Sunday 7 October 2012

Re: [wanabidii] JIMBO LA IRINGA MJINI KUBAKI CHADEMA KWA MIAKA 10 ZAIDI

Hakuna chama zaidi ya CCM ila pale ambapo wale wanaoweza kuitetea
CCM kwa undani wanapopigwa mizengwe kwa nguvu zingine linakuwa
jambo la kusikitisha.
Nilichojifunza hasa katika mechi nyingi za mpira wamiguu za
mchangani wanatafutwa wachezaji kutoka kila kona ata kama si
wachezaji halali watimu zetu lakini wale watakao weza kuitikia kila
litakaloamliwa na anayesema ilimradi kukamilisha nia, kusudia
anachotaka msemaje.

Abba Ngwilangwa na Ramadhani Baraza ni makada wa CCM,wanaoweza
kukitetea chama chetu, kwa staili hii ndiyo maana nasema wazi kuwa
Iringa mjini kuna kila dalili ya CCM kukutana tena 2020 tena
kupambana na CHADEMA Tumaini Msowoya hana kifua cha kupambana na
Mchungaji Msigwa wala kuzungumza lolote lenye mantiki juu ya
CHADEMA.

On 10/7/12, Bariki Mwasaga <bmwasaga@gmail.com> wrote:
> Kama jimbo lako Bro Mwakyembe la Mbeya Mjini pamoja na lile la Arusha. Kama
> mwakilishi wa Mbeya Mjini hatakomaa akae wazi ajue 2015 ubao wa matokeo
> utasomeka tofauti. Ni nadra sana Bungeni namsikia mheshimiwa wenu
> akilizungumzia jimbo lake kwa undani. Bw. Lema alipokuwa Bungeni naye kwa
> uchache sana alikuwa akigusia masuala ya kina ya mji wa Arusha ambayo
> katika hali ya kawaida nilikuwa nikitegemea wakati wa mijadala kama ya
> Wizara ya Maliasili na Utalii awe mstari wa mbele kuyazungumzia ikiwa ni
> pamoja na ile ya Nishati&Madini. CDM wakiridhika na watu wanaonekana kwenye
> mikutano yao basi iko siku itakuwa tofauti kwani bado kuna wapiga kura
> wengi sana hawashiriki kwenye mikutano yao
>
>
>
> 2012/10/7 Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
>
>> Carlos,
>>
>> Ulichokieleza ndio ukweli na ushauri mwanana, but tatizo wanasiasa na
>> makada wao Tanzania ni upofu, wakipata hujiona wana akili zaidi ya
>> wengine,
>> mwisho wa siku hujikuta wakipoteza waalichokipata.
>>
>> Felix
>>
>>
>> 2012/10/7 Carlos Magoyo <carlosmagoyo@yahoo.com>
>>
>>> binafsi naamini ya kwamba katika majimbo yote ndani ya Tanzania..Iringa
>>> mjini ndiyo jimbo ambalo halitabiriki siku zote kwan upepo wake ni
>>> vigumu
>>> kutabiri muelekeo na imekuwa hivyo tangu kuanzishwa mfumo wa vyama
>>> vingi.
>>> kumbuka mwaka 1995 jimbo hili liliangukia mikononi mwa NCCR, 2000 CCM na
>>> 2010 likatwaliwa na CDM katika mazingira ambayo yalikuwa hayatabiriki
>>> mpaka
>>> wiki ya mwisho wa kampeni ndipo upepo ulipokuja kubadilika bt
>>> nawakumbusha
>>> CDM kuwa kama wanataka kuendelea kuliwakilisha jimbo hili bungeni basi
>>> wajipange sawa sawa kukijenga chama
>>>
>>> --- On *Sun, 10/7/12, adeladius makwega
>>> <makwadeladius@googlemail.com>*wrote:
>>>
>>>
>>> From: adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com>
>>> Subject: [wanabidii] JIMBO LA IRINGA MJINI KUBAKI CHADEMA KWA MIAKA 10
>>> ZAIDI
>>> To: "mabadilikotanzania" <mabadilikotanzania@googlegroups.com>,
>>> "wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
>>> Date: Sunday, October 7, 2012, 6:29 AM
>>>
>>> Jana kama Mwana CCM nilipata hamasa ya kwenda kufuatilia uchaguzi
>>> wa UVCCM mkoa wa Iringa angalau kwa nia moja tu kujua namna wapiga
>>> kura wanavyofanya maamuzi yao ya kisiasa.
>>>
>>> Kwa kuwa nimeweza kushuhudia siasa za iringa angalau tangu mwaka
>>> 1995 wakati huo nikiwa kijana mdogo sekondari lakini niliweza kuona
>>> mtazamo wangu wa siasa na hamasa za Wakazi wa iringa juu uchaguzi.
>>>
>>> Kwa hakika Uchaguzi huo kwa bahati nzuri UVCCM taifa ilirudisha
>>> majina 3 ambayo kwa hakika majina mawili ni ya makada wa CCM na
>>> UVCCM tangu siasa za vyuo za UVCCM na ndani ya Chama makada hao
>>> ni Abba Ngwilangwa na Ramadhani Baraza.
>>>
>>> Nilitegemea sana makada wa UVCCM na wajumbe waliokuwa na haki ya
>>> kumchagua mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Iringa basi kura zao
>>> zingeangukia katikaRamadhani Baraza ambaye kwa hakika wasifu wake
>>> kisiasa ni mkubwa au akipata ushindi Abba Ngwilangwa ambaye yeye
>>> nae wasifu wake kwa Chama hauna mashaka.
>>>
>>> Kwa hakika mimi binafsi sina imani na Tumaini Msowoya kama anauwezo
>>> wa kuiimarisha CCM na UVCCM Iringa ili kuweza kupambana na CHADEMA
>>> katika mkoa wa Iringa na wilaya zake.Nadhani hapa Chama cha
>>> Mapinduzi kimepotea njia bila ya kujua.
>>>
>>> Kama CCM Mkoa wa Iringa wasipokuwa makini basi kuna dalili zote
>>> jimbo mla Iringa Mjini kubaki upinzani na majimbo k uongezeka kwa
>>> CHADEMA kupata majimbo zaidi.
>>>
>>> Wajumbe na wenye nafasi ya kupiga kura siku zote wanatakiwa kuwa
>>> makini mno katika uchaguzi kwani uchaguzi ni uhai wa Chama na
>>> vinginevyo uchaguzi unaweza kuwa umauti kwa chama.
>>>
>>>
>>> Kama hali hii itaendelea Iringa mjini kubaki kwa CHADEMA kwa miaka
>>> 10 zaidi.Ninasema haya kwa kuwa UVCCM ndipo moyo wa chama ulipo
>>> kama moyo ni dhaifu basi na mwili mzima wa chama utakuwa dhaifu
>>> kabisa.
>>>
>>>
>>> Wasalaam Adeladius Makwega
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com<http://mc/compose?to=unsubscribe@googlegroups.com>
>>> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>
>>>
>>> --
>>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>>
>>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>>> ukishatuma
>>>
>>> Disclaimer:
>>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>>> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
>>> facts
>>> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
>>> you
>>> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
>>> Guidelines.
>>>
>>>
>>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
>
> --
> Bariki G. Mwasaga,
> P.O. Box 3021,
> Dar es Salaam, Tanzania
> +255 754 812 387
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment