Thursday 30 August 2012

Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?

Leila, TANU na ASP havikuunganishwa kwa matakwa ya wafuasi wake bali kwa matakwa yamwalimu ambaye huko nyuma uliandika sana kupinga kutngazwa kwake kuwa mtakatifu na wakatoriki wenzake. rudisha kumbukumbu nyuma

--- On Thu, 8/30/12, Allen Mazoko <mazokoallen@yahoo.com> wrote:

From: Allen Mazoko <mazokoallen@yahoo.com>
Subject: Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Thursday, August 30, 2012, 4:17 AM

Leila Abdul

Labda unachoshindwa kuelewa nikuwa Tanzania kunachama kimoja cha upinzani nacho ni CHADEMA ukisema kiungane na vyama vingine vya upinzani labda waungane na vyakenya na Uganda lakini kwa hapa Tanzania hakuna.Haiingii akilini vyama hizi havifanyi kampeni yoyote kuwaimiza watanzania wajuwe utajiri walionao na nijinsigani wakubwa wa nchi hii wanavyotapanya utajiri kwa wageni au angalia Bunge hatabungeni hakuna vyama vya upinzani zaidi ya CHADEMA wanaowaamsha wakina Wasila yaani serikali inayolala bungeni kufanya mambo kwa ajiri ya watanzania angalau sasa utaona kuwa mawaziri hawajibu blabla wanajipanga kwakuwa wanaogopa vijana wa CHADEMA kuwa wako macho hawalali na wanajuwa mambo mengi kuliko wao nakwakifupi tu ukiangalia vizuri utaona jinsi CCM inavyofanya kazi hoja za CHADEMA vyama vingine majungu mengi nakujipendekeza kwa CCM

--- On Tue, 8/28/12, ezekielmassanja@gmail.com <ezekielmassanja@gmail.com> wrote:

From: ezekielmassanja@gmail.com <ezekielmassanja@gmail.com>
Subject: Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
To: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tuesday, August 28, 2012, 2:18 PM

Naona una hasira kweli kweli. Penye ukweli uongo hujitenga. Wale watu waliopigwa mabomu na risasi za moto asubuhi, walifuata nini jioni ile ile kwenye ule mkutano tena kwa maelfu?

Mimi si mwanachama wa chama chochote hai lakini nakubaliana na uchambuzi wa hao wenzetu wanaofananisha Chadema na TANU

Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom

From: Dahlia Majid <dahliamajid@yahoo.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Tue, 28 Aug 2012 07:04:24 -0700 (PDT)
To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?

So what?!!
 
Hebu tupisheni kulee, na hoja zenu ziso mbele wala nyuma

From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: wanabidii@googlegroups.com
Sent: Tuesday, August 28, 2012 1:41 AM
Subject: Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
Mimi sijapitia vyombo hivyo vya habari, lakini nina sababu sahihi za kulinganisha TANU na CHADEMA na kwa manufaa ya HOJA na ANC cha Africa ya Kuzini.
Vyote vilitetea/vinatetea wanyonge. Vilipinga/vinapinga dhuluma. Habari za Maandamano, au kutumia silaha ni mbinu/mikakati ya kutimiza malengo kufuatana na mazingira yaliyopo/yaliyokuwepo. Nyerere aliwahi kusikika akisema Tunadai uhuru Kama Uingereza itakataa tutakwenda umoja wa Mataifa kama nao watashindwa tutamwambia/tutashtaki kwa Mungu. Tulipata uhuru kabla ya kufika hatua ya tatu la sivyo tungekuwa kama CHADEMA na ANC.
Unasemaje Leila? --- On Mon, 8/27/12, Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> wrote:

From: Leila Abdul <hifadhi@gmail.com>
Subject: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?
To: "wanaBidii" <wanaBidii@googlegroups.com>
Date: Monday, August 27, 2012, 8:09 AM

Ukipitia vyombo vya habari kama magazeti na Mitandao ya kijamii wako watu wanaofananisha CHADEMA na TANU . Mi nahoji hivi ni kweli jamani ? kwani TANU waliwahi kufanya maandamano popote nchini kudai Uhuru ? TANU walikubali kufa kwa ajili ya Kuungana na ASP ili kuwa na CCM   Haiwezi kulinganishwa na CHADEMA inayoogopa kuungana na vyama vya upinzani ili kupata nguvu . TANU haijawahi kutuhumiwa kwa ukabila wala dini hata na serikali ya kikoloni .
-- Karibu Jukwaa la http://www.mwanabidii.com/ Pata nafasi mpya za Kazi http://www.kazibongo.blogspot.com/ Blogu ya Habari na Picha http://www.patahabari.blogspot.com/   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    
-- Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com   Kujiondoa Tuma Email kwenda wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma   Disclaimer: Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.    

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
0 comments:

Post a Comment