Wednesday 17 October 2012

Re: [wanabidii] Fwd: [tanzanet] Zanzibar na Dar kwalipuka

>.....yuko huko huku nchi ikiparanganyika!

Ndio maana ZANZIBAR NI KWETU wameandika kuwa katangaza vita ambayo ianze wakati yeye hayupo!
Of course, amri katoa yeye kwa Unguja na hapa, lakini kwanini angojee kuondoka kwanza?
What a joke!
Would Nyerere or Mkapa have done that?
This is a big joke with people's lives!

//Nkumba.


From: Magiri paul <kiganyi@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Wednesday, October 17, 2012 1:08:19 PM
Subject: Re: [wanabidii] Fwd: [tanzanet] Zanzibar na Dar kwalipuka

Hiyo ni kweli kabisa mkuu! Huku hali si hali, na hata kifo cha mwalimu nacho hatuamini kama ilikuwa ni cha kupangwa au la!

Jk amesema sisi na Oman tuna udugu wa "kidamu" yuko huko huku nchi ikiparanganyika!

Naangalia TBC hapa wanachakachua habari na Mungu mkubwa taarifa zao hazitoi sauti, wameingia mitini!

Magiri.
www.wotepamoja.com

Tarehe 17 Oktoba 2012 5:58 alasiri, Willy Makundi <wrlmakundi@aol.com> aliandika:
I can not vouch for the veracity of this cross posting. Lakini kama ni ukweli, ina maana kuna watu wameacha kuheshimu na kuogopa uwepo wa serikali. Hapa serikali haihitajiwi kutoia wrong signal kabisa kabisa, laa sivyo litadoda. Ooo how I miss Mwalimu.

mchilyi7.0

-----Original Message-----
From:  <d......re@gmail.com>
To: list@tanzanet.org <L.....@tanzanet.org>
Sent: Wed, Oct 17, 2012 7:38 pm
Subject: Re:  ] Zanzibar na Dar kwalipuka

Na kuna tetesi zinasema kuna wana Uamsho wameondoka leo Zanzibar kuja Dar kuchoma makanisa zaidi.

2012/10/17 Dre <d.... re@gmail.com>
Zifuatazo ni picha za wana Uamsho ambao leo wamefanya vurugu Zanzibar kudai Waislam wenzao waliokamatwa Mbagala waachiwe huru!

https://fbcdn-sphotos-a-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/66223_434489206611991_441500282_n.jpg
---
https://fbcdn-sphotos-f-a.akamaihd.net/hphotos-ak-snc6/224483_452681711437376_70675650_n.jpg
---
https://fbcdn-sphotos-e-a.akamaihd.net/hphotos-ak-prn1/155385_452680354770845_708171533_n.jpg

---
Dar pia kulikuwa na hali tete Polisi Central baada ya Waislam kuandamana kushinikiza kuachiwa huru kwa kiongozi wao Sheikh Ponda aliyekamatwa kwa tuhuma za kuchochea vurugu.




--
Experience can make you better or bitter.

   
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 


0 comments:

Post a Comment