Thursday, 1 May 2014

Re: [wanabidii] madaktari kwanini wanakoroga mwandiko

madakatari wanafanyia makusudi kuna daktari rafiki yangu pia niliwahi kumuuliza swali kama hili, akasema huyu daktari atakuwa na matatizo binafsi kwa kuwa hakuna syllabus ya kusoma huo uupuuzi kwa kuwa watu wote tuanjifuza kuremba herufi chekechea au darasa la kwanza kwa wale ambao hawakupita chekechea. NI UPUUZI MKUBWA KUIGA VITU VISVYO NA FAIDA, WAACHE HUO ULIMBUKENI
On Thursday, 1 May 2014, 8:35, Xavery.L.K Chikatizo Njovu <njovucom@gmail.com> wrote:
mara  nyingi   wanatumia  jargon  za kidaktari  hata  ukisoma   huwezi  kuelewa au wanatumia  namba 


2014-05-01 2:11 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>:
Nashindwa kuelewa wkt mwingine ni makusudii au ndio mafundisho ya masomo ya udaktari
Daktari akikuandikia, cheti anakoroga lugha kiasi kwamba huwez kuelewa alichokiandika ila ukimpa nesi ataisoma, nasema hivyo leo mama yoyo ametoka dispensary ya Kimara kumpeleka mwanangu kupima kuona ana tatizo gani la afya, akaonekana ana malaria na minyoo, lakini sasa maandishi ya dawa alizoziandika mama akashinwa kuyasoma ili anitumie ninunue, namie kufika nyumba nikajaribu kusoma sikuambulia dafu
Je ni moja ya sylubus kua daktari awe na mwandiko usiosomeka kirahisi, au wanaamua au ni ethics tu
Kwanini wasiandike kwa lugha nyepesi kila mtu aweze kuelewaaaa
wataalam tusaidieni hili
nawasilisha
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.



--
XAVERY  LANGA  NJOVU

0783 662681

" The Poor  man is  not  he without  cent, but  he who is  without  a dream"
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.


0 comments:

Post a Comment