Wednesday 24 October 2012

RE: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU


kwa bahati mbaya sijawahi kwenda, ila yanayofanyika ni ibada mbali mbali kama kusali, kuizunguka sacred house, kuchinja, kusimama kisimamo na mengineyo
kubwa ni kumkumbusha mwanadamu kuwa kunasiku mataifa yote yatarudi kwa alio waumba  nk

Date: Wed, 24 Oct 2012 07:39:45 +0300
Subject: Re: [wanabidii] KWA WAISLAMU KESHO NI ARAFA-IFAHAMU
From: njovucom@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com

Rashidi

Naomba  utufafanulie  zaidi  huhusu  hija  na  mambo  ambayo  huwa  mnafanya kule  makka  and  madina

Regards

XN

2012/10/24 rashid martin <rashidtz@hotmail.com>
               ASSALAMU ALAIKUM YA HAYYU ALLADHINA AMANUU

kwa wale waislamu napenda kuwakumbusha na pia kuwasisitiza kuwa kesho ni moja ya masiku matukufu, ni siku ya ARAFA,
ARAFA-ni mwezi tisa ya kila mfungo tatu, asili ya arafa kwa uchache ni eneo ambalo kwa mara ya kwanza  adamu na hawa walionana for the first time, baada ya kutupwa duniani,ni pale walipo ondolewa kwenye bustani walizokuwa wakikaa,...pana historia nyingi na maelezo mengi, lakini kwa uchache ni hivo, kwa mantiki hiyo kesho mahujaji wataenda kushinda kwenye viwanja hivo vya arafa, therefore kwa wale ambalo hatukupata nafasi ya kwenda hijja tuna paswa ingawa ni sunna, kufunga hiyo kesho even though tulipaswa tufunge kwa masiku yote tisa mara baada ya kuingia mfungo tatu....kuna fadhila nyingi sana kwa atakae funga hiyo kesho, moja ya fadhila hizo ni kusamehewa dhambi mwaka mmoja kabla na mwaka mmoja baadae  kama ALLAH akitaka au akipenda na kama ukikamilisha masharti ya toba, masharti ambayo nahakika mnayasikia kwa viongozi mbalimbali wa dini ikiwa ni masheikh, maimamu nk
kwa wale mnaopenda kuwabeza waislamu natoa ombi la kutowabeza katika thread hii niliyo iposti kwani ni mambo yao ya kuabudu.....
nawatakia nia ya kufunga kama afya ipo
wabilah taufiki
IDD MUBARAKK

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 



--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" IT IS MORE IMPORTANT  TO  USE YOUR  MIND TO THINK  THAN TO USE IT  AS  A WAREHOUSE  OF  FACT"


--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment