Friday, 10 October 2014

Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo

Sasa ndugu mimi naanza kuwashangaa.
Katika utekelezaji amebuyanga mpaka akatimuliwa.
Tumpe nafasi ajieleze ili abuyange tena mnasema kujieleza hawezi lakini ni mtekelezaji mzuri. Hii inakuwa Pwagu sasa
--------------------------------------------
On Fri, 10/10/14, 'Ngupula GW' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Subject: Re: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo
To: "'ELISA MUHINGO' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Friday, October 10, 2014, 8:04 PM

Hayo ni mawazo yako msee,kuna tofauti
ya usanii wa kujieleza,na uwezo wa kiutendaji..uwezo wa
kiutendaji ni record ya mtu...sisi wengine huwezi ukatuambia
utamnyang'anya simba kitoweo wakati ukimuona panya
unakimbia...tatizo la uongoz wa tz sio sera wala mipango,ni
usimamizi wa utekelezaji wa mipango mizuri iliyopo ili
kuleta tija...na ukweli ni kuwa,kama lowassa ni mzee basi
mbadala wake hawezi kuwa Membe bali ni Mwigulu
Nchemba...kumbukeni ni record ya utendaji katika kuleta
tija...ngupula...

'ELISA MUHINGO' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>
wrote:

>Dawa ni kuwapambanisha kwenye Mdahalo. Hapo ndipo
atakayeonekana mwenye sera za maana na ambaye amepitwa na
wakati.
>Ukimtaja humu utashambuliwa na nyigu Lakini mdaahalo
utaonyesha usee wa ndani ambao unaonekana na nje sasa
>--------------------------------------------
>On Fri, 10/10/14, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
wrote:
>
> Subject: [wanabidii] Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni
za kimtazamo
> To: wanabidii@googlegroups.com
> Date: Friday, October 10, 2014, 8:46 AM
>
> Raia Mwema: Kuna mazungumzo miongoni mwa viongozi wa
CCM na
> serikalini kwamba Membe anatajwa na Edward Lowassa
kuwa
> ndiye adui yake mkubwa au kwa lugha nyingine, ndiye
mchawi
> wake kisiasa. Madai haya unayazungumziaje? Ni
> kweli? 
>
>
> Membe: Unajua katika masuala haya ya siasa, wapo
wanaoamini
> kwamba ni lazima uwe na maadui wa kisiasa. Inawezekana
> kujitokeza misimamo ikatofuatiana kuhusu masuala fulani
ya
> msingi katika mambo haya ya uongozi wa nchi na hasa
nchi
> ambayo bado iko kiwango fulani cha umasikini kama
> Tanzania.
> Mimi nimekuwa nikiamini katika kuongoza kwa misingi
> ya ulinzi wa raslimali za nchi, maadili yanayojenga
uongozi
> bora na imara pamoja na kulinda, kutetea na kupigania
hadhi
> ya nchi yetu popote duniani. 
> Mtu ambaye pengine haamini katika misimamo hiyo kama
> yangu, si ajabu akatajwa kuwa ni adui yangu kisiasa,
kwa
> sababu viongozi wenzangu wengi wanajua ninachokiamini
na
> hata Rais Kikwete naye anajua ninachokiamini kama
ilivyo kwa
> Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na viongozi wengine
> wengi.
> Ni vizuri kwa viongozi kusimamia imani ya wananchi
> kwa Serikali yao, ndiyo msimamo wangu. Kwa hiyo; kama
ni
> suala la uadui, haiwezi kuwa uadui mwingine wowote
zaidi ya
> kutofautiana kimtazamo katika masuala ya uongozi.
>
> Na. D. Dilunga . 
> Raia Mwema
>
>
>
>
> --
>
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>  
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya
> kudhibitisha ukishatuma
>
>  
>
> Disclaimer:
>
> Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility
> for any legal consequences of his or her postings, and
hence
> statements and facts must be presented responsibly.
Your
> continued membership signifies that you agree to this
> disclaimer and pledge to abide by our Rules and
Guidelines.
>
> ---
>
> You received this message because you are subscribed to
the
> Google Groups "Wanabidii" group.
>
> To unsubscribe from this group and stop receiving
emails
> from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>
> For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
>
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole
responsibility for any legal consequences of his or her
postings, and hence statements and facts must be presented
responsibly. Your continued membership signifies that you
agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules
and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to
the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com 
Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility
for any legal consequences of his or her postings, and hence
statements and facts must be presented responsibly. Your
continued membership signifies that you agree to this
disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the
Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails
from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment