mr, amos, elimu yangu isikushugulishe ila fahamu kuwa nina elimu ya kutosha, hebu pitia thread yangu ya kwanza ninayowatangazia waislamu juu ya kufunga siku ya arafa then pitia namna bwana bakika alivo ni attack, mbona hamukumjibu kuwa what he was doing was unfair to me and all muslims, eti unasema haya mlisha eleweshana humu yakaeleweka, how? na kwa taarifa yenu mi kwa nafasi yangu natumia muda mwingi sana sana kuwaamasisha waislamu kuwa watulivu,nimewahamasisha waislamu sana juu ya kukubali kuhesabiwa sensa kwenye misikiti mingi sana, niliitwa hata kwenye baadhi ya shule pale wanafunzi flan flan walipotia mgomo wa sensa...huku nilipo kuna kanisa limemaliza semina jana inayozungumzia the fraud of islam na kwenye mtihani wa kidato cha nne viongozi wao wa dini waliwakataza vijana wao wasishikane mikono na vijana wa ki-slamu, eti ni watu htari sana wana majini.. siku zote ukweli unauma, sibadili kauli kamwe, pamoja na kuwa siungani mkono kabisa na vurugu zilizo tokea za kuchoma makanisa nchini na kusisitiza kuwa kufanya hivo si katika mafundisho ya ki-slamu, na mtume hawapendi wachupao mipaka ya ugomzi kwa kuwaita wanafiki watu hao...swala la kuwafelisha kwa kuwa tu majina yao yali sound islamicaly halikwepeki sema tu yatupasa tugange yajao na tufunike ya kale.
mwisho kabisa.....the same thread nilipost kwenye mtandao wa kijamii wa jamiiforums katika addres isemayo HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO, nenda kaone wasomi wenzio jinsi walivo ni attack wakati ni tangazo kwa waislamu tukihamasishana juu ya dini yetu
Date: Wed, 24 Oct 2012 13:46:25 -0700
From: amos_772002@yahoo.com
Subject: Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU
To: wanabidii@googlegroups.com
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Nina wasiwasi sana na si tu kiwango cha elimu cha bwana Rashid bali hata socialization yake tangu utoto na maisha yake kwa ujumla hasa pale anapoandika upupu na mambo ambayo yanaendelea kuchochea ukorofi na kukuza fikra hasi baina yetu watanzania. Kwa mtu mwenye hekima na busara ndogo tu na wala haihitaji saaana elimu huwezi kuandika,,,hapa nanukuu; "...hawa wanaochoma makanisa ni wale ambao hawana elimu na hawana elimu kwa sababu mlikuwa mnawafelisha kwa makusudi kwa sababu ni waislamu.....Mungu bwana, aiseee fundi hata ivo memorandum of understanding inabainisha au inatoa muongozo kuwa mtajengewa mengine kwa kodi zetu. Kama umekuwa msomaji wa mijadala ya humu ndani...kuna watu wengi wamejaribu kuweka bayana mambo haya lakini bado huelewi. Take time to read and ask, usikurupuke tu na kuandika vitu vya kichochezi....faida yako ni nini katika ulimwengu wa taaluma na jamii kwa ujumla kama unaandika eti ...'waislamu mliowafelisha...this is purely a very lame excuse for your own problem,what do you want to achieve ktk hoja yako?..... Take time to assess how madrasa na sunday schools zinavyofundisha watoto (ambako wengine tumepitia huko)...utajifunza connection kubwa ya gape hii ya understanding kwenye elimu dunia na wala si swala la mtu kufelishwa....kufeli ni kufeli tu hakuna mkristo, mwislam wala mpagani. Take time to think before you write "Do nothing from selfishness or empty conceit, but with humility of mind, regard one another as more important than yourselves;do not merely look out for your personal interests,but also for the interest of others.""So then, while we have opportunity,let us do good to all people,and especially to those who are of the household of the faith." Philippians 2:3;Galatians 6:10 --- On Wed, 10/24/12, Denis Njoka <denis.njoka@yahoo.com> wrote:
|
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment