Monday 8 October 2012

Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

Kigwangalla,
 
Did you want to check whether he is hailing from the same town as you? Sitashangaa if that is thecase hahahahah hahahahahahahaha
Msituletee mambo yenu ya fitna za CCM huku kwenye midahalo. Just because Magobe sees this conflict differently it doesn't mean he is "hailing" from Malawi. Najua mko better than that!

2012/10/8 <hkigwangalla@gmail.com>
Magobe, which part of Malawi do you hail from?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Mon, 8 Oct 2012 11:25:48
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal

Nionavyo mimi hakuna vita yoyote itakayopiganwa kati ya Tanzania na
Malawi. Tutayamaliza mambo yote kwa mazungumzo na kama ikishindikana,
mgogoro huu utafifia ili usubiri muda mwingine mwafaka. Mnaopenda vita
nendeni Somalia na DRC.

On 10/8/12, ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk> wrote:
>
>
>  Sasa Maurice,
> Hawa wenzetu hawana lugha yenye mwelekeo wa suluhisho la kisiasa. Sasa
> mantiki ipi itumike wakati hiyo mantiki kwa upande wa pili haionekani.
> Hoja za Matinyi ziko wazi ambazo ndio mwelekeo wa Watanzania wengi ukiachia
> wachache ambao aidha ni waoga au wanatumiwa na upande wa pili. Logic iko
> wazi, kwamba kama upande wa pili ambao ni msumbiji mpaka uko katikati ya
> ziwa inakuwaje ishindikane kwa upande wa Tanzania? Hebu angalia na wewe kwa
> upande huo. jambo lingine hawa wenzetu hawaaminiki kabisa.. Historia
> inaonesha hivyo. Waliwahi kutushambulia hadi tukawaimbia nyimbo fulani
> kwenye mchakamchaka wakati tukiwa bado shule za msingi... Vijana wengi
> wanaopinga hili ni wale ambao hawakuziimba nyimbo hizo.
>
> Kimsingi hata Matinyi hapendi vita kama mimi pia, lakini kama hilo ndilo
> litabakia utafanyaje Maurice. K
> Mwalimu nyerere katika Kitabu chake cha BINADAMU NA MAENDELEO, aliwahi
> kusema hivi; kama mtu akija akakunyang'anya khaki yako na kukimbia nayo
> kisha akajifungia ndani ya nyumba wewe uliyenyang'anywa una chakuzi mbili
> tu. Moja kukaa kimya na kulia huku ukiomba akurejeshee kama akipenda au
> mbili; Kuvunja mlango na kuingia ili uchukue haki yako uliyonyang'anywa.
> Sasa unaonaje na sisi unatushauri tukae kimya na kulia tu baada ya watata
> hawa kutaka kutunyanganya haki yetu? Hapana Maurice hii haiwezekani.
>
> Ingewekana kabisa kuwaachia kabisa watat hawa sehemu hii ya ziwa kama
> tusingekuwa na watanzania malaki kama siyo mamilioni wanaotumia na kufaidika
> na ziwa hili. Hata hivyo hakuna uhakika kama ukiwaachia basi wao wataishia
> hapo, kesho wanaweza kudai na mito inayoingiza maji ziwa hilo ni yao ambao
> chanzo chake ni hadi Songea mjini na Wilaya yote ya Mbinga na Namtumbo.
>
> Fuatilia historia ya akina Banda utayajua mengi. Hakuna utani katika hili.
>
> Kazi njema.
>
> K.E.M.S.
>
>
> ________________________________
>  From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Saturday, 6 October 2012, 14:39
> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>
> Matinyi,
>
> You are someone I respect and I don't expect war language from you.
> You're someone people listen to on these fora so una wajibu fulani.
> Usichochee ovyo ukatuanzia vita kati ya Tz na Malawi, vita isiyo na
> maana wala mantiki.
>
> You should be talking about a political solution.
>
> Courage
>
>
>
> On 10/6/12, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:
>> Maurice,
>> You need to know some historical facts of this conflict, and a knowledge
>> of
>> who started the fire now.
>> Secondly, when two countries fight, it is not a battle between their
>> leaders
>> but armies, air force, etc. This was Amin's thinking and has nothing to
>> do
>> with our decision or view then, now, and tomorrow. So, if necessary, we
>> will
>> attack them and either kill Joyce or capture her unless she runs away
>> like
>> Amin. Trust me.
>> Matinyi.
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>>
>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>
>> ----- Reply message -----
>> From: "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com>
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> Subject: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>> Date: Sat, Oct 6, 2012 2:46 pm
>>
>>
>> Matinyi,
>>
>> I've always respected you as a formidable debater but hapa kaka nawe
>> umeanza kuteleza kidogo. You're making a false comparison. Migingo
>> Island issue is not in the same category as this Lake Nyasa issue.
>> There's no Treaty that ever granted Migingo to Uganda. Infact all
>> existing maps and Agreements show the island as bwlonging to Kenya.
>> The only reason Migingo is an issue is that Kibaki does not care about
>> it because it only conveniences Luos, a tribe he has no regard for.
>> Museveni knows that and is taking advantage. Once Raila takes the
>> presidency, you wont even see any sign of Uganda on that island.
>>
>> Lakini this Lake Nyasa issue is more complicated because over history,
>> there have been several conflicting pacts and agreements over it. The
>> 2 countries need to sit down with an independent 3rd party and find a
>> negotiated settlement. If Tz goes to war over this, Tz will not just
>> get a black  eye for beating up on a woman president, it will become
>> an international pariah.
>>
>> Mie nakupa wasia kama jirani mwema.
>>
>> Courage,
>> Oduor Maurice
>>
>>
>>
>> On 10/6/12, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com> wrote:
>>> Maurice,
>>> How about this, let Kenya take Migingo, and offer Uganda a passage to
>>> the
>>> sea, then we will follow suit.
>>> Matinyi.
>>>
>>>
>>>
>>> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>>>
>>> ----- Reply message -----
>>> From: "Maurice Oduor" <mauricejoduor@gmail.com>
>>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Subject: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>> Date: Sat, Oct 6, 2012 12:35 pm
>>>
>>>
>>> Mike,
>>>
>>> You are providing a wrong comparison. In other words, you're advancing
>>> a  false argument. The comparison to eyes and arms does not fit.
>>>
>>> International norms now recommend that water bodies such as Nyasa,
>>> Tanganyika and Victoria be shared equally between the associated
>>> countries. That is how Canada and US now share the Great Lakes.
>>>
>>> But the fact is that Lake Nyasa legally belongs to Malawi for now. The
>>> best outcome here would be that the Lake is shared equally between Tz
>>> and Malawi but Malawi is offered something in exchange. A passage to
>>> the sea would be a good offer.
>>>
>>> Courage
>>>
>>>
>>>
>>> On 10/6/12, Mike Zunzu <mikezunzu@yahoo.co.uk> wrote:
>>>> Can you give one of your eye to someone in order to save your hand to
>>>> be
>>>> chopped off.
>>>>
>>>>
>>>> ________________________________
>>>>  From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
>>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>> Sent: Saturday, 6 October 2012, 8:55
>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>>
>>>> Shedrack,
>>>>
>>>> why don't you guys give Malawii a passage to the sea in exchange for
>>>> part of the lake you're claiming? I think that would be a fitting and
>>>> mature compromise.
>>>>
>>>> Courage
>>>>
>>>>
>>>>
>>>> On 10/6/12, shedrack maximilian <shedrack_maximilian@yahoo.co.uk>
>>>> wrote:
>>>>> Tony
>>>>> Sijui ujinga wa watz uko wapi katika huu mgogoro!? Be specific
>>>>>
>>>>> lakini kuhusu Malawi kudepend Kwa waingereza au yeyote yule kuhusu
>>>>> kwamba
>>>>> ziwa ni lao mimi naona ni uwezo mdogo wa kufikiri ,Wale wapo tu
>>>>> kuchonganisha mara zote.Wkumbuke kuwa Malawi sawa na Tanzania ni nchi
>>>>> zinazokua na watu wake ni masikini sana na hivyo kusema kweli
>>>>> hatuitaji
>>>>> kutumia pesa kupigana vita ambayo kwa hakika itawaua na kuharibu mali
>>>>> za
>>>>> hao
>>>>> watu wetu masikini.Kama hawatakaa katika mazungumzo shauri
>>>>> yao,Tutaingia
>>>>> katika vita  ,tutaumizana na mwisho wa siku tutakaa katika meza
>>>>> kuzungumza
>>>>> .wazungu hawataweza kuwasaidia chochote kile na wala hawana rasilimali
>>>>> za
>>>>> kuwafanya wazungu wasimame upande wao kwasabau wako kwa ajili ya
>>>>> masilahi
>>>>> yao.
>>>>> Jamani mama Banda utaumiza watu wako jama!!
>>>>>
>>>>> Shedrack Maximilian
>>>>>
>>>>> B.Sc. Env.Health Science
>>>>>
>>>>> Bagamoyo District Council, Tanzania
>>>>>
>>>>> shedrack_maximilian@yahoo.co.uk
>>>>>
>>>>> +255(0754)944-504
>>>>>
>>>>> +255(0715)844-504
>>>>>
>>>>> --- On Wed, 3/10/12, Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk> wrote:
>>>>>
>>>>> From: Tony PT <tony_uk45@yahoo.co.uk>
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>> Date: Wednesday, 3 October, 2012, 7:13
>>>>>
>>>>> Pius,
>>>>>
>>>>> Sisi waTz huwa mazezeta kwelikweli! Inabidi ifike wakati Kenya
>>>>> tuwaambie
>>>>> kuuza mmlima wetu inabidi walipe royalty na tufunge mpaka wote ili
>>>>> watalii
>>>>> wakitaka kuja kuona mlima wapitie Uganda au zanzibar au kwa ndege!
>>>>>
>>>>> Ujinga wetu ndio umefanya Malawi kujiaminisha kuwa ziwa lote ni la
>>>>> kwao!
>>>>> Hivi kweli Malawi watasemaje hivyo wakati kuna taarifa ya mabonde
>>>>> (Great
>>>>> Lakes Basins),  mito na maziwa zinatamka na wao kujua kuwa maji karibu
>>>>> asilimia 63 yanatoka milima ya Livingston, Lukumburu, njombe, Ludewa,
>>>>> mbinga, Songea, mito na  maji ya mvua ndani ya mipaka ya Tz ziwani!
>>>>>
>>>>> Wakileta kichaa sasa tutalichukua ziwa lote, yaani tunabadili mipaka
>>>>> iwe
>>>>> upande wa magharibi mwa ziwa, tuone kama wataona sawa!
>>>>> Leo tunaweza kuanzisha man-made inland lakes upande wa Tz na ziwa
>>>>> litanyauka
>>>>> kwa asilimia isiyopungua 70. Maana ziwa hilo linapata asilimia karibu
>>>>> 42
>>>>> ya
>>>>> maji ya mito upande wa Tz, 21 ya maji ya mvua ziwani, na 27 ya maji ya
>>>>> mito
>>>>> na mvua upande wa malawi!
>>>>> Sent wirelessly from my BlackBerry device on the Bell network.
>>>>> Envoyé sans fil par mon terminal mobile BlackBerry sur le réseau de
>>>>> Bell.From:  Pius Makomelelo <makomelelopius@yahoo.co.uk>
>>>>> Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>>>>> Date: Wed, 3 Oct 2012 06:45:01 +0100 (BST)To:
>>>>> wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>ReplyTo:
>>>>> wanabidii@googlegroups.com
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>>> Kwa mtaji huu inabidi tuwe macho hata na hawa watani wetu wa jadi
>>>>> wanaotumia
>>>>> utalii kutanganza mlima Kilimanjaro uko kwao! Yule mama Banda
>>>>> katangaza
>>>>> rasmi kuwa hataki tena mazungumzo! Hana imani na Tanzania. Hana imani
>>>>> na
>>>>> JK
>>>>> eti wtz tumezindua ramani mpya na kufukuza wavuvi wamalawi. Katumwa,
>>>>> sasa
>>>>> naona anachotafuta wakati muafaka umefika wa kumpa. Kalewa madaraka.
>>>>> Wtz
>>>>> tuweni makini, lazima kuna agenda za kikoloni zinatengenezwa. Banda
>>>>> mkubwa
>>>>> alitambulika ukanda wetu huu kama kibaraka. Ni jadi yao hawa, hatuna
>>>>> haja
>>>>> ya
>>>>> kupoteza muda kujadiliana nao! Dawa ya kibaraka ni kumshughulikia
>>>>> kabla
>>>>> hata
>>>>> hajaota mbawa za kutosha.
>>>>>
>>>>>
>>>>>         From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>>>>>  To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>  Sent: Tuesday, 2 October 2012, 23:29
>>>>>  Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>>>
>>>>> Ukweli ni kwamba hapa tulipofika tumepatengeza wenyewe kwa kuwakubalia
>>>>> Wamalawi katika mambo ya Ziwa hilo.
>>>>>
>>>>> Walianza kwa kubadili jina kutoka jina la asili la Nyasa ambalo
>>>>> linajumuisha
>>>>> wote wanaopakana na hilo Ziwa na kuliita Malawi wakiengua upande wa
>>>>> Tanzania, tulikaa kimya na kuwapigia makofi.
>>>>>
>>>>>
>>>>> Walitengeza ramani zenye kuonyesha mpaka kuwa ufukwe wa Tanzania, nasi
>>>>> tukazitumia pasipo kuhoji!!!
>>>>>
>>>>> Malawi walihakikisha kizazi cha sasa kisifahamu lolote kuhusu jina la
>>>>> Nyasa
>>>>> na mpaka kuwa katikati ya ziwa, walielewa walichokuwa wakifanya,
>>>>> wakati
>>>>> sisi
>>>>> tukiwa hatuelewi tunataka nini.
>>>>>
>>>>>
>>>>> Imefika wakati Jumuiya za Kimataifa zinatambua hivyo, na hata miradi
>>>>> ya
>>>>> kiuchumi inayohusu ziwa hilo, wenye kunufaika ni Malawi, kwa upande
>>>>> wetu
>>>>> hata miradi hukataliwa na taasisi za nje, labda huo mradi uhusishe na
>>>>> wamalawi.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Tumelea wenyewe!!
>>>>>
>>>>> On 2 October 2012 23:19, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
>>>>> <hkigwangalla@gmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>> safi sana, msimamo wangu kwa hakika unafanana na wa kwako, na kwa
>>>>> kweli
>>>>> demokrasia ikishindwa - twende vitani tu tuwatandike nduli hawa chini
>>>>> ya
>>>>> uongozi wa yule mama mkaidi anayeitwa Nduli Grace
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 11:14 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Dkt. Kigwangalla,
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Usiwe na shaka, hatutaki vita na tutafanya mazungumzo mpaka mwisho,
>>>>> ikishindikana zitapigwa. Kuna Wakurya kama laki mbili - vijana watupt
>>>>> na
>>>>> hawana kazi baada ya migodi yao ya dhahabu kuporwa na wawekezaji na
>>>>> ng'ombe
>>>>> kuibiwa na majambazi; hawa ukitangaza vita watakuja kama mvua, achilia
>>>>> mbali
>>>>> tulioko huku majuu, tutarudi wote golini tujazane. Hebu fikiria kila
>>>>> mkoa
>>>>> ukitoa vijana wake laki moja wasiokuwa na kazi itakuwaje? Tutawapiga
>>>>> washikaji zetu kwa kutembea na miguu na bakora bila bunduki, na
>>>>> hatumui
>>>>> mtu,
>>>>> ni bakora tupu ila baraa lote la mawaziri tutawachukua tuje nao huku
>>>>> mjini,
>>>>> tuwarundike Keko.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Mmarekani mmoja, sasa balozi mstaafu baaa ya kulitumikia jeshi pia na
>>>>> kufanya kazi ya kufundisha Wakenya, aliniambia kwamba wakati
>>>>> Watanzania
>>>>> wanaingia Uganda yeye alikuwa kijana mdogo akifanya kazi na
>>>>> wamisionari..
>>>>> Anasema miaka yote aliyokuwa jeshini Marekani alikuwa anawakumbuka
>>>>> wale
>>>>> Watanzania jinsi walivyokuwa na nidhamu ya kijeshi na jinsi
>>>>> walivyowaua
>>>>> Walibya. Anasema kwamba rekodi hazisemi ukweli kuwa eti walikufa
>>>>> Waarabu
>>>>> 600
>>>>> tu, anasema Kampala peke yake walizidi 1,000. Anasema Watanzania ni
>>>>> habari
>>>>> nyingine kabisa.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Hatutaki vita lakini lazima ziwa tulidhibiti; iwe isiwe.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Matinyi.
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Date: Tue, 2 Oct 2012 23:06:28 +0300
>>>>> Subject: Re: [wanabidii] Lake belongs to Malawi, UK letters reveal
>>>>> From: hkigwangalla@gmail.com
>>>>>
>>>>> To: wanabidii@googlegroups.com
>>>>>
>>>>> Felix, ninachokumbuka tu ni kwamba nilikula samaki mtamu anayeitwa
>>>>> Mbasa
>>>>> kwa
>>>>> ndizi safi za mbeya...and notable was the way yule samaki na yule kuku
>>>>> alivyokuwa amechoma...
>>>>>
>>>>>
>>>>> utamu wa samaki yule maalum kwa ajili ya wageni wanaokuja kule mwambao
>>>>> wa
>>>>> ziwa Nyasa ni yule samaki, na nitakuwa tayari kushiriki vita ya
>>>>> kulikomboa
>>>>> lile Ziwa ili wajukuu zangu waendelee kula Mbasa maisha yao yote
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 10:46 PM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>> Hahahahaha, huku note tu pale una kuwa connected Malawi simu zote, kwa
>>>>> hiyo
>>>>> nawe siku hiyo ulikuwa Malawi!!!!!
>>>>>
>>>>> Felix
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> On 2 October 2012 22:14, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
>>>>> <hkigwangalla@gmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>> Mwakyex, nakumbuka voda yangu ilikuwa inashika...ila siku-notice
>>>>> kingine
>>>>> chochote cha ajabu. airtel haikuwa inakamata
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 9:03 PM, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>> Dr Kigwa,
>>>>>
>>>>> Hivi ulipokuwa pale Nduli, Kyela simu zako zilishika net za wapi!!!!
>>>>>
>>>>>
>>>>> Felix
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> On 2 October 2012 18:19, Dr. Hamisi A. Kigwangalla
>>>>> <hkigwangalla@gmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>> Moderator, mfute huyu MMalawi kwenye hili group, anatutia hasira na
>>>>> vichefu
>>>>> chefu hapa. Hana kingine anachochangia zaidi ya Lake Nyasa
>>>>> tu...nadhani
>>>>> anafanya kazi ya kiintelijensia ya kutaka kujua tunasema nini na tuna
>>>>> hoja
>>>>> zipi kwenye hili suala...ONDOA HUYU HARAKA tafadhali...
>>>>>
>>>>>
>>>>> Tuliishasema Tanzania italinda mipaka yake, na tuko tayari kwa lolote
>>>>> wakati
>>>>> wowote...waache kutuchokonoa chokonoa
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 2:01 PM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>> Hayo mafuta tunaweza tafiti kama joint project kama yapo! nadhani hao
>>>>> wavuvi
>>>>> wa dagaa wanasail bila matata. Mazungumzo pia yalenge kuishawishi
>>>>> malawi
>>>>> kujiunga EAC sawa na Burundi na Rwanda wanaweza faidika zaidi.
>>>>>
>>>>>
>>>>> Kama kuna economic advantage ya kuwekeza katika meli basi Bakhresa au
>>>>> Songoro wanaweza wekeza huko
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> On Tue, Oct 2, 2012 at 1:51 PM, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
>>>>> wrote:
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>> Na meli aliyoahidi Rais ijengwe  ianze safari zake kwenye port zetu.
>>>>> mafuta
>>>>> waendelee kutafiti ila wsichimbe etc
>>>>>
>>>>> --- On Tue, 10/2/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal
>>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>>> be
>>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you
>>> agree
>>> to
>>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.





--
Wasalaam
 
Denis Matanda,
Mine Supt,
Nzega - Tanzania.
 
" Low aim, not failure, is a crime"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment