Sunday 28 October 2012

Re: [wanabidii] Abridged summary of wanabidii@googlegroups.com - 98 Messages in 42 Topics

As far as I know, kijana wa Mbagala alikojolea Qur'an siku ya Jumatatu
na kupelekwa kituo cha polisi Kizuiani, Mbagala, siku hiyo hiyo. Situ
5 baadaye, baada ya sala ya Ijumaa, baadhi ya Waislamu (baada ya
kuhamasishana) waliamua kwenda kituoni kulazimisha huyo kijana atolewe
na wamkate kichwa. Polisi wakawa ngangali na kuimarisha ulinzi kwenye
kituo cha polisi Kizuiani, Mbagala. Wakati huhuo baadhi ya makanisa
Mbagala Kizuiani (karibu na sehemu kilichopo kituo cha polisi)
yalikuwa yameshaanza kuhabiriwa. Wengine walisikika wakisema walifanya
makosa kumpeleka polisi, wangemkata shingo siku hiyo hiyo.

Hao waumini walipoona imeshindikana kumtoa huyo kijana na kumkata
kichwa, wakaenda kujikusanya sehemu ambayo huwa wanafanyia mihadhara
Mbagala Zakheim. Kutoka hapo ndipo wakaanza kushambulia makanisa
yaliyo upande huo wa Mbagala Rangi 3 na kulikuwa na tetesi kuwa
wangechoma moto DAR LIVE na baa za makafir. Haya niliyasikia kwa
baadhi ya wamiliki wa baa ambao walikuwa wakifunga baa zao kwa kuhofia
kuchomwa moto.

Hivyo, yaliyotokea Mbagala siyo 'immediate reaction' kwamba polisi
walichelewa kuchukua hatua bali ilikuwa ni kutaka kuoesha nguvu ya
kujichukulia sheria mkononi. Pili, kwa nini makanisa yalichomwa moto
Zanzibar na sasa Tanzania Bara tuseme yalichomwa na wahuni? Ina maana
hawa wahuni wanachangua tu kuchoma moto makanisa na siyo majengo
mengine ya ibada?

Mihadhara mingi inayofanywa hapa Dar es Salaam, imejaa kejeli kuhusu
Ukristo. Wasemaji huwa wanatumia Biblia (sehemu zile zinazoendana na
mafundisho yao) kudai hakuna dini ya Ukristo bali kilichopo ni kile
kilichojengwa na Paulo Mtume (ambaye amepotosha ujumbe wa Yesu). Pia
hao wasemaji au wahubiri wanajenga uadui kati ya waumini wa Kiislamu
na Kikristo. Mitaa ninayokaa mimi watoto wadogo wanafundishwa kuwaita
Wakristo makafir na unakuta wakibishana kidogo na wenzao wanaanza
kusema: "shida yenu nyinyi makafir hamkubali ukweli..." Baadhi ya
waumini wanasema waziwazi: "Adui mkubwa wa Uislamu ni Kanisa
Katoliki."

On 10/28/12, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com> wrote:
> Mwaka 1933 Galileo Galilei alihukumiwa kifungo cha maisha dhidi ya
> heliocentism yaani alisema dunia ni tufe na dunia ndo inalizunguka jua wala
> sio jua ndo linalozunguka dunia, theory hii iliwaudhi watawala wa roma
> wakamshitaki na kumhukumu. Leo hii tunamshitaki na kumhukumu Emmanuel
> Mwinuka kwa kusema ukweli kuwa ukikojolea kitabu hauwezi kuwa mjusi! Mzazi
> wangu alinilea kusema ukweli kuwa usipoenda kanisani utakula mboko na
> ndicho kilichokuwa kinatokea.
>
> Kwa maelezo ya mama mzazi Ms Theresia walichukuliwa na mwenyekiti wa mtaa
> mzee Donald Nevere saa tano usiku na kulala lumande, Lipumba anataka quick
> response ipi zaidi ya kumtoa mtoto usingizini na kumpeleka lumande? Tayari
> huyu mtoto keshaathirika kisaikologia kwa mambo ya kipuuzi.
>
> Mgogoro wa Mbagala na Ponda ni vitu viwili tofauti, lakini vinaunganishwa
> kuleta uzito katika kesi ya Emmanuel. Ponda hakai mbagala wala hakuwepo
> katika watu waliovamia kanisa na si sheikhe wa msikiti wa mbagala. Yeye
> Ponda anakesi ya kiwanja na kampuni ya Afritanza kumtia msalabani pamoja na
> Emmmanuel ni kushinikiza hukumu isiyokuwa ya haki kwa huyu kijana. Lakini
> inaweza kuwa pia ni ufunuo kwa wakristo tuone nini kinachoendelea dhidi ya
> taifa hili.
>
> 2012/10/28 Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
>
>> Mh. Prof Lipumba,
>> Asante kwa kutuwekea hapa msimamo na tamko la chama chako, Mimi binafsi
>> napenda sana unavyojenga na ulivyojenga hoja, na kawaida mjenga hoja
>> makini bila jazba kama wewe hupenda kusoma na kusikiliza hoja za wengine.
>> Natoa hoja zangu:
>>
>> HOJA YANGU:
>> Kama uliyoandika na kushauri serikali kuwa yule kijana wa kikistru
>> aliyekojolea Quran na kunjisi kitabu kitakatifu angekamatwa haraka na
>> kuchelewesha kukamatwa ndo kulileta vurugu ndio hoja yako. sasa hoja
>> yangu
>> ni Je wewe binafsi kwa dini yako, hadhi na kwa elimu yako unaona ni sawa
>> kwa kijana wa kiislamu ambaye Kama yule wa kikistru bado ni mtoto
>> kulingana
>> na sheria zetu za jinai, yeye hana kosa? Malezi gani ya kiislamu
>> yanasema
>> huyo mtoto aseme mtu akikojolea Quran anageuka mjusi? Halafu atishe
>> wenzie
>> wasioamini hivo mtaani? hilo umeliona? Yeye Kama anakiheshimu hicho
>> kitabu
>> kwanini amjaribu mwezake tena rafiki yake, na unajua Kama asingeulizwa
>> nyumbani wala asingesema? Maana mambo mengi watoto wetu wanafanya hua
>> hatujui miaka itokee labsha au uone nguo zimechanika ndo unauliza!
>>
>> Wewe una watoto, na Mimi pia Nina watoto, na watoto wetu wa siku hizi
>> Kama
>> nilivyomueleza Dr. Lwaitama ni waelewa, hawaambiwi kuwa mtoto anatokea tu
>> tumboni hata kama wewe na Mimi hatuwaelezi wataelezwa na wenzao shule,
>> watasoma kwenye Internet. Na kufanya hiyo ni kufanya utundu, huwezi wewe
>> Kama mzazi ukasema huyo Hana adabu, hakuna mzazi anapenda wanae wasiwe na
>> adabu! Wote tunawalea watoto vizuri, mwenye kubahatika kuwa na wenye
>> adabu
>> wasiovuta bangi, amshukuru mungu, sio kuwa yeye ni mzazi bora.
>>
>> Mwisho, wewe hakuna kwenye hoja yako Hapa chini hujaliona kwa jicho la
>> kitaalamu na kusema hao ni watoto walikuwa wanacheza Kama ambavyo wewe
>> na
>> Mimi tunaletewa kesi za watoto wetu wamekosa shule?
>>
>> HOJA YA DHAMANA YA SHEIKH PONDA
>>
>> Hili nakuunga mkono apewe DHAMANA na haraka sana. Kila mtu analindwa na
>> Katiba yetu Ibara ya 13(6)(b) hiyo hoja yako ina mashiko,na serikali au
>> polisi wasitafute chuki bila sababu na waislamu hasa wafuasi wake PONDA.
>> DPP atumie madaraka yake makubwa alopewa na Katiba vizuri.
>>
>> Asante Sana
>> From LR
>>
>> On 27 Okt 2012, at 22:18, "Ibrahim Lipumba" <lipumba@yahoo.com> wrote:
>>
>> Ndugu Tony na wengine ni hii ifuatayo. Mara nyingi nimetoa maelezo
>> kulaani vitendo vya kuonewa watu mbalimbali. Hata Mhe. Freeman Mbowe
>> alipokamatwa na kuwekwa ndani kwa kisingiziyo cha kutohudhuria mahakamani
>> na nikaenda kumtazama Central Police Station. Kila mtu ana haki ya kuunga
>> mkono chama na wanasiasa anaowapenda lakini si vyema kupotosha na kujenga
>> chuki.
>> TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: WATANZANIA TUSIKUBALI KUINGIZWA KATIKA
>> MAPAMBANO YA KIIMANI****
>> Nchi yetu imeingia katika mgogoro na mtafaruku mkubwa baada ya kijana
>> mmoja kukojolea kitabu cha Qur'an tukufu maeneo ya Mbagala na kufuatiwa
>> na
>> baadhi ya makanisa hapa nchini kuharibiwa na kuchomwa moto. Kwa Waislam
>> kitendo cha kuinajisi Qur'an ni udhalilishaji wa hali ya juu na vyombo
>> vya
>> dola vinapaswa kuelewe kuwa hisia za Waislam wengi zinaathiriwa sana na
>> kitendo hicho. Hatua za haraka za kumkamata na kumuhoji kijana
>> aliyehusika
>> na kutoa maelezo kwa umma kuwa suala hili linashughulikiwa ipasavyo
>> kungewatuliza wananchi wengi. Kuchelewa kuchukua hatua kulitoa mwanya kwa
>> watu wengine na vibaka kuvamia Makanisa kupora, kuyaharibu na kuyachoma
>> moto. Kitendo hiki kimewaumiza, kuwakasirisha na kuwafadhaisha Waumini wa
>> Makanisa hayo na Watanzania kwa ujumla.****
>> CUF Chama Cha Wananchi kinalaani vikali kitendo kilichofanywa na kijana
>> kunajisi Qur'an tukufu. Huku ni kuporomoka kukubwa kwa maadili ya vijana
>> wetu. Kitendo cha kijana huyu kilipaswa kuchukuliwa hatua mara moja baada
>> ya taarifa kufikishwa kwenye vyombo vya dola.****
>> Kitendo cha kijana huyu hakihalalishi kwa namna yeyote ile kuvamia
>> makanisa, kuyapora, kuyaharibu na kuyachoma moto. CUF Chama Cha Wananchi
>> kinalaani vikali vitendo vya kihalifu na vya kuchochea mfarakano ndani ya
>> jamii vilivyofanywa na watu na vibaka waliovamia makanisa haya. Tunawapa
>> pole Waumini wote walioathirika na matukio haya.****
>> Baada ya matukio ya kuharibu makanisa, polisi walieleza wamewakamata
>> watu waliohusika na vitendo hivyo na kuwa watawafikisha Mahakamani. Rais
>> Kikwete alienda kukagua makanisa yaliyoathirika na kuwapa pole waumini wa
>> makanisa hayo. Hii ilikuwa hatua ya mwanzo yakulirudisha taifa katika
>> maelewano.****
>> KUSHIKWA KWA SHEIKH PONDA****
>> Katika hali hii ya kuvurugika kwa amani kulikochangiwa na vyombo vya
>> dola kutochukua hatua za haraka dhidi ya kijana aliyeinajisi Qur'an,
>> polisi
>> walimkamata Sheikh Ponda. Vyombo vya Habari vimemnukuu Kamanda wa Kanda
>> Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akieleza pamoja na mambo mengine
>> kuwa Sheikh Ponda "Amekuwa akifanya maandamano kinyume cha sheria na hata
>> kutishia umwagaji damu Dar es Salaam, kipindi chote tulikuwa katika
>> uvumilivu wa kufuatilia nyendo zake kila kukicha,...licha ya hali hii,
>> Oktoba 12, mwaka huu, Ponda pamoja na wafuasi wake, walisababisha
>> kuvunjwa
>> makanisa usiku wa manane, uharibifu wa magari na wizi na upotevu wa vifaa
>> katika makanisa… haya yote yameongozwa na Ponda na madhara yake ni
>> makubwa." (Mtanzania ALHAMISI, OCTOBA 18, 2012 05:06)****
>> Unaweza usikubaliane na Sheikh Ponda katika maelezo na msimamo wake
>> kuhusu dhulma dhidi ya Waislam, lakini ni makosa makubwa kumsingizia
>> mambo ambayo hakuyatenda. Kwa jeshi la polisi kutoa shutuma hizi ambazo
>> hazina msingi wowote kunaongeza mfarakano ndani ya jamii.****
>> Hata hivyo kesi aliyoshitakiwa Sheikh Ponda ni ya kuvamia kiwanja
>> kisochokua chake. Kiwanja ambacho Sheikh Ponda anadaiwa kukivamia ni
>> kiwanja kilichokuwa kinamilikiwa na East African Muslim Welfare Society
>> kwa
>> madhumuni ya kujenga Chuo Kikuu cha Kiislam. Baada ya serikali kuivunja
>> East African Muslim Welfare Society na kuanzisha BAKWATA, mali zake
>> zilikabidhiwa BAKWATA. Anachodai Sheikh Ponda ni kuwa kiwanja hicho cha
>> Waislam kimeuzwa kinyume cha utaratibu na sheria zinazolinda mali ya
>> Waqfu.
>> ****
>> Kesi ya viwanja ni ya mahakama ya ardhi. Mwenye kiwanja alistahiki
>> kwenda mahakama ya ardhi na kueleza kuwa kiwanja chake kimevamiwa.
>> Kutumia
>> polisi wa FFU kumkamata Sheikh Ponda kwa tuhuma za kuvamia kiwanja ni
>> kitendo ambacho kimechochea vurugu. Matamshi ya Kamanda Kova
>> yakumuhusisha
>> Sheikh Ponda na uchomaji wa Makanisa jambo ambalo hakuhusika nalo na
>> kutoa
>> wito kwa wafuasi wa Sheikh Ponda kujisalimisha polisi ndilo lililochochea
>> maandamano ya Ijumaa tarehe 19 Oktoba 2012.****
>> Jeshi la Wananchi ni la kulinda mipaka yetu siyo la kwenda kupiga raia
>> wanaoandamana. Kitendo cha kuwaingiza barabarani wanajeshi kupambana na
>> raia ni kitendo cha aibu na cha kusikitisha. Serikali iepuke kujenga
>> uhasama kati ya Jeshi la Wananchi na raia.****
>> Kitendo cha kumnyima dhamana Sheikh Ponda na wenzake siyo cha haki.****
>> Kuinusuru nchi isingie katika mgogoro, Sheikh Ponda na wenzake wapewe
>> dhamana. Hiyo ni haki yake yao ya msingi. Mwenye kiwanja apeleke
>> malalamiko
>> yake mahakama ya ardhi na kesi hiyo ya kiwanja ihamishiwe huko.****
>> Baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, Rais Kikwete alizungumzia mgawanyiko wa
>> kidini uliotokea wakati wa uchaguzi. Hata hivyo hajachukua hatua zozote
>> za
>> kuleta maelewano ya kujenga utamaduni wa kuvumiliana baina ya Watanzania
>> wenye imani tofauti. CUF Chama Cha Wananchi kinatoa wito kwa Watanzania
>> kuwa na mjadala wa kujenga mahusiano mazuri na kuvumiliana baina ya dini
>> na
>> madhehebu hapa nchini. Mijadala hii ifanyike katika ngazi ya kitaifa na
>> katika maeneo ya wananchi na yahusishe viongozi wa dini wa taasisi zote,
>> vyama vya siasa na vyama vya kijamii kwa lengo la kujenga na kuimarisha
>> utamaduni wa kuvumiliana na kuheshimiana. Watanzania wote wajisikie kuwa
>> ni
>> raia wa daraja la kwanza katika nchi yao.****
>> ** **
>> Ibrahim Haruna Lipumba****
>> Mwenyekiti - CUF****
>>
>> *From:* "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
>> *To:* Abridged Recipients <wanabidii@googlegroups.com>
>> *Sent:* Friday, October 26, 2012 11:54 PM
>> *Subject:* [wanabidii] Abridged summary of wanabidii@googlegroups.com -
>> 98 Messages in 42 Topics
>>
>> Today's Topic Summary
>> Group: http://groups.google.com/group/wanabidii/topics
>>
>> - BITUMEN <http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_0> [1
>> Update]
>> - Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba -
>> Mwanzo<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_1>[15 Updates]
>> - Breaking News:: Waziri Mkuu wa Zamani wa Italia, Berlusconi, Afungwa
>> Miaka 4! - Mwanzo <http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_2>[4
>> Updates]
>> - Invitation to IT security seminar, Dar Es Salaam
>> 06/11/2012<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_3>[1 Update]
>> - Italy's Berlusconi sentenced to jail for tax
>> fraud<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_4>[1 Update]
>> - SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI KUU YA SIASA - UCHAGUZI MKUU
>> 2010<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_5>[6 Updates]
>> - Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_6>[1 Update]
>> - [Mabadiliko] Aibu kwa Tanzania: Hong Kong wakamata pembe ztu za
>> ndovu<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_7>[1 Update]
>> - Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_8>[1 Update]
>> - Fw: UNBELIEVABLE AND WRITTEN BY A MUSLIM VERY
>> INTERESTING<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_9>[1 Update]
>> - WANABIDII BENKI -
>> BAJETI<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_10>[1 Update]
>> - Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_11>[1 Update]
>> - MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO
>> PEMBA<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_12>[16 Updates]
>> - Picha – Mwalimu VETA Morogoro Akutwa Amejinyonga:: Viewers
>> Discretion Advised -
>> Mwanzo<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_13>[1 Update]
>> - Accessing Theses on Tanzania Done in the
>> UK<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_14>[1 Update]
>> - New Map Dividing Lake Nyasa/Malawi is Legal – Tanzania -
>> Mwanzo<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_15>[1 Update]
>> - Kigali leading the way; The Clean Kenya
>> Campaign<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_16>[1 Update]
>> - CHADEMA – ARUSHA: Nassari (Mb) anusurika kukung'utwa; MOSHI:
>> Madiwani wakung'utana; SHINYANGA: Mwenyekiti achomwa mkuki -
>> Mwanzo<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_17>[4 Updates]
>> - Dk Shein atangaza vita na wavunjifu wa amani
>> Zanzibar<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_18>[2 Updates]
>> - ARAB SPRING RESURFACES IN
>> BAHRAIN<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_19>[1 Update]
>> - Video : What Can Economists
>> Know?<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_20>[1 Update]
>> - 1 Weird Spice That Cures
>> Diabetes<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_21>[1 Update]
>> - ZANZIBAR POLICE COMMISSIONER SAYS: UAMSHO FUNDED BY ARAB
>> COUNTRIES<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_22>[3 Updates]
>> - Heri na amani sikukuu ya
>> EID<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_23>[4 Updates]
>> - WOW!!!............... AT LAST MAINLAND GIVES IN TO UAMSHO'S
>> DEMAND!<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_24>[1 Update]
>> - EFFECTIVE ENGLISH FLUENCY COACHING
>> PROGRAM<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_25>[1 Update]
>> - DINI ZINAVUKA MIPAKA KUINGILIA SHERIA ZA
>> NCHI<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_26>[1 Update]
>> - [Mabadiliko] EID
>> NJEMA!!<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_27>[4 Updates]
>> - HATUMUOGOPI MTU -
>> SMZ!!!<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_28>[1 Update]
>> - MASHINE YA KUKAMUA MAZIWA INAYOJIENDESHA YENYEWE (AUTOMATIC MILKING
>> MASHINE) <http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_29> [1
>> Update]
>> - Waraka kwa Wakristo waishio
>> Zanzibar<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_30>[1 Update]
>> - KITENDAWILI CHA
>> NYERERE;<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_31>[1 Update]
>> - Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_32>[1 Update]
>> - ZANZIBAR BADO SIO SHUWARI - WATU TELE WAPIGWA
>> USIKU!<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_33>[2 Updates]
>> - Fw: UNBELIEVABLE AND WRITTEN BY A MUSLIM VERY
>> INTERESTING<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_34>[1 Update]
>> - UNDP Human Development
>> Reports<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_35>[1 Update]
>> - Making sense of the mess in
>> Mali<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_36>[6 Updates]
>> - Vichwa Vya Habari Katika Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa -
>> Mwanzo<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_37>[1 Update]
>> - Dunia Daraja- Twanga Pepeta......Plus Mbaraka Mwinshehe's Daughter
>> on Stage...!! <http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_38> [1
>> Update]
>> - Exclusive: E-voting puts vote accuracy at risk in four key
>> states<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_39>[1 Update]
>> - Obama makes phone call to Colin Powell for endorsement
>> thanks<http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_40>[1 Update]
>> - [PK] Re: [wanabidii] Re: (VVM Forum) Re: Obama is finishing off
>> Romney <http://us.mg4.mail.yahoo.com/neo/#group_thread_41> [2 Updates]
>>
>> BITUMEN <http://groups.google.com/group/wanabidii/t/49078a868febc3b1>
>> Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba -
>> Mwanzo<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/fe830c5cccb99cef>
>> Breaking News:: Waziri Mkuu wa Zamani wa Italia, Berlusconi, Afungwa
>> Miaka 4! -
>> Mwanzo<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/29b1a62ec4334b8d>
>> Invitation to IT security seminar, Dar Es Salaam
>> 06/11/2012<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/571c63949686d038>
>> Italy's Berlusconi sentenced to jail for tax
>> fraud<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/d742df7f34ef0d40>
>> SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI KUU YA SIASA - UCHAGUZI MKUU
>> 2010<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/38784e5a125cbc6a>
>> Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/d3f5b9ce78cae3d2>
>> [Mabadiliko] Aibu kwa Tanzania: Hong Kong wakamata pembe ztu za
>> ndovu<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/74fd5d22921d5566>
>> Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/f31f970f66ff8891>
>> Fw: UNBELIEVABLE AND WRITTEN BY A MUSLIM VERY
>> INTERESTING<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/68fe0acf9fbf68bc>
>> WANABIDII BENKI -
>> BAJETI<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/485d657843a0fad4>
>> Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/666f4f52775472df>
>> MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO
>> PEMBA<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/37dec61e935f979e>
>> Picha – Mwalimu VETA Morogoro Akutwa Amejinyonga:: Viewers Discretion
>> Advised -
>> Mwanzo<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/a2be9e5cf505a786>
>> Accessing Theses on Tanzania Done in the
>> UK<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/a0f993c792bd6b2e>
>> New Map Dividing Lake Nyasa/Malawi is Legal – Tanzania -
>> Mwanzo<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/c1a2a32bca216def>
>> Kigali leading the way; The Clean Kenya
>> Campaign<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/5ced4acddea92671>
>> CHADEMA – ARUSHA: Nassari (Mb) anusurika kukung'utwa; MOSHI: Madiwani
>> wakung'utana; SHINYANGA: Mwenyekiti achomwa mkuki -
>> Mwanzo<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/f2901c73b473255e>
>> Dk Shein atangaza vita na wavunjifu wa amani
>> Zanzibar<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/74370bfdc1eab67c>
>> ARAB SPRING RESURFACES IN
>> BAHRAIN<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/8962ddde4590434f>
>> Video : What Can Economists
>> Know?<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/e56d1b1b4d424af3>
>> 1 Weird Spice That Cures
>> Diabetes<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/64cd6d9a0101d628>
>> ZANZIBAR POLICE COMMISSIONER SAYS: UAMSHO FUNDED BY ARAB
>> COUNTRIES<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/2db9f804fc779e86>
>> Heri na amani sikukuu ya
>> EID<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/ed709652ecd64147>
>> WOW!!!............... AT LAST MAINLAND GIVES IN TO UAMSHO'S
>> DEMAND!<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/c2d1657b5778f180>
>> EFFECTIVE ENGLISH FLUENCY COACHING
>> PROGRAM<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/4afeded0422b3638>
>> DINI ZINAVUKA MIPAKA KUINGILIA SHERIA ZA
>> NCHI<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/7b57af974ffe6418>
>> [Mabadiliko] EID
>> NJEMA!!<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/c07f24888142d262>
>> HATUMUOGOPI MTU -
>> SMZ!!!<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/d4ae188338d07396>
>> MASHINE YA KUKAMUA MAZIWA INAYOJIENDESHA YENYEWE (AUTOMATIC MILKING
>> MASHINE) <http://groups.google.com/group/wanabidii/t/d9b37e01e04ddbc7>
>> Waraka kwa Wakristo waishio
>> Zanzibar<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/5cd7b68191af2d68>
>> KITENDAWILI CHA
>> NYERERE;<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/32bcc76709bb157e>
>> Fw: Tanzania: Christians threatened by
>> Islamisation<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/69a5b0c23284cb1a>
>> ZANZIBAR BADO SIO SHUWARI - WATU TELE WAPIGWA
>> USIKU!<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/a6b6680b25bf7e35>
>> Fw: UNBELIEVABLE AND WRITTEN BY A MUSLIM VERY
>> INTERESTING<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/ae48d0c57d9be536>
>> UNDP Human Development
>> Reports<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/e386f5e98726d0fc>
>> Making sense of the mess in
>> Mali<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/855278cdff246659>
>> Vichwa Vya Habari Katika Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa -
>> Mwanzo<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/77dbaf1e3fe32b99>
>> Dunia Daraja- Twanga Pepeta......Plus Mbaraka Mwinshehe's Daughter on
>> Stage...!! <http://groups.google.com/group/wanabidii/t/3b4e6d6ce7a1440d>
>> Exclusive: E-voting puts vote accuracy at risk in four key
>> states<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/2f1666dab96fc247>
>> Obama makes phone call to Colin Powell for endorsement
>> thanks<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/bc632c1bf9664901>
>> [PK] Re: [wanabidii] Re: (VVM Forum) Re: Obama is finishing off
>> Romney<http://groups.google.com/group/wanabidii/t/8a1e76d95b0c6fec>
>> You received this message because you are subscribed to the Google Group
>> wanabidii.
>> You can post via email <wanabidii@googlegroups.com>.
>> To unsubscribe from this group,
>> send<wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com>an empty message.
>> For more options, visit
>> <http://groups.google.com/group/wanabidii/topics>this group.
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment