Saturday 6 October 2012

Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

Maurice,
How about this, let Kenya take Migingo, and offer Uganda a passage to the sea, then we will follow suit.
Matinyi.



T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
Date: Sat, Oct 6, 2012 12:35 pm


Mike,

You are providing a wrong comparison. In other words, you're advancing
a  false argument. The comparison to eyes and arms does not fit.

International norms now recommend that water bodies such as Nyasa,
Tanganyika and Victoria be shared equally between the associated
countries. That is how Canada and US now share the Great Lakes.

But the fact is that Lake Nyasa legally belongs to Malawi for now. The
best outcome here would be that the Lake is shared equally between Tz
and Malawi but Malawi is offered something in exchange. A passage to
the sea would be a good offer.

Courage



On 10/6/12, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
> Can you give one of your eye to someone in order to save your hand to be
> chopped off.
>
>
> ________________________________
>  From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Saturday, 6 October 2012, 8:55
> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>
> Shedrack,
>
> why don't you guys give Malawii a passage to the sea in exchange for
> part of the lake you're claiming? I think that would be a fitting and
> mature compromise.
>
> Courage
>
>
>
> On 10/6/12, shedrack maximilian <shedrack_maximilian@yahoo.co.uk> wrote:
>> Tony
>> Sijui ujinga wa watz uko wapi katika huu mgogoro!? Be specific
>>
>> lakini kuhusu Malawi kudepend Kwa waingereza au yeyote yule kuhusu kwamba
>> ziwa ni lao mimi naona ni uwezo mdogo wa kufikiri ,Wale wapo tu
>> kuchonganisha mara zote.Wkumbuke kuwa Malawi sawa na Tanzania ni nchi
>> zinazokua na watu wake ni masikini sana na hivyo kusema kweli hatuitaji
>> kutumia pesa kupigana vita ambayo kwa hakika itawaua na kuharibu mali za
>> hao
>> watu wetu masikini.Kama hawatakaa katika mazungumzo shauri yao,Tutaingia
>> katika vita  ,tutaumizana na mwisho wa siku tutakaa katika meza
>> kuzungumza
>> .wazungu hawataweza kuwasaidia chochote kile na wala hawana rasilimali za
>> kuwafanya wazungu wasimame upande wao kwasabau wako kwa ajili ya masilahi
>> yao.
>> Jamani mama Banda utaumiza watu wako jama!!
>>
>> Shedrack Maximilian
>>
>> B.Sc. Env.Health Science
>>
>> Bagamoyo District Council, Tanzania
>>
>> shedrack_maximilian@yahoo.co.uk
>>
>> +255(0754)944-504
>>
>> +255(0715)844-504
>>
>> --- On Wed, 3/10/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
>>
>> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Wednesday, 3 October, 2012, 7:13
>>
>> Pius,
>>
>> Sisi waTz huwa mazezeta kwelikweli! Inabidi ifike wakati Kenya tuwaambie
>> kuuza mmlima wetu inabidi walipe royalty na tufunge mpaka wote ili
>> watalii
>> wakitaka kuja kuona mlima wapitie Uganda au zanzibar au kwa ndege!
>>
>> Ujinga wetu ndio umefanya Malawi kujiaminisha kuwa ziwa lote ni la kwao!
>> Hivi kweli Malawi watasemaje hivyo wakati kuna taarifa ya mabonde (Great
>> Lakes Basins),  mito na maziwa zinatamka na wao kujua kuwa maji karibu
>> asilimia 63 yanatoka milima ya Livingston, Lukumburu, njombe, Ludewa,
>> mbinga, Songea, mito na  maji ya mvua ndani ya mipaka ya Tz ziwani!
>>
>> Wakileta kichaa sasa tutalichukua ziwa lote, yaani tunabadili mipaka iwe
>> upande wa magharibi mwa ziwa, tuone kama wataona sawa!
>> Leo tunaweza kuanzisha man-made inland lakes upande wa Tz na ziwa
>> litanyauka
>> kwa asilimia isiyopungua 70. Maana ziwa hilo linapata asilimia karibu 42
>> ya
>> maji ya mito upande wa Tz, 21 ya maji ya mvua ziwani, na 27 ya maji ya
>> mito
>> na mvua upande wa malawi!
>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de
>> Bell.From:  Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>
>> Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Wed, 3 Oct 2012 06:45:01 +0100 (BST)To:
>> wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
>> wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>> Kwa mtaji huu inabidi tuwe macho hata na hawa watani wetu wa jadi
>> wanaotumia
>> utalii kutanganza mlima Kilimanjaro uko kwao! Yule mama Banda katangaza
>> rasmi kuwa hataki tena mazungumzo! Hana imani na Tanzania. Hana imani na
>> JK
>> eti wtz tumezindua ramani mpya na kufukuza wavuvi wamalawi. Katumwa, sasa
>> naona anachotafuta wakati muafaka umefika wa kumpa. Kalewa madaraka. Wtz
>> tuweni makini, lazima kuna agenda za kikoloni zinatengenezwa. Banda
>> mkubwa
>> alitambulika ukanda wetu huu kama kibaraka. Ni jadi yao hawa, hatuna haja
>> ya
>> kupoteza muda kujadiliana nao! Dawa ya kibaraka ni kumshughulikia kabla
>> hata
>> hajaota mbawa za kutosha.
>>
>>
>>         From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>>  To: wanabidii@googlegroups.com
>>  Sent: Tuesday, 2 October 2012, 23:29
>>  Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>
>> Ukweli ni kwamba hapa tulipofika tumepatengeza wenyewe kwa kuwakubalia
>> Wamalawi katika mambo ya Ziwa hilo.
>>
>> Walianza kwa kubadili jina kutoka jina la asili la Nyasa ambalo
>> linajumuisha
>> wote wanaopakana na hilo Ziwa na kuliita Malawi wakiengua upande wa
>> Tanzania, tulikaa kimya na kuwapigia makofi.
>>
>>
>> Walitengeza ramani zenye kuonyesha mpaka kuwa ufukwe wa Tanzania, nasi
>> tukazitumia pasipo kuhoji!!!
>>
>> Malawi walihakikisha kizazi cha sasa kisifahamu lolote kuhusu jina la
>> Nyasa
>> na mpaka kuwa katikati ya ziwa, walielewa walichokuwa wakifanya, wakati
>> sisi
>> tukiwa hatuelewi tunataka nini.
>>
>>
>> Imefika wakati Jumuiya za Kimataifa zinatambua hivyo, na hata miradi ya
>> kiuchumi inayohusu ziwa hilo, wenye kunufaika ni Malawi, kwa upande wetu
>> hata miradi hukataliwa na taasisi za nje, labda huo mradi uhusishe na
>> wamalawi.
>>
>>
>>
>> Tumelea wenyewe!!
>>
>> On 2 October 2012 23:19, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
>> <hkigwangalla@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> safi sana, msimamo wangu kwa hakika unafanana na wa kwako, na kwa kweli
>> demokrasia ikishindwa - twende vitani tu tuwatandike nduli hawa chini ya
>> uongozi wa yule mama mkaidi anayeitwa Nduli Grace
>>
>>
>>
>> On Tue, Oct 2, 2012 at 11:14 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> Dkt. Kigwangalla,
>>
>>
>>
>> Usiwe na shaka, hatutaki vita na tutafanya mazungumzo mpaka mwisho,
>> ikishindikana zitapigwa. Kuna Wakurya kama laki mbili - vijana watupt na
>> hawana kazi baada ya migodi yao ya dhahabu kuporwa na wawekezaji na
>> ng'ombe
>> kuibiwa na majambazi; hawa ukitangaza vita watakuja kama mvua, achilia
>> mbali
>> tulioko huku majuu, tutarudi wote golini tujazane. Hebu fikiria kila mkoa
>> ukitoa vijana wake laki moja wasiokuwa na kazi itakuwaje? Tutawapiga
>> washikaji zetu kwa kutembea na miguu na bakora bila bunduki, na hatumui
>> mtu,
>> ni bakora tupu ila baraa lote la mawaziri tutawachukua tuje nao huku
>> mjini,
>> tuwarundike Keko.
>>
>>
>>
>>
>>
>> Mmarekani mmoja, sasa balozi mstaafu baaa ya kulitumikia jeshi pia na
>> kufanya kazi ya kufundisha Wakenya, aliniambia kwamba wakati Watanzania
>> wanaingia Uganda yeye alikuwa kijana mdogo akifanya kazi na wamisionari.
>> Anasema miaka yote aliyokuwa jeshini Marekani alikuwa anawakumbuka wale
>> Watanzania jinsi walivyokuwa na nidhamu ya kijeshi na jinsi walivyowaua
>> Walibya. Anasema kwamba rekodi hazisemi ukweli kuwa eti walikufa Waarabu
>> 600
>> tu, anasema Kampala peke yake walizidi 1,000. Anasema Watanzania ni
>> habari
>> nyingine kabisa.
>>
>>
>>
>>
>>
>> Hatutaki vita lakini lazima ziwa tulidhibiti; iwe isiwe.
>>
>>
>>
>> Matinyi.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> Date: Tue, 2 Oct 2012 23:06:28 +0300
>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>> From: hkigwangalla@gmail.com
>>
>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Felix, ninachokumbuka tu ni kwamba nilikula samaki mtamu anayeitwa Mbasa
>> kwa
>> ndizi safi za mbeya...and notable was the way yule samaki na yule kuku
>> alivyokuwa amechoma...
>>
>>
>> utamu wa samaki yule maalum kwa ajili ya wageni wanaokuja kule mwambao wa
>> ziwa Nyasa ni yule samaki, na nitakuwa tayari kushiriki vita ya
>> kulikomboa
>> lile Ziwa ili wajukuu zangu waendelee kula Mbasa maisha yao yote
>>
>>
>>
>>
>> On Tue, Oct 2, 2012 at 10:46 PM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Hahahahaha, huku note tu pale una kuwa connected Malawi simu zote, kwa
>> hiyo
>> nawe siku hiyo ulikuwa Malawi!!!!!
>>
>> Felix
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> On 2 October 2012 22:14, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
>> <hkigwangalla@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Mwakyex, nakumbuka voda yangu ilikuwa inashika...ila siku-notice kingine
>> chochote cha ajabu. airtel haikuwa inakamata
>>
>>
>>
>>
>> On Tue, Oct 2, 2012 at 9:03 PM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Dr Kigwa,
>>
>> Hivi ulipokuwa pale Nduli, Kyela simu zako zilishika net za wapi!!!!
>>
>>
>> Felix
>>
>>
>>
>>
>> On 2 October 2012 18:19, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
>> <hkigwangalla@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Moderator, mfute huyu MMalawi kwenye hili group, anatutia hasira na
>> vichefu
>> chefu hapa. Hana kingine anachochangia zaidi ya Lake Nyasa tu...nadhani
>> anafanya kazi ya kiintelijensia ya kutaka kujua tunasema nini na tuna
>> hoja
>> zipi kwenye hili suala...ONDOA HUYU HARAKA tafadhali...
>>
>>
>> Tuliishasema Tanzania italinda mipaka yake, na tuko tayari kwa lolote
>> wakati
>> wowote...waache kutuchokonoa chokonoa
>>
>>
>>
>>
>> On Tue, Oct 2, 2012 at 2:01 PM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
>> wrote:
>>
>> Hayo mafuta tunaweza tafiti kama joint project kama yapo! nadhani hao
>> wavuvi
>> wa dagaa wanasail bila matata. Mazungumzo pia yalenge kuishawishi malawi
>> kujiunga EAC sawa na Burundi na Rwanda wanaweza faidika zaidi.
>>
>>
>> Kama kuna economic advantage ya kuwekeza katika meli basi Bakhresa au
>> Songoro wanaweza wekeza huko
>>
>>
>>
>>
>> On Tue, Oct 2, 2012 at 1:51 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>> wrote:
>>
>>
>>
>>
>>
>> Na meli aliyoahidi Rais ijengwe  ianze safari zake kwenye port zetu.
>> mafuta
>> waendelee kutafiti ila wsichimbe etc
>>
>> --- On Tue, 10/2/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>
>>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment