Saturday 4 August 2012

[wanabidii] Re: [Kiswahili] RAO A TRUE REFORMIST

Ali Rashidi,

Richa mwenye.  Mpigie Kikuyu wako; richa mwenye.Uchaguzi utakuwa ni kati ya Raila na Uhuru. Tafadhali mpigie Uhuru. Halafu mwishowe msije mkalia mashamba yenu mkanyang'anywa.

Courage





2012/8/4 Ali Rashid <kakaali200096@yahoo.com>
 

 
 Hehehehe
 Kumbe wazimu tayari.
 Kwani kuna hakika gani huyo umtakae, ataturudishia viwanja. Naona wataka kumrudisha samaki aliekufa majini , ati tufikiri samaki huyo atapata uhai. Hizo ni ndoto. Samaki akisha kufa uhai haurudi , hata ukimrudishe kwenye maji, au wakataa ?
 
Ali


--- On Fri, 8/3/12, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Subject: Re: [Kiswahili] RAO A TRUE REFORMIST
To: Kiswahili@yahoogroups.com
Date: Friday, August 3, 2012, 11:07 AM


 
Ali Rashidi,

Miye nimemsihini tuawapigie Wakikuyu maanake ni wao ndio ambao wana uwezo wa kuilinda Kenya. Ndio wataiba na kunyang'anya kidogo lakini kwa jumla, ndio amabo wana uwezo wa kuitawala Kenya. MjaLuo kama Raila hata asiwekwe madarakani kabisa. Asije akatuletea haki mtume !!!!   Siye tumeizoea Kenya isiyo na haki, kwa hivyo tuendelee na Wakikuyu.

Courage,
Oduor Maurice



On Thu, Aug 2, 2012 at 5:30 PM, Ali Rashid <kakaali200096@yahoo.com> wrote:
 
MAURICE
 
Nimepokea nasaha yako kwa furaha. Kufuata na kutoifuata nasaha yako ni chaguo langu.
 
Maswali yangu ni haya yafutayo !!!
 
Hawa wakikuyu unaotutajia ni wakenya au ni wananchi wa nchi nyingine isio kuwa Kenya ?
 
Sasa kiongozi tumtakae ni yule atakaepigania haki kwa wakenya wote  au ni lazima awe mtu wa kabila fulani ?
 
Jee tukimchagua mtu ambae si kabila utakalo wewe na akiwa ni mkubwa wa dhulma , kuna faida yoyote  sisi kama wananchi tutapata?
 
Narudia tena , ikiwa kwa mfano kuna mtu ni mkweli na anataka uongozi na mamake ni mkikuyu na babake ni mjaluo (au kabila nyingine yoyote), jee tusimchaguwe au tumchaguwe ?
 
ALI
 


--- On Wed, 8/1/12, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>
Subject: Re: [Kiswahili] RAO A TRUE REFORMIST
To: Kiswahili@yahoogroups.com
Date: Wednesday, August 1, 2012, 2:27 PM


 
Ali Rashidi,

Namsihini tuwapigie Wakikuyu jameni. Walivyotunyang'anya mashamba na sasa taasisi kama KPA nazo wamezikaba tuendeleeni kuwaweka madarakani. Ni ombi langu.

Courage



On Wed, Aug 1, 2012 at 10:14 AM, Ali Rashid <kakaali200096@yahoo.com> wrote:
 
HEEHEHEHEHE
 
Kwani ukikuyu ndio unamfanya mtu kuwa mwizi na ujaluo unamfanya mtu kuwa si mwizi. Ikiwa wenye degree muna fikira kama hizi , jee wasiokuwa na degree wafikiri vipi ?
 
Jee tunamaanisha kukitokea mkikuyu mwenye kutetea haki na sio mwizi , basi tusimpigie kura kwa ajili ya kabila lake? Jee unamaanisha kukitokea mjaluo ambae hatetei haki na ni mwizi basi tumpigie kura kwa ajili ya ujaluo wake .
Na jee yule ambae mamake ni mkikuyu na babake ni mjaluo, tumpigie kura au tusimpigie kura ?
 
Jee waliodhulumiwa viwanja na mambo mingine , wanafaa  walaumu wakikuyu wote na wakitie makosani kizazi chote au wawashitaki wale wachache walioiba na kudhulumu ?
 
Jee ni sawa nisimtaje wala nisimshitaki mwizi kwa kuwa alieiba ni kabila langu ?
 
Reforms (mabadiliko/ maendeleo ) huletwa na mtu mmoja tu , au huletwa na kikundi cha watu kwa kushirikiana pamoja ?
 
ALI

--- On Tue, 7/31/12, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:

From: Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com>

Subject: Re: [Kiswahili] RAO A TRUE REFORMIST
To: Kiswahili@yahoogroups.com
Cc: wanakenya@googlegroups.com, "Progressive Kenyans" <progressive-kenyans@googlegroups.com>
Date: Tuesday, July 31, 2012, 11:13 PM


 
Tafadhali tuwapigie kura WaKikuyu jameni. Wametuibia ndio lakini afadhali ni Wakikuyu si WaJaluo. Wajaluo ni wabaya sana hata afadhali Wakikuyu ambao watatuibia na kutunyang'anya mashamba. Tumpigie Uhuru tafadhalini. Ndio mzee wake alituibia mashamba Teita, Lunga Lunga lunga na Mpeketoni. Lakini si waJaluo. Ni WaKikuyu kwa hivyo tumpigie tena Mkikuyu mwingine ashike madaraka.

Courage



On Tue, Jul 31, 2012 at 8:34 AM, khaguli maurice <mkhaguli@yahoo.com> wrote:
 
kilio/vilio vya mpeketoni viko wapi? bure! bure! ati mabadiliko kwa port authority, mombasa yetu, MRC, dini na haki za kiislamu bure!......mumenunuliwa mpaka akili  

From: Hussein A Abbas Al Hussein <alhussein656@msn.com>
To: Kiswahili Yahoo <kiswahili@yahoogroups.com>
Sent: Tuesday, July 31, 2012 2:28 AM
Subject: RE: [Kiswahili] RAO A TRUE REFORMIST

 
Thanks brothers , Saad and Qadir that's the truth of all but still some will not agree on that .
 
Time will come and hope we all be there during elections Inshallah
 
Saum Makbul brother/sisters .
 
Hussein Abbas
 
To: Kiswahili@yahoogroups.com
From: qadiramin52@gmail.com
Date: Tue, 31 Jul 2012 11:19:25 +0300
Subject: Re: [Kiswahili] RAO A TRUE REFORMIST

 

At last,
TUMEKUBALIANA.

Amin
  A/Qadir





On 31 July 2012 01:05, Maurice Oduor <mauricejoduor@gmail.com> wrote:
 
Saad,

I think it's healthy for you to think that way. It's Kibaki who brought all these things and Raila has done nothing at all. Let us now elect Uhuru so he can continue doing what Kenyatta did and what Kibaki is now doing. KPa will continue being theirs even though it's at the Coast. Cost peoples' lands will keep going to their people. I say, let's give Kibaki credit for all these achievements and let's install Uhuru to take over. Tumekubaliana?

Courage




On Mon, Jul 30, 2012 at 12:38 PM, Saad Yusuf <s.bahannan@yahoo.com> wrote:
 

am failing to understand why sudden rebranding of rao as a reformist, shortly when i wrote about raila and reform question that has never been answered even by brave men and women like onyumba, okello and faiza, i received a call from a colleague arguing that rao is the secret angel behind all the reforms in the country.....!

i asked him name them...then he said, the new constitution....oh my god the credits of new constitution went to kibaki....!

development was wat he said next...i asked what developments have we seen.......no answer to that.

i have grown knowing rao as a revolutionist and coup leader yani mwanamapenduzi! he is good in overthrowing governments...like he tried to oust moi then he failed and found himself in nyayo cells...then he teamed up with kibaki and succesfully did away with moi and he tried to pendua kibaki but unsuccesfull who else,......

RAO IS NOT A REFORMER BUT AN OPPORTUNIST IN LEADERSHIP.

 
SAAD YUSUF SAAD,

P. O. BOX 86547-80100,

MOMBASA, KENAYA

TEL 070593119/0724223542

***LETS EMBRACE CHANGE***










__._,_.___
Recent Activity:
Join the Kiswahili group. Simply subscribe at http://www.yahoogroups.com/group/kiswahili




.

__,_._,___

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment