Saturday 27 October 2012

Re: [wanabidii] CHADEMA – ARUSHA: Nassari (Mb) anusurika kukung’utwa; MOSHI: Madiwani wakung’utana; SHINYANGA: Mwenyekiti achomwa mkuki - Mwanzo

Hivi hapa nani mchokozi? aliyekwenda kuwafata watu kilabuni akaambulia kipigo au aliyetembeza kichapo baada ya kubughudhiwa akinywa pombe ya kienyeji? Nachofahamu chezea chochote ila usichezee pombe ya mtu. Kama kampeni bado na nasari alikuwa anakwenda nyumba kwa nyumba wanajuaje kama alikuwa anahamasisha shughuli za maendeleo na kusikiriza kero za wananchi.
 
2012/10/26 Mohamedi Mtoi <mouddymtoi@gmail.com>
Hata washabiki wa ccm nao wakati mwingine fikra zao zinafafana na uzee wa chama chao.
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

From: Baika Kahuta <baikak@yahoo.com>
Date: Fri, 26 Oct 2012 03:42:25 -0700 (PDT)
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA – ARUSHA: Nassari (Mb) anusurika kukung'utwa; MOSHI: Madiwani wakung'utana; SHINYANGA: Mwenyekiti achomwa mkuki - Mwanzo

Huyo katibu wa CCM sio kiongozi wa kiserikali, alijiingizaje kwenye kumzuia Nassari asiendeleze M4C?

Mt. B;
Bukoba Municipal,

Tanzania - East Africa.

--- On Fri, 10/26/12, Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com> wrote:

From: Tumaini Makene <makene_84@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] CHADEMA – ARUSHA: Nassari (Mb) anusurika kukung'utwa; MOSHI: Madiwani wakung'utana; SHINYANGA: Mwenyekiti achomwa mkuki - Mwanzo
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Cc: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 26, 2012, 1:30 AM

Magiri

Umeandika headline kubwa, stori finyu. Hivi definition ya kampeni za uchaguzi unaifahamu vyema mkuu, ili mtu aonekane ameanza kampeni mapema! Haya habari inayomhusu Joshua, prime source Katibu Kata wa CCM, du!

Sent from my iPad

On Oct 26, 2012, at 6:11 AM, Reginald Miruko <rsmiruko@gmail.com> wrote:

> mpaka hapo kitendo hicho hakiwezi kuleta vurugu. sema labda baada ya
> hapo kuna watu walijitokeza wakachukua sheria kiganjani
> kuwazuia...hiyo ndio vurugu
>
> On 25/10/2012, Magiri paul <kiganyi@gmail.com> wrote:
>> MBUNGE wa Jimbo la Arumeru, mashariki, Joshua Nasari  amenusurika kipigo
>> kutoka kwa wananchi ambao walichukizwa na kitendo chake cha kuhamasisha
>> wafuasi wa Chama chake, CHADEMA, kuwashambulia wanachama wa CCM na
>> kumjeruhi Katibu kata wa  CCM, kata ya Usariver, baada ya kuzuiliwa
>> asifanye kampeni za uchaguzi wa wenyeviti wa vitongoji katika mji mdogo wa
>> Usariver kabla ya wakati.
>>
>> Tukio hilo ambalo limethibitishwa na Katibu wa CCM wilaya ya Meru, LANGAEL
>> AKYOO, amesema  katika vurugu hizo zilizotokea katika  eneo hilo la
>> Usariver, katibu wa kata ya Kisambare wa Chama cha mapinduzi, alijeruhiwa
>> kichwani mdomo  na mkono ambapo amefungua jalada kituo kikuu cha polidsi
>> wilayani Arumeru, USRIVER/RB 4397 /2012.
>>
>> Ammesema chanzo cha tukio hilo ni mbunge huyo kuanza kupita nyumba hadi
>> nyumba na kwenye vilaub vya pombe za kiasili na kuwanunulia
>> pombe akihamasisha wananchi kukichagua Chama chake kabla ya muda wa kampeni
>> haujaanza.
>>
>> Kampeni zimepangwa kuanza Oktoba 28 mwaka huu.
>>
>> http://wotepamoja.com/archives/9704#.UIl9ZH6Jjb0.gmail
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
>
> --
> RSM
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment