binafsi naamini ya kwamba katika majimbo yote ndani ya Tanzania..Iringa mjini ndiyo jimbo ambalo halitabiriki siku zote kwan upepo wake ni vigumu kutabiri muelekeo na imekuwa hivyo tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi. kumbuka mwaka 1995 jimbo hili liliangukia mikononi mwa NCCR, 2000 CCM na 2010 likatwaliwa na CDM katika mazingira ambayo yalikuwa hayatabiriki mpaka wiki ya mwisho wa kampeni ndipo upepo ulipokuja kubadilika bt nawakumbusha CDM kuwa kama wanataka kuendelea kuliwakilisha jimbo hili bungeni basi wajipange sawa sawa kukijenga chama --- On Sun, 10/7/12, adeladius makwega <makwadeladius@googlemail.com> wrote:
|
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment