Tuesday 28 August 2012

Re: [wanabidii] Eti CHADEMA kama TANU ?

Leila,

Hivyo vyombo vya habari kama magazeti na Mitandao ya kijamii unapitia
peke yako? Hata uone peke yako hao watu wanaofananisha CHADEMA na
TANU?

Haya, ukawaulize hao watu wa vyombo vya habari kama magazeti na
Mitandao ya kijamii wanaofananisha CHADEMA na
TANU. Unatuuliza sisi ndio tunaofananisha vyama hivyo viwili?

Ukitumwa ukatumike katika mambo ya kijinga nawe ukakubali kutumika
kama unavyoonekana kutumika huku wakijua walichokutuma ni ujinga nawe
umekubaliana nacho, watakudharau!

Jiheshimu na watu wengine watakuheshimu, bila hivyo subiri kuwa chombo
kitakachotumiwa na kila ajifunzaye kutukana akitumie!



On 8/27/12, Leila Abdul <hifadhi@gmail.com> wrote:
> Ukipitia vyombo vya habari kama magazeti na Mitandao ya kijamii wako watu
> wanaofananisha CHADEMA na TANU .
>
> Mi nahoji hivi ni kweli jamani ? kwani TANU waliwahi kufanya maandamano
> popote nchini kudai Uhuru ?
>
> TANU walikubali kufa kwa ajili ya Kuungana na ASP ili kuwa na CCM Haiwezi
> kulinganishwa na CHADEMA inayoogopa kuungana na vyama vya upinzani ili
> kupata nguvu .
>
> TANU haijawahi kutuhumiwa kwa ukabila wala dini hata na serikali ya
> kikoloni .
>
> --
> Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
> Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
> Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>
>
>

--
Karibu Jukwaa la www.mwanabidii.com
Pata nafasi mpya za Kazi www.kazibongo.blogspot.com
Blogu ya Habari na Picha www.patahabari.blogspot.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

0 comments:

Post a Comment