Tuesday 28 August 2012

Re: [wanabidii] John Mnyika:Msimamo Wangu Vurugu,Risasi,Kujeruhi na “kuua” Morogoro!

Ukiona hata katika familia mmoja wa wanafamilia anaficha mali kama
vigogo wetu wanavyofanya, kuficha fedha nje ya nchi, ujue kinachofuata
ni kuuana kama hivi iwe kwa risasi, uchawi, mapanga au vingivevyo!

Lakini wakubwa wetu waelewe kuwa ulimwengu wa leo si wa miaka ya
ukoloni, watu tunayajua mambo na tuko tayari kwa lolote ndio maana
mengi tumeyaona katika nchi za wenzetu kama Libya, Misri, etc.
walikoficha fedha za Watanzania, ndio huko huko tutakakajilipua wao
wakose na Watanzania wakose. Liwalo na Liwe

On 8/28/12, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
> Binafsi siamini kama kuwatumia polisi namna hiyo kama ni suluhisho la
> pressure ya mabadiliko yaliyo mbele yetu, suluhisho ni serikali
> yenyewe kubadilika kadri ya matakwa ya wananchi. Acheni kukariri
> majibu ya zamani wakati wa kujibu mtihani wa mtaala mpya. Someni
> harama za nyakati vizuri mustuanzishiye mabalaa kwa uzembe wa
> kufikiri.
> Hivi huko kuandamana kungeleta hasara kubwa kiasi gani? Mpaka
> zifyatuliwe lisasi na kuua, jamani jamani!!!. Serikali inabidi
> iangalie sana mambo haya, amani tuliyokuwa nayo haikuletwa na mitutu
> ya bunduki na maaskari wenye kiu ya kuua, la asha. Huo unaweza kuwa
> mwanzo wa machafuko makubwa nchini.
> Tukumbuke serikali zilizoongozwa na watu kama Amin Dadaa wa Uganda,
> Mobutu Sseseko wa Zaire, Muamadar Gadaff wa Libya, Sadam Hussein wa
> Iraq, makaburu wa Afrika Kusini na wengineo na kujiuliza
> walivyomaliza uongozi katika nchi zao. Hivi si vitendo vya kujisifia
> bali ni vitendo vya kujizika, serikali ielewe kwamba wapo watu wengi
> wenye maisha magumu na kwamba hawaoni tofauti yoyote kati ya kuishi na
> kutoishi ( we have created a quite number of people who are lumpen
> proletariat and therefore any attempt to deal with this group needs to
> be well thought in advance). Hao ni watu hatari kuliko ata hilo jeshi
> la polisi na pengine ndiyo wanaotakiwa kuitwa jeshi la wananchi. Ni
> jeshi kubwa sana kuliko majeshi yote hapa Tanzania hivyo musifikiri
> munayo hazina ya nguvu kuliko wao.
>
> Waacheni wapunguze hasira zao kwa kuandamana pengine itawapa matumaini
> mazuri. Munavyowapiga risasi na kutumia virungu musitegemee kwamba
> hasira zao zitaishia hapo. Acha kutuletea mabalaa kisa woga wa
> kuenguliwa madarakani. Mumekwishachuma vya kutosha kuwawezesha kuishi
> kwa raha hadi Mungu atakapowaita kuliko kugang'ania madaraka na
> mukafia hapo. Au wenzetu munataka kutuachia machafuko na kukimbilia
> ughaibuni, pengine hilo litawezekana je hao polisi walala hoi wenzetu
> nao mtafuatana nao huko?
>
>
>
>
> 2012/8/28 <cngaswaga@yahoo.com>:
>> Hivi jamani hakuna kiongozi mwenye uwezo wa kukemea polisi kuwa
>> hawaruhusiwi
>> kuua raia?Can somebody take the leadership please?
>> Sent from my BlackBerry® smartphone from Vodacom
>> ________________________________
>> From: Pata Habari <patahabari@gmail.com>
>> Sender: wanabidii@googlegroups.com
>> Date: Mon, 27 Aug 2012 23:12:52 -0700
>> To: <wanabidii@googlegroups.com>
>> ReplyTo: wanabidii@googlegroups.com
>> Subject: [wanabidii] John Mnyika:Msimamo Wangu Vurugu,Risasi,Kujeruhi na
>> "kuua" Morogoro!
>>
>> Niliwahi kutahadharisha baada ya tukio la Dkt Stephen Ulimboka kuwa
>> serikali
>> imeanza kutumia mbinu haramu kudhibiti fikra mbadala, CCM imeanza
>> kuongoza
>> serikali kiimla na ipo siku umma utafikia hatua ya kukiona kama chama cha
>> mauaji.
>>
>> Raia watatu wasio na hatia wamefyatuliwa risasi na mmoja amefariki. Haya
>> yamefanyika kwenye maandamano ya amani ya wananchi kuwapokea viongozi wa
>> CHADEMA kuelekea kwenye mkutano.
>>
>> Vurugu zimeanzishwa na polisi kwa mujibu wa mashuhuda wa ushahidi wa
>> video.
>> Vyanzo vyangu vinaniambia sasa wameagiza gari tatu za FFU na gari za
>> kuwasha
>> toka Dar Es Salaam.
>>
>> Tuombe MUNGU wasiamue kuvuruga mkutano wa hadhara ambao wananchi
>> wamekusanyika kwa wingi hivi sasa. States captured by grand corruption of
>> the ruling party cronies for so many years' resorts to bullets as a way
>> of
>> stopping M4C through the ballot.
>>
>> Maisha ya wachache yako mashakani lakini si mabadiliko kwa maslahi ya
>> wengi.
>>
>> John John MNYIKA,
>> 27 Agosti, 2012
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>>
>> --
>> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
>> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
>> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
>> legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
>> be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to
>> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>
>>
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment