Saturday 4 August 2012

Re: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute

Mobhare,

Kama nimekuelewa sahihi unachokisema ni sahihi; kwenda mahakama ya kimataifa na kupigana ni pale tu mazungumzo yanaposhindikana. Wakati wa Rais Mkapa alikuwa na urafiki mkubwa na Rais wa Malawi. Bw. Muluzi na walikubaliana kuyamaliza kwa mazungumzo kati ya pande mbili. Norway walijitolea ku+control madhara ya mto uliokuwa unahama kila wakati nakusababisha mipaka kuhama. Suala la ziwa nalo walikuwa wayamalize lakini upinzani wa suala hilo upande wa Malawi (kivyama) ulimvuta miguu Muluzi asifikie maelewano na kuweka sahihi kumaliza tatizo.

Ukiangalia sana utaona mpaka wa awali wa ziwa ulikuwa katikati tangu juu hadi chini upande wa Msumbiji na Malawi. Baada ya yaliyojiri ya kuppeana zawadi za sikukuu na ukarimu wa magavana wa nchi ya Tanganyika na Nyasaland, mipaka ikabadilishwa.

Kuna masuala mengi ya kuangaliwa kisheria, mfano baada ya mipaka ya 1890 (?) wakoloni waliruhusiwa kuibadilisha tena? Pili, magavana walikuwa na mandate ya kubadili mikataba ya Berlin agreement wakati hawakuwa signatories wa hiyo treaty?

Ukiangalia sana hata tafsiri ya walichopeana ni ziwa au jina la ziwa? Tafiti nyingi na iliyofanywa na chuo kikuu cha Oxford (posted here by Leilla), zinaacha maswali mengi kama kupewa ziwa ilikuwa ni physical ziwa au jina tu! Kama ni jina, mbona sisi tunalo Tanganyika, mbona hatukubadilisha mipaka?

Vizuri serikali ikayaanzisha mazungumzo yaliyokwama na kuna nchi zipo tayari kutusaidia. Ikishindikana ni vyema kulipeleka suala kwenye mahakama ya kimataifa na kuweka wanasheria wazuri sio kama wale wanaotetea Dowans!
Sent from my BlackBerry® Porsche-9981 smartphone Thru Tigo Network, Tanzania.

From: matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>
Sender: wanabidii@googlegroups.com
Date: Sat, 4 Aug 2012 19:45:00 -0400
To: <wanabidii@googlegroups.com>
ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute

Sidhani kama Tanzania inadanganya. Si kweli. Kuamua kufanya mazungumzo ni hatua ya awali kabla ya kuvamia jumuiya ya kimataifa au kutumia nguvu za kijeshi. Kudanganya ni nini?



T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network

----- Reply message -----
From: "Leila Abdul" <hifadhi@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Subject: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute
Date: Sat, Aug 4, 2012 12:49 pm


Tanzania ilitakiwa kuliwasilisha suala hili kwenye jumuiya ya kimataifa
kuliko kudanganya kuwa inachukua hatua zingine ambazo sanasana zitailetea
matatizo Tanzania .


On Sat, Aug 4, 2012 at 6:24 PM, matinyi@hotmail.com <matinyi@hotmail.com>wrote:

> Unamaanisha nini?
>
> T-Mobile. America's First Nationwide 4G Network
>
>
> ----- Reply message -----
> From: kimdr53@gmail.com
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Subject: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute
> Date: Sat, Aug 4, 2012 10:47 am
>
>
> Oh Christian if that is true of what you are saying, that is pathetic at
> best and obnoxious at worst! I would not imagine that we Africans at this
> point in time in the 21st Century we can still allow our so called friends
> to manipulate us! I tend to think the opposite, that the so called
> Developed countries will actually do the best to conduct mediation for both
> countries in the name of mutual interest and mutual benefits! Let us hope
> that as Hirally Clinton is visiting Malawi she will take the chance to
> discuss the matter.
>  Idriss Mussa
> Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
>
> -----Original Message-----
> From: Christian Nicholas <kristian_nick@yahoo.com>
> Sender: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Sat, 4 Aug 2012 07:16:35
> To: wanabidii@googlegroups.com<wanabidii@googlegroups.com>
> Reply-To: wanabidii@googlegroups.com
> Subject: Re: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute
>
> Brothers and sisters,Tanzania is the most democratic country when it comes
> to international affairs,not because we are not experts in negotiations but
> is due to the fact that,we are not exposed much to international
> conflicts,as it has been the case to our neighbours. I remember the last
> time we did fight with uganda was 1978 or so and won the idd amin since
> then no war exercises so Malawi take advantage of our silence to manipulate
> our Lake by naming it LAKE MALAWI ON THEIR SIDE and of course the
> border,from what i know malawi is not alone there are those who make fool
> of her by providing military assistances and other HUMANITARIAN AND
> ECONOMIC AIDS and remember TODAY MALAWI IS THE GAY MARRIAGE FREE COUNTRY IN
> AFRICA,SO THOSE WHO PERMITTED GAY ACTIVITIES IN MALAWI ARE WHO ARE BEHIND
> ALL THESE BORDER AND LAKE NYASA ISSUES.
>
>
> From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Sent: Saturday, August 4, 2012 11:28 AM
> Subject: Re: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute
>
> Nakubaliana na wazo la nchi hizi mbili kuwa na Shirika au kampuni moja ya
> kuendesha shuguli za ziwa nyasa pamoja kama ilivyo kwa Shirika la kuendesha
> ziwa victoria , mtoa nile na mekong kule bara asia , kwa kufanya hivi
>  tutaweza kuepusha mengi sana .cise
>
> Suala la vita litaitesa zaidi Tanzania na majirani zake wengine ,
> kulingana na Taarifa ya hali ya usalama afrika mashariki haswa nchini
> Tanzania kuanzia mwaka 2015 na kuendelea kuna baadhi ya maeneo yanaweza
> ambayo ni sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania yanaweza kujiondoa
> kwenye jamhuri hii na mengine ya nchi nyingine kujiunga kutokana na jamii
> za wanaoishi maeneo hayo , sitaki kuyasema hapa ila tuchunge  sasa hivi la
> malawi kwa mfano Tanzania iamue moja kama ni vita ijue kuna uwezekano wa
> kupoteza maeneo mengi zaidi .
> On Sat, Aug 4, 2012 at 10:55 AM, Hosea Ndaki <hosea.ndaki@gmail.com>
> wrote:
> Kabla ya kufikiria kupigana na malawi kwa nini tusifikirie kupigana na
> wezi wa gas na dhahabu yetu, walioingia mikataba ya kinyonyaji na mafisadi.
> Tumeshaambiwa waswahili sita wana bil 300 uswisi situanze na hao kwanza?
> >On Sat, Aug 4, 2012 at 10:29 AM, Azaveli Lwaitama <
> kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
> >I agree with you entirely Idriss Mussa. No to war over oil and gas. Yes
> to negotiations to ensure that our  African people who have lived near the
> lake for centuries continue using the lake in peace without being messed
> around by colonial borders and the post-colonial soldiers the colonialists
> left behind ...Let Malawi and Tanzania form a joint state corporation to
> partner with multinationals to exploit the oil and gas from the lake
> for mutual equal benefit...Fighting will benefit no one but the
> multinationals. I agree with you entirely Idriss Mussa!!!Mwl Lwaitama
> >>Subject: Re: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary DisputeTo:
> wanabidii@googlegroups.comFrom: kimdr53@gmail.comDate: Sat, 4 Aug 2012
> 07:15:39 +0000Oh it is very interesting that this issue has given us a
> forum to air our views! Honestly a war between our two beloved countries
> will lead us into more poverty than we are now! Let us not be myoapic in
> this discussion and we urge our leaders in both countries not to be. The
> long term consequences for our sister countries are catastrophic. The war
> between us and Iddi Amin is still lingering in our mind. Let the local
> bodies e.g. SADC and or International bodies e.g. AU, UNO play a bigger
> role to bring both country leaders on a table and talk sense. The colonial
> map of the 19th Century was made in the interest of the masters and not for
> the citizens. Hence both countries should not fall in a trap. The British
> had their own interests when they made that map, by then Tanganyika was a
> German colony while
> Nyasaland a British one. This was a rivally between the two coming from
> Europe and bringing it to poor innocent Africans who had lived as sisters
> and brothers for centuries.Now they are coming again wanting our natural
> resources OIL for that matter, a curse in our many African countries e.g.
> Angola, Nigeria, Libya, Guinne etc. They come and operate with impunity and
> the poor African is left with nothing but a few Dollars for some
> unpatriotic leaders who are bent to do anything and make sure the natural
> resources are mined or drained. Now let us talk sense please for God sake
> let the war mongers and drum bitters put this to a halt and let some kind
> of sense prevail. Our leaders should take the right action for the right
> path. Believe me VITA YA PANZI FURAHA YA KUNGURU and the so called good
> samaritans will cherish that!! Look at Libya, and now Syria and many more
> in the Middle East is this they you want us to go? Please give us a break
> no Geo-politics
> should be allowed to spread again in Africa and not in SADC countries for
> that matter. This issue should be handled very carefully and given the
> attention it deserves at the HIGHEST OFFICE of our sister countries! NO
> manga manga, we want to see a seriousness in our leaders!!NKOSI SIKELELA
> AFRIKAMAY GOD BLESS AFRICA Idriss Mussa
> >>Sent from my BlackBerry® smartphone from Orange Botswana
> >>From: weston mbuba <matutetz@yahoo.com>
> >>Sender: wanabidii@googlegroups.com
> >>Date: Fri, 3 Aug 2012 22:55:10 -0700 (PDT)
> >>To: <wanabidii@googlegroups.com>
> >>ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
> >>Subject: RE: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute
> >>
> >>
> >>
> >>
> >>Mwalimu,
> >>There are issues that needs politics in dealing with. But there are
> those issues which requires stern actions.  --- On Fri, 8/3/12, Azaveli
> Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:
> >>
> >>>From: Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com>
> >>>Subject: RE: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute
> >>>To: wanabidii@googlegroups.com
> >>>Date: Friday, August 3, 2012, 4:11 PM
> >>>
> >>>
> >>>The govt of the day in Tanzania would love to have  the people rally
> behind it  if there was a fight with Malawi  now and it might actually use
> the war situation to further stifle opposition  to it internally. Think
> about it my friend!!!Mwl. Lwaitama
> >>>> Date: Sat, 4 Aug 2012 01:21:20 +0300> Subject: Re: [wanabidii] Re:
> The Malawi-Tanzania Boundary Dispute> From: nanyaro04@gmail.com> To:
> wanabidii@googlegroups.com> > Mwalimu Lwaitama> I agree with your
> points,but why should we ask for our right?we have> to fight for our
> people,and we should take this matter as a "matter of> grieve concern"> >
> On 8/4/12, Azaveli Lwaitama <kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> wrote:>
> >> > Nanyaro and Matinyi,> > Please don't disappoint me by making me
> believe that you too can fall for> > these Machiavellian tricks. The
> leadership in Malawi and Tanzania is in the> > pocket of Western powers,
> especially the USA. The companies that are setting> > the two nations at
> each other's throats are Western oil and gas companies.> > The leadership
> in both countries would love to have a violent border> > dispute to create
> a diversion from internal political difficulties. The> > Western powers
> would love to have these two imperialist
> lackeys scrambling> > to buy weapons from western powers and the
> leadership will benefit if the> > war allows them to justify keeping their
> military top brass happy with> > more money being thrown at the defense
> forces , though hardly benefiting the> > rank and file soldiers. Let there
> a media campaign to force both countries> > to respect the implications of
> having had their countries ratify " the 1982> > UN Convention on Law of the
> Sea that stipulates that in case nations are> > bordered by a water body
> (sea or lake), the border of the two nations will> > always be on the
> middle of the water body." Let money be made available to> > raise
> teachers' and medical personnel's salaries in the public sector than> > on
> buying weapons and preparing for killing each other's poverty-stricken> >
> people.> >> > The leadership in both countries must be made to desist from
> fueling tension> > and hatred between the brotherly and sisterly peoples of
> Malawi and
> Tanzania> > ..They all must be forced by public pressure to accept the
> only sensible> > 20th century solution to the territorial dispute...
> adhering to the terms of> > the " the 1982 UN Convention on Law of the Sea
> that stipulates that in case> > nations are bordered by a water body (sea
> or lake), the border of the two> > nations will always be on the middle of
> the water body." We should NOT> > encourage our already power intoxicated
> and arrogant political leaders to> > beat war drums and adopt an
> hypocritical national jingoistic stance to> > hide their singular lack of
> patriotism in managing our natural resources,> > such as minerals including
> gas and oil... How can one fight a war> > successfully when ones' teachers
> and doctors have been drive into despair> > and are indeed on a warpath
> with the governmen. When Nyerere led the war> > against Iddi Amin the
> national was relatively united behind a national> > hero, Mwalimu Nyerere,
> whose integrity was
> impeccable. War under the> > leadership of an unethical assortment of
> self-seeking primitive accumulation> > Machiavellian dilettante would be a
> disaster!> > Mwl. Lwaitama> >> >> >> Date: Sat, 4 Aug 2012 00:05:05 +0300>
> >> Subject: Re: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute> >>
> From: nanyaro04@gmail.com> >> To: wanabidii@googlegroups.com> >>> >> We
> should beat Malawi,for our nation,we can not let them the whole> >> Lake
> just because of the expenses of war.> >> We have reason to beat them,let it
> be now.> >>> >> On 8/3/12, Mobhare Matinyi <matinyi@hotmail.com> wrote:>
> >> >> >> > Mwalimu Lwaitama,> >> > Shikamoo!> >> > As you know:> >> > 1.
> When Ben was in power, he talked endlessly with Muluzi.> >> > 2. Then
> Mutharika came and his arrogance never spared us but at least> >> > we> >>
> > didn't hear a lot of nonsense. Again the talks were endless.> >> > 3. Now
> the confused lady is there, and they want to put it in black and> >> >
> white....that
> the lake is theirs...........in fact we are the ones> >> > begging> >> >
> for talks.> >> > Let us continue to talk and see what happens.> >> > I once
> talked Malawians here in Washington, and what I heard was> >> > impossible>
> >> > to believe.> >> > My prediction is: Talks will never solve this
> problem - either we give> >> > up or> >> > beat them up.> >> > Inviting
> international judgement may not help as has been the case in> >> > many> >>
> > countries. International judgment needs leaders who respect it but I> >>
> > don't> >> > think Malawians are ready for that. They want the whole
> lake.> >> > Matinyi.> >> >> >> >> >> >> >> >> >> > From:
> kerezesia_mukalugaisa@hotmail.com> >> > To: wanabidii@googlegroups.com>
> >> > Subject: RE: [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute> >>
> > Date: Fri, 3 Aug 2012 20:10:55 +0000> >> >> >> >> >> >> >> >> >> > It
> will be silly for Tanzania and Malawi to go to war over this border> >> >
> dispute...Both Malawi and
> Tanzania are signatories of "Both were put> >> > together by> >> > British
> and German colonialists and therefore owe their existence in> >> >
> territorial terms to colonial treaties such as the Helligoland Treaty> >> >
> of> >> > 1890. Even if foreign companies have told each of them that there
> is oil> >> > in> >> > the middle or on the shore of the the lake that
> divides them, they> >> > should> >> > sit down and agree on a formular that
> spares their poverty-stricken> >> > people> >> > from a senseless war that
> will see all the oil revenues from either of> >> > them> >> > go to buying
> weapons to kill each other.. I see the USA's Madam Clinton> >> > is> >> >
> visiting Malawi on Sunday, let her not encourage either of us to be big> >>
> > headed ...I have a grandson who has dual Malawi and Tanzanian> >> >
> nationality> >> > till he reaches 18 years and it will be absurd to tell
> this 8 year-old> >> > Malawian-Tanzanian that the two sister countries are
> at war with
>
> each> >> > other> >> > over who owns a lake that divides them! Let the two
> countries sit down> >> > and> >> > talk seriously, not like the way the
> Govt of Tanzania talked with> >> > doctors> >> > and teachers, but
> seriously, without pre-conditions and with the> >> > interests> >> > of our
> two peoples at heart, especially those who live near the lake,> >> >
> whther> >> > we call it Lake Nyasa or Lake Malawi! In the end we need to
> hurry up> >> > and> >> > join our two countries, through SADC initiatives,
> into one country!> >> > Mwl. Lwaitama> >> >> >> >> >> >> >> >> >> >> >> >>
> >> >> >> > Date: Fri, 3 Aug 2012 19:40:17 +0300> >> > Subject: Re:
> [wanabidii] Re: The Malawi-Tanzania Boundary Dispute> >> > From:
> hifadhi@gmail.com> >> > To: wanabidii@googlegroups.com> >> >> >> >> >> >
> Those that are advocating for war do not know what they are talking> >> >
> about.> >> > Both Tanzania and Malawi have good points to make. Both
> countris have> >> > genuine reasons
> to claim what they currently claim. It's a question of> >> > advising them
> wisely so they may conclude their discussions ammicably> >> > and> >> >
> peacefully. The source of the border despute between the two nations> >> >
> have> >> > nothing to do with Malawi or Tanzania. It is purely one of the>
> >> > Mzungu-made> >> > desputes. Malawi's argument is based on an agreement
> of 1890 between> >> > former> >> > colonial powers that stipulates the
> border between the two countries as> >> > lying along the Tanzanian shore
> of the lake. On the other hand,> >> > Tanzania's> >> > argument is based on
> the 1982 UN Convention on Law of the Sea that> >> > stipulates that in case
> nations are bordered by a water body (sea or> >> > lake),> >> > the border
> of the two nations will always be on the middle of the water> >> > body.>
> >> > Going by these two international conventions, one would argue that
> both> >> > nations have genuine reasons to claim what they currently
> claim and it> >> > is> >> > only peaceful negotiations that will help the
> two countries to arrive at> >> > a> >> > meaningful decision.> >> > Above
> all, both Tanzania and Malawi are poor nations and none can claim> >> > to>
> >> > have any military might than the other. In view of this, war between
> the> >> > two> >> > friendly neighbours will only exacerbate poverty
> between the two nations> >> > as> >> > both of them will channel a good
> chunk of their meagre revenues to> >> > purchasing useless weapons at the
> expense of investment in social> >> > services.> >> > Again, the winner
> here will be the Mzungu who manufactures and sells> >> > these> >> >
> weapons.> >> > In the same vein, if oil resources were anything to bring a
> lasting> >> > economic> >> > prosperity, then the Nigeria's Niger Delta
> wouldn't have been one of> >> > the> >> > poorest places on earth. Why?
> Because oil is not drilled for the good> >> > of> >> > Africa. It is meant
> to enrich a
> Mzungu somewhere in one of the> >> > first-world> >> > countries. Inquire

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
 
 

0 comments:

Post a Comment