Sunday 7 October 2012

Re: [wanabidii] JIMBO LA IRINGA MJINI KUBAKI CHADEMA KWA MIAKA 10 ZAIDI

Kama jimbo lako Bro Mwakyembe la Mbeya Mjini pamoja na lile la Arusha. Kama mwakilishi wa Mbeya Mjini hatakomaa akae wazi ajue 2015 ubao wa matokeo utasomeka tofauti. Ni nadra sana Bungeni namsikia mheshimiwa wenu akilizungumzia jimbo lake kwa undani. Bw. Lema alipokuwa Bungeni naye kwa uchache sana alikuwa akigusia masuala ya kina ya mji wa Arusha ambayo katika hali ya kawaida nilikuwa nikitegemea wakati wa mijadala kama ya Wizara ya Maliasili na Utalii awe mstari wa mbele kuyazungumzia ikiwa ni pamoja na ile ya Nishati&Madini. CDM wakiridhika na watu wanaonekana kwenye mikutano yao basi iko siku itakuwa tofauti kwani bado kuna wapiga kura wengi sana hawashiriki kwenye mikutano yao

2012/10/7 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
Carlos,

Ulichokieleza ndio ukweli na ushauri mwanana, but tatizo wanasiasa na makada wao Tanzania ni upofu, wakipata hujiona wana akili zaidi ya wengine, mwisho wa siku hujikuta wakipoteza waalichokipata.

Felix

2012/10/7 Carlos Magoyo <carlosmagoyo@yahoo.com>
binafsi naamini ya kwamba katika majimbo yote ndani ya Tanzania..Iringa mjini ndiyo jimbo ambalo halitabiriki siku zote kwan upepo wake ni vigumu kutabiri muelekeo na imekuwa hivyo tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi. kumbuka mwaka 1995 jimbo hili liliangukia mikononi mwa NCCR, 2000 CCM na 2010 likatwaliwa na CDM katika mazingira ambayo yalikuwa hayatabiriki mpaka wiki ya mwisho wa kampeni ndipo upepo ulipokuja kubadilika bt nawakumbusha CDM kuwa kama wanataka kuendelea kuliwakilisha jimbo hili bungeni basi wajipange sawa sawa kukijenga chama

--- On Sun, 10/7/12, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:

From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
Subject: [wanabidii] JIMBO LA IRINGA MJINI KUBAKI CHADEMA KWA MIAKA 10 ZAIDI
To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>, "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Sunday, October 7, 2012, 6:29 AM

Jana  kama  Mwana CCM nilipata  hamasa  ya  kwenda kufuatilia uchaguzi
wa UVCCM mkoa wa Iringa angalau kwa nia moja tu kujua namna wapiga
kura wanavyofanya maamuzi yao ya kisiasa.

Kwa  kuwa   nimeweza kushuhudia siasa  za iringa angalau tangu mwaka
1995 wakati huo nikiwa  kijana mdogo sekondari  lakini niliweza kuona
mtazamo  wangu wa  siasa na hamasa  za Wakazi wa iringa juu  uchaguzi.

Kwa hakika  Uchaguzi huo kwa bahati   nzuri UVCCM taifa ilirudisha
majina 3 ambayo kwa hakika majina mawili ni ya makada  wa CCM  na
UVCCM tangu  siasa    za  vyuo  za UVCCM na ndani ya Chama makada hao
ni  Abba Ngwilangwa na Ramadhani Baraza.

Nilitegemea sana makada wa  UVCCM na wajumbe waliokuwa na haki ya
kumchagua  mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa  basi kura  zao
zingeangukia katikaRamadhani Baraza ambaye kwa hakika wasifu wake
kisiasa ni mkubwa au akipata ushindi  Abba Ngwilangwa ambaye  yeye
nae wasifu wake kwa  Chama  hauna mashaka.

Kwa hakika  mimi  binafsi sina imani na Tumaini Msowoya kama anauwezo
wa kuiimarisha CCM na UVCCM Iringa  ili kuweza kupambana na CHADEMA
katika mkoa wa Iringa na  wilaya  zake.Nadhani hapa  Chama  cha
Mapinduzi kimepotea  njia bila ya kujua.

Kama CCM Mkoa wa Iringa wasipokuwa makini basi  kuna dalili zote
jimbo mla Iringa Mjini kubaki upinzani na  majimbo k uongezeka   kwa
CHADEMA kupata majimbo zaidi.

Wajumbe  na wenye nafasi ya kupiga kura  siku zote  wanatakiwa kuwa
makini  mno katika uchaguzi kwani  uchaguzi ni uhai  wa Chama na
vinginevyo uchaguzi unaweza kuwa umauti kwa  chama.

Kama  hali hii itaendelea Iringa mjini kubaki kwa CHADEMA kwa miaka
10 zaidi.Ninasema haya kwa kuwa   UVCCM ndipo moyo wa chama   ulipo
kama moyo ni dhaifu basi na mwili mzima  wa chama utakuwa dhaifu
kabisa.

Wasalaam  Adeladius Makwega

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment