Friday, 10 October 2014

Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo

Ngoja nisimsemee moyo ..nafikir iko siku atajisemea mwenyewe. Halafu sijasema hawezi kujenga hoja au kujieleza katika mdahalo,bali nilichosema,hiyo ni moja,mbili je?

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Sasa ndugu mimi naanza kuwashangaa.
>Katika utekelezaji amebuyanga mpaka akatimuliwa.
>Tumpe nafasi ajieleze ili abuyange tena mnasema kujieleza hawezi lakini ni mtekelezaji mzuri. Hii inakuwa Pwagu sasa
>--------------------------------------------
>On Fri, 10/10/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
> Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
> To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Friday, October 10, 2014, 8:04 PM
>
> Hayo ni mawazo yako msee,kuna tofauti
> ya usanii wa kujieleza,na uwezo wa kiutendaji..uwezo wa
> kiutendaji ni record ya mtu...sisi wengine huwezi ukatuambia
> utamnyang'anya simba kitoweo wakati ukimuona panya
> unakimbia...tatizo la uongoz wa tz sio sera wala mipango,ni
> usimamizi wa utekelezaji wa mipango mizuri iliyopo ili
> kuleta tija...na ukweli ni kuwa,kama lowassa ni mzee basi
> mbadala wake hawezi kuwa Membe bali ni Mwigulu
> Nchemba...kumbukeni ni record ya utendaji katika kuleta
> tija...ngupula...
>
> 'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
> wrote:
>
> >Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo
> atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa na
> wakati.
> >Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini mdaahalo
> utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa
> >--------------------------------------------
> >On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> wrote:
> >
> > Subject: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni
> za kimtazamo
> > To: wanabidii@googlegroups.com
> > Date: Friday, October 10, 2014, 8:46 AM
> >
> > Raia Mwema: Kuna mazungumzo miongoni mwa viongozi wa
> CCM na
> > serikalini kwamba Membe anatajwa na Edward Lowassa
> kuwa
> > ndiye adui yake mkubwa au kwa lugha nyingine, ndiye
> mchawi
> > wake kisiasa. Madai haya unayazungumziaje? Ni
> > kweli? 
> >
> >
> > Membe: Unajua katika masuala haya ya siasa, wapo
> wanaoamini
> > kwamba ni lazima uwe na maadui wa kisiasa. Inawezekana
> > kujitokeza misimamo ikatofuatiana kuhusu masuala fulani
> ya
> > msingi katika mambo haya ya uongozi wa nchi na hasa
> nchi
> > ambayo bado iko kiwango fulani cha umasikini kama
> > Tanzania.
> > Mimi nimekuwa nikiamini katika kuongoza kwa misingi
> > ya ulinzi wa raslimali za nchi, maadili yanayojenga
> uongozi
> > bora na imara pamoja na kulinda, kutetea na kupigania
> hadhi
> > ya nchi yetu popote duniani. 
> > Mtu ambaye pengine haamini katika misimamo hiyo kama
> > yangu, si ajabu akatajwa kuwa ni adui yangu kisiasa,
> kwa
> > sababu viongozi wenzangu wengi wanajua ninachokiamini
> na
> > hata Rais Kikwete naye anajua ninachokiamini kama
> ilivyo kwa
> > Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na viongozi wengine
> > wengi.
> > Ni vizuri kwa viongozi kusimamia imani ya wananchi
> > kwa Serikali yao, ndiyo msimamo wangu. Kwa hiyo; kama
> ni
> > suala la uadui, haiwezi kuwa uadui mwingine wowote
> zaidi ya
> > kutofautiana kimtazamo katika masuala ya uongozi.
> >
> > Na. D. Dilunga . 
> > Raia Mwema
> >
> >
> >
> >
> > --
> >
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >  
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya
> > kudhibitisha ukishatuma
> >
> >  
> >
> > Disclaimer:
> >
> > Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility
> > for any legal consequences of his or her postings, and
> hence
> > statements and facts must be presented responsibly.
> Your
> > continued membership signifies that you agree to this
> > disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >
> > ---
> >
> > You received this message because you are subscribed to
> the
> > Google Groups "Wanabidii" group.
> >
> > To unsubscribe from this group and stop receiving
> emails
> > from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >
> > For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
> >
> >
> >--
> >Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> >Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
> >
> >Disclaimer:
> >Everyone posting to this Forum bears the sole
> responsibility for any legal consequences of his or her
> postings, and hence statements and facts must be presented
> responsibly. Your continued membership signifies that you
> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
> and Guidelines.
> >---
> >You received this message because you are subscribed to
> the Google Groups "Wanabidii" group.
> >To unsubscribe from this group and stop receiving emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >For more options, visit
> https://groups.google.com/d/optout.
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
> Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
> for any legal consequen

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment