Thursday 25 October 2012

Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?

Nimeshuhudia mama wa rafiki yangu kijiji cha Kung'ombe Bunda aliyechukuliwa Ziwani na mamba, akapelekwa kwa mwanaume aliyemtongoza alimkataa, alimwambia utakuja wewe au nije mimi? mamba akambeba alipokuwa amekwenda kuchota maji. Baada ya miaka kadhaa alipatikana baana ya mume huyo kugombana na mke mkubwa akatoa siri zake za uchawi na kuwa na watu aliowafuga. Alipatikana mzima lakini haongei. Nilipoona haongei sijui ulimi wameufanyaje na mimi kumuuliza shoga ndio akanisimulia mkasa huo. Wapo wachawi walokole wametoa simulizi zao-inatisha. Ndio maana wakati mmoja bungeni kuna mbunge alisema labda sayansi hii ichunguzwe, itumike vema isaidie hata kupunguza msongamano wa usafiri kwa kuhalalisha vitunga vya kupaa angani baada ya nukta upo mbagala au dodoma umefika!!

--- On Thu, 25/10/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 25 October, 2012, 8:36

Amos,
Ya buku ndiyo hiyo ingelipwa laki moja? Ni hatari sana lakini maana nakumbuka niliyowahi kuyasikia Bunda kuhusu fisi na kuchukuliwa kwa ng'ombe angani na tai huko Sumbawanga.
Mila na tamaduni zetu zina mambo makubwa.

Walewale.

From: Amos Malongo <amos_772002@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 25, 2012 11:15 AM
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?

Chamani,

Haya ni mambo ya kweli kutokea. Nimuunge mkono Hilder...siku moja nilikuwa mjini Ileje huko Mbeya( Ileje ni baada ya Mbozi kama unaenda Tunduma), nikiwa kazini pale ghafla tuliona wingu na manyunyu yasiyo na mpango

Cha kushangaza nilianza kushuhudia radi kali mno kama mara mbili hivi...nikamwuliza mzee niliyekuwa naye kuwa inaelekea itakuwa mvua kali, mzee akajibu isikutishe sio mvua... hii radi itakuwa imetua sehemu kuna watu wanalumbana...akasisitiza lazima itakuwa imemfikia huyo mtu tena itakuwa ni radi ya buku moja. (yaani radi ya sh elfu moja). sikuamini macho yangu, alinisihi tuendelee na mizunguko yetu ingawa nilishaingiwa na woga mwingi. Kwa hiyo mambo hayo yanatokea ndugu...ndio maana kwa maeneo kama hayo kuwa na maendeleo ni swala gumu sana...ukifika huko utajionea mwenyewe!

"Do nothing from selfishness or empty conceit, but with humility of mind, regard one another as more important than yourselves;do not merely look out for your personal interests,but also for the interest of others.""So then, while we have opportunity,let us do good to all people,and especially to those who are of the household of the faith."
Philippians 2:3;Galatians 6:10

--- On Thu, 10/25/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, October 25, 2012, 1:05 AM

Kiwasila,
Kwakweli hayo ya magazeti ya udaku ya Shigongo huwa siyasomi kwa kuyapuuza.
Lakini kama umeona mwenyewe nayo ni hatari sana.Ila siku nyingine ni vema kuwa na kamera ndogo hata ya simu ukapiga picha.Binadamu tu wabaya.Badala ya kufanya ya maendeleo tunafanya uharibifu na mateso kwa wenzetu.
Viongozi wa dini bado kazi ni kubwa kumbe.

Walewale.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Thursday, October 25, 2012 10:51 AM
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?

Ni kweli kabisa, mvua ya mawe imechesha na kuharibu shamba hilo tu ikachakaza mahindi. Ilinyesha hapo hapo shamba hilo tu na tuliwakuka ktk kikao na watuhumiwa mbele ktk viti wakihojiwa, walkajieleza mpambano wao na kuharibu mahindi makombora yalipogongana juu angani na kuharibu mazao. Walikubali kutoa chai ya kikao na fidia. Hata wale waliookoka hutoaga maelezo wakikabidhi makapu yao jinsi gani walivyokuwa wakitesa watu, kuangusha mabasi ili kupata damu, miili ya watu etc. Na kuna vitabu ambavyo walioacha uchawi wametoa taarifa mfano-cha  'Mchungaji stefano', kile cha 'Mama yangu anakula Nyama za watu' msichana Doro akisimulia, kitabu cha 'Simba wa Tunduru' uchawi wa kimakonde wa kugeuka simba akawala wale mgambo na askari wote akifungua mlango na kuwatoa ndani akawala  mpaka waliopisha wale waliomnyang'anya magendo yake wakati ule wa Baba wa taifa 1970s; makala magazetini ya-'Niliyoyaona Muchuari'; masimulizi radioni ya mtu aliyeoa msichana au mke wa ajabu; nilivyofundishwa uchawi na mke wangu na hao watoto wanaotumika na bibi kizee mchawi kuingia na kuiba hela kiuchawi nyumba za watu. Haya yanatoka katika vyombo vya habari kwa wenewe kuongea au simulizi. Na hao wanaofumwa wamedondoka toka ndege/kitunga chao na wamevaa kiajabu wakisimulia walivyodondoka na anatoka Mwanza, Tanga na kwingineko wenzake wamemuacha. Kisha watoto wake wanakuja kumchukua DSM au alipodondokea na alikuwepo huko jana.
 
Mengi ya utamaduni yapo ktk jamii yetu. Tunawashukuru sana watu wa Media (Hasa Shigongo aliyeanzisha vitabu hivi vya simulizi za kweli) kwa kutuelimisha hizi tamaduni kuwa zipo ili tuzidi kusali na kuomba uovu wao uteketezwe. Mwisho wa kila binadamu ni kufa au kifo. hakuna atakayeingia peponi kwa kuua mwingine kwa Imani ya dini au Uchawi. Eti umuue mwezako ili ufike peponi? Kila alichoumba Mungu ni chema.
 
--- On Thu, 25/10/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, 25 October, 2012, 5:46

Kiwasila ,
Wacha utani wako bwana.

Walewale.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, October 24, 2012 1:29 PM
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?

Sasa mifugo inakufa, njaa inawakua wananchi na watoto kuathirika na utapia mlo. Jee anasaidia watu wamungu walio waumini na wasio waumini wake? Kuna watu wameuawa nchini kwa kushukiwa kuzuia mvua.
 
As a witness-kulikuwa na kesi kijiji kimoja mbozi ambapo wachawi wawili walirushiana makombora, yakagongana angani yakapasuka na kunyesha mvua ya mawe ambayo iliharibu mahindi yote ya shamba hilo na walijieleza na kukubali kumlipa mwenye shamba fidia (1992). Walituomba siku hiyo tusifanye kazi hapo tukapewa hayo kuwa maelezo turudi kesho tutapewa nafasi. Wazungu tulioongozana nao hawakuelewa nasi tukashindwa kuwaeleza zaidi maana aibu na fedheha. Hao ni akina Upako wengine. Mungu atusaidie.

--- On Wed, 24/10/12, amour chamani <abachamani@yahoo.com> wrote:

From: amour chamani <abachamani@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 24 October, 2012, 9:28

Ni Mzee wa Upako.Ni nzuri inawaongezea imani wafuasi wake.Aliwahi kusema anaizuia mvua kwenye mahubiri yake kule Arusha na kweli haikuendelea kunyesha!

Walewale.

From: Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, October 24, 2012 11:50 AM
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?

Kuna Nabii mmoja wa kanisa la Upako aliongea katika TV akasema ameifunga isije ikaleta madhara kama yale ya Jangwani. Na kama itanyesha yeye atafunga kanisa lake na ataacha hiyo kazi. inashangaza alivyoongea kwa uhakika. Itakuwa upepo umegeuna kwa vile unaleta maafa zaidi chi za Asia na Ulaya.

--- On Wed, 24/10/12, Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com> wrote:

From: Lutgard Kagaruki <lutgardk@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Wednesday, 24 October, 2012, 6:50

Ndiyo maana unitwa utabiri!! LKK
 
From: Godfrey Ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, October 23, 2012 10:19 PM
Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?

naungana na bwana John,inawezekana kilichotabiriwa si elnino tuliyoizoea sisi,ni ya aina nyingne.Ngupula

------------------------------
On Tue, Oct 23, 2012 9:58 PM EEST gm26may@gmail.com wrote:

>
>Tatizo watakapotabiri janga la kweli wote tutapuuzia tukidhani yale yale kisha...
>
>
>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>
>-----Original Message-----
>From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>Date: Tue, 23 Oct 2012 11:49:27
>To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
>Reply-To: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>Cc: gm26may@gmail.com<gm26may@gmail.com>
>Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
>
>>Tulitabiriwa El Nino tangu September lakin mpaka October inaisha hakuna cha El Nino wala Fenando Torres 
>
>
>Kaka hapo sio pakushukuru?
>Anyway, hio El Nino tulioipata kutoka kwa Waislamu haikutosha?
>
>//John Nkumba.
>
>
>________________________________
> From: "gm26may@gmail.com" <gm26may@gmail.com>
>To: wanabidii@googlegroups.com
>Sent: Tuesday, October 23, 2012 2:36:12 PM
>Subject: Re: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
>
>
>
>Yes its Fair!
>
>Nataman na hapa ianzishwe hiyo sheria ili tuondokane na ubabaishaji wa idara yetu ya hali ya hewa
>
>Tulitabiriwa El Nino tangu September lakin mpaka October inaisha hakuna cha El Nino wala Fenando Torres
>
>
>
>Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network
>________________________________
>
>From:  John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
>Sender:  wanabidii@googlegroups.com
>Date: Tue, 23 Oct 2012 04:11:34 -0700 (PDT)
>To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
>ReplyTo:  wanabidii@googlegroups.com
>Subject: [wanabidii] IS THIS FAIR ?
>
> http://zanzibarnikwetu.blogspot.ca/2012/10/is-this-fair.html
>--
>Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment