Wednesday 17 October 2012

Re: [wanabidii] Developing story in Zanzibar now

Ukisikia kuumbuka ndo huku, machoni pa mataifa tunajisifia kwamba
Tanzania ni kisiwa cha amani. Kwa matendo haya amani iko wapi? Hakuna
mtalii atapenda kwenda sehemu kama hii tena, kimsingi nchi nzima
imekwisha chafuliwa. Maskini wawekezaji wameula wa chuya
Sijui tutatumia sabuni gani kuosha huu uchafu, mtu unajiuliza hawa
jamaa hawakubarikiwa nchi kavu kubwa walichobarikiwa nacho zaidi ni
bahari na wakafanikiwa kuwavuta watalii sasa naona wamewachoka bila
shaka kuna kitu kizuri zaidi wamehaidiwa, tuwaache wafaidi hayo
matunda na wala tusiwaingilie

2012/10/17 Dr. Hamisi A. Kigwangalla <hkigwangalla@gmail.com>:
> Why have the Zanzibarians decided to destory their beautiful, peaceful
> island? Hata kama wanataka kujitenga, wakiishaharibu kila kitu wataanzia
> wapi? Nani atawaamini tena aje kuwekeza Zanzibar? Wanataka kuwa kama yule
> mwanamke mpumbavu anayevunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...hivi
> kujenga hiyo reputation ya Zanzibar kwenye sekta ya utalii imechukua miaka
> mingapi jamani? Kwa nini wanaiharibu kiasi hicho????
>
> Ni nani ameturoga watanzania jamani?
>
> Mbona sioni sababu ya migogoro ya kule Zenji? Ama kuna kitu na-miss hapa?
>
> Regards,
> HK.
>
>
> On Wed, Oct 17, 2012 at 6:07 PM, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com>
> wrote:
>>
>>
>> Mambo magumu Zanzibar jamani!
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
>
>
>
> --
> "Vision is the ability to see the invisible!"
> Hamisi A. Kigwangalla, MD, MPH, MBA
> P.O.Box 22499,
> Dar es salaam.
> Tanzania.
> Phone No: +255 754 636963
> +255 782 636963
> website: www.peercorpstrust.org or www.hamisikigwangalla.com
> Email: hamisi.kigwangalla@peercorpstrust.org or info@hamisikigwangalla.com
> Skype ID: hkigwangalla
> Blog: blog.hamisikigwangalla.com
>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment