Tuesday 23 October 2012

RE: [wanabidii] KITENDAWILI CHA NYERERE;

Ni kweli kuna umuhimu mkubwa sana wa kuandika historia ya nchi yetu katika mambo mbalimbali kwa ufasaha. Tena ni vema kuandika vitabu hivi kabla ya wanaoifahamu historia vizuri hawajatoweka.
Tena historia hiyo ifundishwe mashuleni ili watoto wa kizazi hiki wajue vema wapi taifa limetoka. Wapotoshaji hawa wanatumia mwanya wa kutokuwa na maandishi kupotosha kizazi hiki cha .com. Kuna kazi kubwa ya kukibadilisha kizazi hiki maana hakipendi kusoma vitabu vya kujielimisha wala kusikiliza habari. Miziki, mambo ya udaku na facebook ndiyo wanayo potezea muda wao. Tuandike vitabu na tuwahamasishe wajue umuhimu wa kusoma vitabu.

-----Original message-----
From: Mobhare Matinyi
Sent: 23/10/2012, 21:25
To: Wanabidii googlegroups
Subject: RE: [wanabidii] KITENDAWILI CHA NYERERE;



Chengula,
Mimi nakiona huruma kizazi cha vijana wadogo wa leo wakiwemo watoto wangu; kwamba watalishwa uongo mwingi sana na watu wenye mioyo mibaya dhidi ya taifa letu. Dawa yake ni kuyajibu mambo haya na ikibidi kuandika vitabu ili kuiweka rekodi sawa kama wafanyavyo wenzetu. Huwezi kukuta Wamarekani wanapotosha historia na kazi za viongozi wao waliolijenga taifa lao; huwezi hata siku moja. Sikubaliani na mambo fulani ya Nyerere na niliwahi kuyaandikia lakini kumsingizia uongo na kupinda historia yake ni uhuni mkubwa.
matinyi.


> Date: Tue, 23 Oct 2012 17:11:37 +0000
> From: achengula@gmail.com
> Subject: RE: [wanabidii] KITENDAWILI CHA NYERERE;
> To: wanabidii@googlegroups.com; wanabidii@googlegroups.com
>
>
> Well said kaka Matinyi,
>
> ni kweli nimeupitia kwa makini nimekundua ni wale wake wa vuguvugu hili. Mwandishi mwenyewe anajichanganya huwezi kupata hitimisho la makala yake. Mambo aliyoyaandika yanatokana pengine na kile anachokifikiria ili kutimiza lengo lake. Maandishi yake yalivyo kaa hayaonyeshi kayapata wapi. Labda alete vyanzo vyake hapo nitaamini. Yanaonekana kuwa ni utafiti wa kubuniwa.
>
> Vita yake ni Muungano na Ukristo, hapa ndipo utajua ni wale wale. Angalia alivyoelezea muungano hali kadhalika Ukatoliki, huna haja ya kujua aliye andika ana itikadi gani ya kidini. Aliye uleta ni wale wale sawa na mwandishi wenye malengo yale yele.
> -----Original message-----
> From: Godfrey Ngupula
> Sent: 23/10/2012, 18:12
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: RE: [wanabidii] KITENDAWILI CHA NYERERE;
>
>
>
> thanks Matinyi..i love people with sterio thinking like u do.People with digital mind (and not analogue).Simple to grasp and analyse beyond the reach of human eyes.Ngupula
>
>
>
> ------------------------------
> On Tue, Oct 23, 2012 5:52 PM EEST Mobhare Matinyi wrote:
>
> >
> >Kabalika,
> >Nilikuwa mapumziko ya chai/kahawa nikawa nasoma huu upupu. Nitaujibu kwa vielelezo vyenye vyanzo rasmi. Huyu
Email truncated to 2,000 characters
:::0:9cfa16c0a6615edf1cd58488bf2947a2:7d0::::

Original message is located on server

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment