Friday 31 August 2012

[wanabidii] UZUSHI JUU YA KIFO CHA BI KIDUDE

Kuna taarifa kua watu wanasambaziana ujumbe mfupi sms kua Bi Kidude amefariki.

Nimetoka kusikia kwenye chombo cha habari sasa hivi (Clouds Fm) kua taarifa hizi sio za kweli.
Hivi mtu anaanzaje kuzusha ishu ambayo hana hata uhakika nayo?
Eti flani kafariki.Jamani embu tujaribu kuchunguza jambo kwa undaani kwanza kabla ya kusambaza taarifa.

Regards,
Jonas
Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom Tanzania

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment