Monday 8 October 2012

Re: [wanabidii] Frederick Tluway Sumaye Kujivua Gamba

Ezekiel,

Liko wazi sana iwapo mtu utaamua kufuatilia matukio ya miezi ya mwaka huu kisha linganisha na yale kuelekea uchaguzi mkuu 2005. Style ni ile ile na walianza na huyu huyu Sumaye wakidai ndiye mmiliki wa Soko la Kimataifa la Kibaigwa!!!

Baadae wakafuata kina Salim na Mwandosya, wakashughulikiwa ile mbaya, ikaja kura ya maoni ya BBC!!!!!!!!!!

Architecture wa zile plan ndio hao hao, akiwemo huyo mkubwa toka ile media, wamejisahau walitumia hiyo mbinu, au wanadhani watu hawakuibaini.

Jana kajitokeza Sumaye mweyewe, kakunusha na kuweka wazi hajaongea na mtu yeyote, sasa subiri itavyopindishwa yale maelezo yake, watu wako kazini 2015. 

Tusubiri tu, yataibuka mengi, hususani mwakani!!!

Felix

2012/10/8 ezekiel kunyaranyara <ekunyaranyara@yahoo.co.uk>

 Felix,
Una mtizamo wa mbali sana katika mambo haya kama umekwishaliona na hili pia kama sehemu ya mkakati wa watu kwa ajili ya 2015. Umesema kweli hapa "... Kuna mkubwa mmoja alipondolewa sehemu, watu walimtetea sana, but behind the curtain nina imani yuko nyuma ya huu upuuzi!!!!"

K.E.M.S.

From: Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Sunday, 7 October 2012, 1:16
Subject: Re: [wanabidii] Frederick Tluway Sumaye Kujivua Gamba

Tony,

Nakubaliana nawe kabisa, kuna tatizo kubwa katika media industry yetu, lakini hii ni reflection tu ya jinsi taifa lilivyoporomoka. Lakini nani wa kusaidia kuondoa huu upuuzi, ni pamoja na sisi hapa jukwaani.

Fikiria, iwapo sisi hapa, wenye kutegemewa kuwa waelewa wa mambo nasi tunakuwa watu wa nyepesi yepesi, tutegemee nini!!!!

Ukifuatilia hizo articles, tena nasikitika zinatoka kwenye chombo chenye kuheshimika sana kwa sasa, utabaini kuwepo kwa master plan kama ile kuelekea 2005 kuchafua baadhi ya Watanzania wenye nia ya kuwania Urais.

Ushindi wa kura 700 kule Monduli unapewa sura ya kitaifa!!!!!!

Then, inatengenezwa habari kuonyesha jamaa anahama chama!! Hao hao kuelekea 2005, walimchafua sana Salim Ahmed Salim, Sumaye mwenyewe na Mwandosya, wamesahau kuwa hatujaisahau hiyo mbinu, wameanza tena, na wameanza tena na huyo huyo Sumaye.

Kuna mkubwa mmoja alipondolewa sehemu, watu walimtetea sana, but behind the curtain nina imani yuko nyuma ya huu upuuzi!!!!

Felix

2012/10/7 Vincent Mhangwa <vmhangwa@gmail.com>
HK
Unashangaa amezipata wapi?!!!! Mbona haushangai kama ni za kweli au la!! Je, unathibitisha kuwa ni za kweli lakini unashangaa kazipataje?
Vin

2012/10/6 <hkigwangalla@gmail.com>

Umepata wapi hizi taarifa?
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

-----Original Message-----
From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 6 Oct 2012 06:45:28
To: Wanabidii<wanabidii@googlegroups.com>
Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: [wanabidii] Frederick Tluway Sumaye Kujivua Gamba

Waziri Mkuu wa Zamani ndugu Frederick Tluway Sumaye anatarajia kujivua
gamba kesho baada ya kutupwa kwenye chaguzi za CCM zinazoendelea
nchini .

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment