this stubborn president.
>>>
>>> Balile
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>> ------------------------------
>>> *From: * lilian.ruga@yahoo.com
>>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Date: *Wed, 3 Oct 2012 09:49:02 +0000
>>> *To: *<wanabidii@googlegroups.com>
>>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Subject: *Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>
>>> Ujinga wetu Pius umekwenda mbali mno! Wakenya wamenunua mashamba hadi
>>> milima ya Iringa, Mtwara, Lindi beach na mikorosho wanamaliza! Mbao Muheza
>>> na Amani kwishaaa! Tutajibu nini vizazi vijavyo? Tulishangaa mikataba ya
>>> mangungu na sie mafuvu yetu yatapelekwa kuchunguzwa ili kujua kama tulikuwa
>>> na akili timamu!
>>> Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>>> ------------------------------
>>> *From: * Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>
>>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Date: *Wed, 3 Oct 2012 07:25:39 +0100 (BST)
>>> *To: *wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Subject: *Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>
>>> Tony,
>>>
>>> Nategemea kwa matamshi haya ya Banda, JK atatoe tamko zito. Tamko limulike
>>> hata majirani wengine wenye macho ya husuda na ardhi ya Tanzania. Tumekuwa
>>> soft mno. Angalia misitu inavyoisha kule Karagwe na Ngara! Kilimanjaro na
>>> Serengeti nazo zinaneemesha watani wetu kuliko tunachookota sie. Ifike
>>> wakati viongozi wetu tuliowachagua tena kwa utashi wetu watuonyeshe watz
>>> kwamba kweli uchaguzi wetu ulikuwa sahihi! Kwamba wanaweza kutuongoza
>>> vizuri kulinda nchi yetu na masirahi yetu.
>>>
>>>
>>>  ------------------------------
>>> *From:* Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>>> *Sent:* Wednesday, 3 October 2012, 9:13
>>> *Subject:* Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>
>>> Pius,
>>>
>>> Sisi waTz huwa mazezeta kwelikweli! Inabidi ifike wakati Kenya tuwaambie
>>> kuuza mmlima wetu inabidi walipe royalty na tufunge mpaka wote ili watalii
>>> wakitaka kuja kuona mlima wapitie Uganda au zanzibar au kwa ndege!
>>>
>>> Ujinga wetu ndio umefanya Malawi kujiaminisha kuwa ziwa lote ni la kwao!
>>> Hivi kweli Malawi watasemaje hivyo wakati kuna taarifa ya mabonde (Great
>>> Lakes Basins), mito na maziwa zinatamka na wao kujua kuwa maji karibu
>>> asilimia 63 yanatoka milima ya Livingston, Lukumburu, njombe, Ludewa,
>>> mbinga, Songea, mito na maji ya mvua ndani ya mipaka ya Tz ziwani!
>>>
>>> Wakileta kichaa sasa tutalichukua ziwa lote, yaani tunabadili mipaka iwe
>>> upande wa magharibi mwa ziwa, tuone kama wataona sawa!
>>> Leo tunaweza kuanzisha man-made inland lakes upande wa Tz na ziwa
>>> litanyauka kwa asilimia isiyopungua 70. Maana ziwa hilo linapata asilimia
>>> karibu 42 ya maji ya mito upande wa Tz, 21 ya maji ya mvua ziwani, na 27 ya
>>> maji ya mito na mvua upande wa malawi!
>>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de Bell.
>>> ------------------------------
>>> *From: * Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>
>>> *Sender: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Date: *Wed, 3 Oct 2012 06:45:01 +0100 (BST)
>>> *To: *wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>>> *ReplyTo: * wanabidii@googlegroups.com
>>> *Subject: *Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>
>>> Kwa mtaji huu inabidi tuwe macho hata na hawa watani wetu wa jadi
>>> wanaotumia utalii kutanganza mlima Kilimanjaro uko kwao! Yule mama Banda
>>> katangaza rasmi kuwa hataki tena mazungumzo! Hana imani na Tanzania. Hana
>>> imani na JK eti wtz tumezindua ramani mpya na kufukuza wavuvi wamalawi.
>>> Katumwa, sasa naona anachotafuta wakati muafaka umefika wa kumpa. Kalewa
>>> madaraka. Wtz tuweni makini, lazima kuna agenda za kikoloni zinatengenezwa.
>>> Banda mkubwa alitambulika ukanda wetu huu kama kibaraka. Ni jadi yao hawa,
>>> hatuna haja ya kupoteza muda kujadiliana nao! Dawa ya kibaraka ni
>>> kumshughulikia kabla hata hajaota mbawa za kutosha.
>>>
>>>
>>>  ------------------------------
>>> *From:* Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>>> *To:* wanabidii@googlegroups.com
>>> *Sent:* Tuesday, 2 October 2012, 23:29
>>> *Subject:* Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>
>>> Ukweli ni kwamba hapa tulipofika tumepatengeza wenyewe kwa kuwakubalia
>>> Wamalawi katika mambo ya Ziwa hilo.
>>>
>>> Walianza kwa kubadili jina kutoka jina la asili la Nyasa ambalo
>>> linajumuisha wote wanaopakana na hilo Ziwa na kuliita Malawi wakiengua
>>> upande wa Tanzania, tulikaa kimya na kuwapigia makofi.
>>>
>>> Walitengeza ramani zenye kuonyesha mpaka kuwa ufukwe wa Tanzania, nasi
>>> tukazitumia pasipo kuhoji!!!
>>>
>>> Malawi walihakikisha kizazi cha sasa kisifahamu lolote kuhusu jina la
>>> Nyasa na mpaka kuwa katikati ya ziwa, walielewa walichokuwa wakifanya,
>>> wakati sisi tukiwa hatuelewi tunataka nini.
>>>
>>> Imefika wakati Jumuiya za Kimataifa zinatambua hivyo, na hata miradi ya
>>> kiuchumi inayohusu ziwa hilo, wenye kunufaika ni Malawi, kwa upande wetu
>>> hata miradi hukataliwa na taasisi za nje, labda huo mradi uhusishe na
>>> wamalawi.
>>>
>>>
>>> Tumelea wenyewe!!
>>>
>>> On 2 October 2012 23:19, Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com
>>>> wrote:
>>>
>>> safi sana, msimamo wangu kwa hakika unafanana na wa kwako, na kwa kweli
>>> demokrasia ikishindwa - twende vitani tu tuwatandike nduli hawa chini ya
>>> uongozi wa yule mama mkaidi anayeitwa Nduli Grace
>>>
>>>
>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 11:14 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>wrote:
>>>
>>>
>>> Dkt. Kigwangalla,
>>>
>>> Usiwe na shaka, hatutaki vita na tutafanya mazungumzo mpaka mwisho,
>>> ikishindikana zitapigwa. Kuna Wakurya kama laki mbili - vijana watupt na
>>> hawana
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment