Wednesday 24 October 2012

Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU

hapana bwana baikaka....
masharti hayo ni kujuta kwa kosa/makosa ulofanya, kutubia tena kwa kuyatamka na kuahidi kutorudia tena
hawa wanaochoma makanisa ni wale ambao hawana elimu na hawana elimu kwa sababu mlikuwa mnawafelisha kwa makusudi
kwa sababu ni waislamu.....Mungu bwana, aiseee fundi
hata ivo memorandum of understanding inabainisha au inatoa muongozo
kuwa mtajengewa mengine kwa kodi zetu

Date: Tue, 23 Oct 2012 23:32:44 -0700
From: baikak@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU
To: wanabidii@googlegroups.com

Masharti ambayo waislam tunayapata kutoka kwa mashehe na maimam wetu ni pamoja na kuchoma makanisa, kuwaua makafiri, kuchinja viumbe wote ili tubaki sisi wenyewe waislam wenye imani kali.
Nawasilisha - kama kuna atakayenielewa vibaya anipigie kwa namba hii 0722 018 000

Mt. B;
Bukoba Municipal,

Tanzania - East Africa.

--- On Tue, 10/23/12, xavery njovu <njovucom@gmail.com> wrote:

From: xavery njovu <njovucom@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, October 23, 2012, 9:39 PM

Rashidi

Naomba  utufafanulie  zaidi  huhusu  hija  na  mambo  ambayo  huwa  mnafanya kule  makka  and  madina

Regards

XN

2012/10/24 rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
               ASSALAMU ALAIKUM YA HAYYU ALLADHINA AMANUU

kwa wale waislamu napenda kuwakumbusha na pia kuwasisitiza kuwa kesho ni moja ya masiku matukufu, ni siku ya ARAFA,
ARAFA-ni mwezi tisa ya kila mfungo tatu, asili ya arafa kwa uchache ni eneo ambalo kwa mara ya kwanza  adamu na hawa walionana for the first time, baada ya kutupwa duniani,ni pale walipo ondolewa kwenye bustani walizokuwa wakikaa,...pana historia nyingi na maelezo mengi, lakini kwa uchache ni hivo, kwa mantiki hiyo kesho mahujaji wataenda kushinda kwenye viwanja hivo vya arafa, therefore kwa wale ambalo hatukupata nafasi ya kwenda hijja tuna paswa ingawa ni sunna, kufunga hiyo kesho even though tulipaswa tufunge kwa masiku yote tisa mara baada ya kuingia mfungo tatu....kuna fadhila nyingi sana kwa atakae funga hiyo kesho, moja ya fadhila hizo ni kusamehewa dhambi mwaka mmoja kabla na mwaka mmoja baadae  kama ALLAH akitaka au akipenda na kama ukikamilisha masharti ya toba, masharti ambayo nahakika mnayasikia kwa viongozi mbalimbali wa dini ikiwa ni masheikh, maimamu nk
kwa wale mnaopenda kuwabeza waislamu natoa ombi la kutowabeza katika thread hii niliyo iposti kwani ni mambo yao ya kuabudu.....
nawatakia nia ya kufunga kama afya ipo
wabilah taufiki
IDD MUBARAKK

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT  AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment