Tuesday 23 October 2012

Re: [wanabidii] Huyu anaipenda CCM kikweli!

Hapana kaka ila imechukua picha ya mbele yake kwakuwa chumba chote kimepambwa kijani zaidi na njano tu.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.

From: John Nkumbaruko <nkumbaruko@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 23 Oct 2012 08:50:11 -0700 (PDT)
To: wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Huyu anaipenda CCM kikweli!

Jamani, huyu mwenzetu sijui kama haya anayoyaonesha ni mapenzi au ni ugonjwa!
Katia rangi ya chama chake mpaka kwenye miwani aliyoivaa!
Hii kweli inafurahisha na kukirihisha pia!

0 comments:

Post a Comment