Thursday 30 August 2012

[wanabidii] Re: Msaada tutani

Ndugu wanabidii,
Naomba mwenye takwimu au anayejua sehemu ya kupata takwimu juu ya idadi ya watanzani walioajiriwa kwenye sekta binafsi na umma kwa miaka mitatu iliyopita anisaidie.
Natanguliza shukrani,
EK

0 comments:

Post a Comment