Mwaka 1933 Galileo Galilei alihukumiwa kifungo cha maisha dhidi ya heliocentism yaani alisema dunia ni tufe na dunia ndo inalizunguka jua wala sio jua ndo linalozunguka dunia, theory hii iliwaudhi watawala wa roma wakamshitaki na kumhukumu. Leo hii tunamshitaki na kumhukumu Emmanuel Mwinuka kwa kusema ukweli kuwa ukikojolea kitabu hauwezi kuwa mjusi! Mzazi wangu alinilea kusema ukweli kuwa usipoenda kanisani utakula mboko na ndicho kilichokuwa kinatokea.
Kwa maelezo ya mama mzazi Ms Theresia walichukuliwa na mwenyekiti wa mtaa mzee Donald Nevere saa tano usiku na kulala lumande, Lipumba anataka quick response ipi zaidi ya kumtoa mtoto usingizini na kumpeleka lumande? Tayari huyu mtoto keshaathirika kisaikologia kwa mambo ya kipuuzi.
Mgogoro wa Mbagala na Ponda ni vitu viwili tofauti, lakini vinaunganishwa kuleta uzito katika kesi ya Emmanuel. Ponda hakai mbagala wala hakuwepo katika watu waliovamia kanisa na si sheikhe wa msikiti wa mbagala. Yeye Ponda anakesi ya kiwanja na kampuni ya Afritanza kumtia msalabani pamoja na Emmmanuel ni kushinikiza hukumu isiyokuwa ya haki kwa huyu kijana. Lakini inaweza kuwa pia ni ufunuo kwa wakristo tuone nini kinachoendelea dhidi ya taifa hili.
2012/10/28 Laurean Rugambwa <rugambwa@hotmail.com>
Mh. Prof Lipumba,Asante kwa kutuwekea hapa msimamo na tamko la chama chako, Mimi binafsi napenda sana unavyojenga na ulivyojenga hoja, na kawaida mjenga hoja makini bila jazba kama wewe hupenda kusoma na kusikiliza hoja za wengine. Natoa hoja zangu:HOJA YANGU:Kama uliyoandika na kushauri serikali kuwa yule kijana wa kikistru aliyekojolea Quran na kunjisi kitabu kitakatifu angekamatwa haraka na kuchelewesha kukamatwa ndo kulileta vurugu ndio hoja yako. sasa hoja yangu ni Je wewe binafsi kwa dini yako, hadhi na kwa elimu yako unaona ni sawa kwa kijana wa kiislamu ambaye Kama yule wa kikistru bado ni mtoto kulingana na sheria zetu za jinai, yeye hana kosa? Malezi gani ya kiislamu yanasema huyo mtoto aseme mtu akikojolea Quran anageuka mjusi? Halafu atishe wenzie wasioamini hivo mtaani? hilo umeliona? Yeye Kama anakiheshimu hicho kitabu kwanini amjaribu mwezake tena rafiki yake, na unajua Kama asingeulizwa nyumbani wala asingesema? Maana mambo mengi watoto wetu wanafanya hua hatujui miaka itokee labsha au uone nguo zimechanika ndo unauliza!Wewe una watoto, na Mimi pia Nina watoto, na watoto wetu wa siku hizi Kama nilivyomueleza Dr. Lwaitama ni waelewa, hawaambiwi kuwa mtoto anatokea tu tumboni hata kama wewe na Mimi hatuwaelezi wataelezwa na wenzao shule, watasoma kwenye Internet. Na kufanya hiyo ni kufanya utundu, huwezi wewe Kama mzazi ukasema huyo Hana adabu, hakuna mzazi anapenda wanae wasiwe na adabu! Wote tunawalea watoto vizuri, mwenye kubahatika kuwa na wenye adabu wasiovuta bangi, amshukuru mungu, sio kuwa yeye ni mzazi bora.
Mwisho, wewe hakuna kwenye hoja yako Hapa chini hujaliona kwa jicho la kitaalamu na kusema hao ni watoto walikuwa wanacheza Kama ambavyo wewe na Mimi tunaletewa kesi za watoto wetu wamekosa shule?HOJA YA DHAMANA YA SHEIKH PONDAHili nakuunga mkono apewe DHAMANA na haraka sana. Kila mtu analindwa na Katiba yetu Ibara ya 13(6)(b) hiyo hoja yako ina mashiko,na serikali au polisi wasitafute chuki bila sababu na waislamu hasa wafuasi wake PONDA. DPP atumie madaraka yake makubwa alopewa na Katiba vizuri.Asante Sana
From LR--Ndugu Tony na wengine ni hii ifuatayo. Mara nyingi nimetoa maelezo kulaani vitendo vya kuonewa watu mbalimbali. Hata Mhe. Freeman Mbowe alipokamatwa na kuwekwa ndani kwa kisingiziyo cha kutohudhuria mahakamani na nikaenda kumtazama Central Police Station. Kila mtu ana haki ya kuunga mkono chama na wanasiasa anaowapenda lakini si vyema kupotosha na kujenga chuki.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI: WATANZANIA TUSIKUBALI KUINGIZWA KATIKA MAPAMBANO YA KIIMANINchi yetu imeingia katika mgogoro na mtafaruku mkubwa baada ya kijana mmoja kukojolea kitabu cha Qur'an tukufu maeneo ya Mbagala na kufuatiwa na baadhi ya makanisa hapa nchini kuharibiwa na kuchomwa moto. Kwa Waislam kitendo cha kuinajisi Qur'an ni udhalilishaji wa hali ya juu na vyombo vya dola vinapaswa kuelewe kuwa hisia za Waislam wengi zinaathiriwa sana na kitendo hicho. Hatua za haraka za kumkamata na kumuhoji kijana aliyehusika na kutoa maelezo kwa umma kuwa suala hili linashughulikiwa ipasavyo kungewatuliza wananchi wengi. Kuchelewa kuchukua hatua kulitoa mwanya kwa watu wengine na vibaka kuvamia Makanisa kupora, kuyaharibu na kuyachoma moto. Kitendo hiki kimewaumiza, kuwakasirisha na kuwafadhaisha Waumini wa Makanisa hayo na Watanzania kwa ujumla.CUF Chama Cha Wananchi kinalaani vikali kitendo kilichofanywa na kijana kunajisi Qur'an tukufu. Huku ni kuporomoka kukubwa kwa maadili ya vijana wetu. Kitendo cha kijana huyu kilipaswa kuchukuliwa hatua mara moja baada ya taarifa kufikishwa kwenye vyombo vya dola.Kitendo cha kijana huyu hakihalalishi kwa namna yeyote ile kuvamia makanisa, kuyapora, kuyaharibu na kuyachoma moto. CUF Chama Cha Wananchi kinalaani vikali vitendo vya kihalifu na vya kuchochea mfarakano ndani ya jamii vilivyofanywa na watu na vibaka waliovamia makanisa haya. Tunawapa pole Waumini wote walioathirika na matukio haya.Baada ya matukio ya kuharibu makanisa, polisi walieleza wamewakamata watu waliohusika na vitendo hivyo na kuwa watawafikisha Mahakamani. Rais Kikwete alienda kukagua makanisa yaliyoathirika na kuwapa pole waumini wa makanisa hayo. Hii ilikuwa hatua ya mwanzo yakulirudisha taifa katika maelewano.KUSHIKWA KWA SHEIKH PONDAKatika hali hii ya kuvurugika kwa amani kulikochangiwa na vyombo vya dola kutochukua hatua za haraka dhidi ya kijana aliyeinajisi Qur'an, polisi walimkamata Sheikh Ponda. Vyombo vya Habari vimemnukuu Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova akieleza pamoja na mambo mengine kuwa Sheikh Ponda "Amekuwa akifanya maandamano kinyume cha sheria na hata kutishia umwagaji damu Dar es Salaam, kipindi chote tulikuwa katika uvumilivu wa kufuatilia nyendo zake kila kukicha,...licha ya hali hii, Oktoba 12, mwaka huu, Ponda pamoja na wafuasi wake, walisababisha kuvunjwa makanisa usiku wa manane, uharibifu wa magari na wizi na upotevu wa vifaa katika makanisa… haya yote yameongozwa na Ponda na madhara yake ni makubwa." (Mtanzania ALHAMISI, OCTOBA 18, 2012 05:06)Unaweza usikubaliane na Sheikh Ponda katika maelezo na msimamo wake kuhusu dhulma dhidi ya Waislam, lakini ni makosa makubwa kumsingizia mambo ambayo hakuyatenda. Kwa jeshi la polisi kutoa shutuma hizi ambazo hazina msingi wowote kunaongeza mfarakano ndani ya jamii.Hata hivyo kesi aliyoshitakiwa Sheikh Ponda ni ya kuvamia kiwanja kisochokua chake. Kiwanja ambacho Sheikh Ponda anadaiwa kukivamia ni kiwanja kilichokuwa kinamilikiwa na East African Muslim Welfare Society kwa madhumuni ya kujenga Chuo Kikuu cha Kiislam. Baada ya serikali kuivunja East African Muslim Welfare Society na kuanzisha BAKWATA, mali zake zilikabidhiwa BAKWATA. Anachodai Sheikh Ponda ni kuwa kiwanja hicho cha Waislam kimeuzwa kinyume cha utaratibu na sheria zinazolinda mali ya Waqfu.Kesi ya viwanja ni ya mahakama ya ardhi. Mwenye kiwanja alistahiki kwenda mahakama ya ardhi na kueleza kuwa kiwanja chake kimevamiwa. Kutumia polisi wa FFU kumkamata Sheikh Ponda kwa tuhuma za kuvamia kiwanja ni kitendo ambacho kimechochea vurugu. Matamshi ya Kamanda Kova yakumuhusisha Sheikh Ponda na uchomaji wa Makanisa jambo ambalo hakuhusika nalo na kutoa wito kwa wafuasi wa Sheikh Ponda kujisalimisha polisi ndilo lililochochea maandamano ya Ijumaa tarehe 19 Oktoba 2012.Jeshi la Wananchi ni la kulinda mipaka yetu siyo la kwenda kupiga raia wanaoandamana. Kitendo cha kuwaingiza barabarani wanajeshi kupambana na raia ni kitendo cha aibu na cha kusikitisha. Serikali iepuke kujenga uhasama kati ya Jeshi la Wananchi na raia.Kitendo cha kumnyima dhamana Sheikh Ponda na wenzake siyo cha haki.Kuinusuru nchi isingie katika mgogoro, Sheikh Ponda na wenzake wapewe dhamana. Hiyo ni haki yake yao ya msingi. Mwenye kiwanja apeleke malalamiko yake mahakama ya ardhi na kesi hiyo ya kiwanja ihamishiwe huko.Baada ya uchaguzi mkuu wa 2010, Rais Kikwete alizungumzia mgawanyiko wa kidini uliotokea wakati wa uchaguzi. Hata hivyo hajachukua hatua zozote za kuleta maelewano ya kujenga utamaduni wa kuvumiliana baina ya Watanzania wenye imani tofauti. CUF Chama Cha Wananchi kinatoa wito kwa Watanzania kuwa na mjadala wa kujenga mahusiano mazuri na kuvumiliana baina ya dini na madhehebu hapa nchini. Mijadala hii ifanyike katika ngazi ya kitaifa na katika maeneo ya wananchi na yahusishe viongozi wa dini wa taasisi zote, vyama vya siasa na vyama vya kijamii kwa lengo la kujenga na kuimarisha utamaduni wa kuvumiliana na kuheshimiana. Watanzania wote wajisikie kuwa ni raia wa daraja la kwanza katika nchi yao.Ibrahim Haruna LipumbaMwenyekiti - CUFFrom: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
To: Abridged Recipients <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Friday, October 26, 2012 11:54 PM
Subject: [wanabidii] Abridged summary of wanabidii@googlegroups.com - 98 Messages in 42 Topics
- BITUMEN [1 Update]
- Ponda Aachiwe Mara Moja – Lipumba - Mwanzo [15 Updates]
- Breaking News:: Waziri Mkuu wa Zamani wa Italia, Berlusconi, Afungwa Miaka 4! - Mwanzo [4 Updates]
- Invitation to IT security seminar, Dar Es Salaam 06/11/2012 [1 Update]
- Italy's Berlusconi sentenced to jail for tax fraud [1 Update]
- SHURA YA MAIMAMU TANZANIA KAMATI KUU YA SIASA - UCHAGUZI MKUU 2010 [6 Updates]
- Fw: Tanzania: Christians threatened by Islamisation [1 Update]
- [Mabadiliko] Aibu kwa Tanzania: Hong Kong wakamata pembe ztu za ndovu [1 Update]
- Fw: Tanzania: Christians threatened by Islamisation [1 Update]
- Fw: UNBELIEVABLE AND WRITTEN BY A MUSLIM VERY INTERESTING [1 Update]
- WANABIDII BENKI - BAJETI [1 Update]
- Fw: Tanzania: Christians threatened by Islamisation [1 Update]
- MWISILAMU KAKOJOLEA KORAN NA KUMVISHA MBWA TASIBILI HUKO PEMBA [16 Updates]
- Picha – Mwalimu VETA Morogoro Akutwa Amejinyonga:: Viewers Discretion Advised - Mwanzo [1 Update]
- Accessing Theses on Tanzania Done in the UK [1 Update]
- New Map Dividing Lake Nyasa/Malawi is Legal – Tanzania - Mwanzo [1 Update]
- Kigali leading the way; The Clean Kenya Campaign [1 Update]
- CHADEMA – ARUSHA: Nassari (Mb) anusurika kukung'utwa; MOSHI: Madiwani wakung'utana; SHINYANGA: Mwenyekiti achomwa mkuki - Mwanzo [4 Updates]
- Dk Shein atangaza vita na wavunjifu wa amani Zanzibar [2 Updates]
- ARAB SPRING RESURFACES IN BAHRAIN [1 Update]
- Video : What Can Economists Know? [1 Update]
- 1 Weird Spice That Cures Diabetes [1 Update]
- ZANZIBAR POLICE COMMISSIONER SAYS: UAMSHO FUNDED BY ARAB COUNTRIES [3 Updates]
- Heri na amani sikukuu ya EID [4 Updates]
- WOW!!!............... AT LAST MAINLAND GIVES IN TO UAMSHO'S DEMAND! [1 Update]
- EFFECTIVE ENGLISH FLUENCY COACHING PROGRAM [1 Update]
- DINI ZINAVUKA MIPAKA KUINGILIA SHERIA ZA NCHI [1 Update]
- [Mabadiliko] EID NJEMA!! [4 Updates]
- HATUMUOGOPI MTU - SMZ!!! [1 Update]
- MASHINE YA KUKAMUA MAZIWA INAYOJIENDESHA YENYEWE (AUTOMATIC MILKING MASHINE) [1 Update]
- Waraka kwa Wakristo waishio Zanzibar [1 Update]
- KITENDAWILI CHA NYERERE; [1 Update]
- Fw: Tanzania: Christians threatened by Islamisation [1 Update]
- ZANZIBAR BADO SIO SHUWARI - WATU TELE WAPIGWA USIKU! [2 Updates]
- Fw: UNBELIEVABLE AND WRITTEN BY A MUSLIM VERY INTERESTING [1 Update]
- UNDP Human Development Reports [1 Update]
- Making sense of the mess in Mali [6 Updates]
- Vichwa Vya Habari Katika Magazeti Ya Tanzania Leo Ijumaa - Mwanzo [1 Update]
- Dunia Daraja- Twanga Pepeta......Plus Mbaraka Mwinshehe's Daughter on Stage...!! [1 Update]
- Exclusive: E-voting puts vote accuracy at risk in four key states [1 Update]
- Obama makes phone call to Colin Powell for endorsement thanks [1 Update]
- [PK] Re: [wanabidii] Re: (VVM Forum) Re: Obama is finishing off Romney [2 Updates]
You received this message because you are subscribed to the Google Group wanabidii.--
You can post via email.
To unsubscribe from this group, send an empty message.
For more options, visit this group.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
0 comments:
Post a Comment