Thursday 29 May 2014

Re: [wanabidii] Profesa Tibaijuka abanwa

Anayedai prof hakuchemka ana lake jambo. Prof alikuwa na hali mbaya hadi akawa anaongea kihaya. Akanikumbusha busara za jk orijino kuwa ktk hali ngumu ninyi mtaita "mawee".

------------------------------
On Thu, May 29, 2014 09:48 PDT Emmanuel Muganda wrote:

>Tatizo la Tanzania kwa sasa ni kwamba ukisha kuwa waziri hauna lazima ya
>kuwajibika. Unakuwa kama ni sheria unto itself. Kama hizi tuhuma ni kweli
>nani atamwajibisha mama Habitat? Hakuna. Isipokuwa kama itokee kashfa nzito
>kama ile iliyotokea katika operesheni tokomeza.
>em
>
>
>2014-05-29 6:34 GMT-04:00 'flano mambo' via Wanabidii <
>wanabidii@googlegroups.com>:
>
>> kwani wandugu hakuna mwenye ka video clip tujionee sisi ambao
>> hatukubahatika kumuona live. tujionee wenyewe maana naona kuna wanaoponda
>> kuwa prof alichemshwa na Halima akachemka kweli na wapo wanaosema ati
>> alijibu vema zaidi kila alipoulizwa.
>>
>> Nimesoma gazeti la Mtanzania limeripoti Tibaijuka achafuka, ahusishwa na
>> kashfa ya sh mil 700, yeye ageuka mbogo asema ni propaganda, kisha
>> wamenukuu kauli za Halima na Prof.
>> Halima: Kama waziri ameomba fedha za kulipa fidia shs
>> 15,000 kwakila sqm moja na kulipwa shs 5,000 kwa sqm moja je hiyo 10,000
>> inakwenda wapi?
>> Halima: Alisema barua ya septemba 8,2013 Profesa
>> Tibaijuka alimtaarifu mkurugenzi mtendaji wa Wazo Hill kwamba fedha za
>> fidia zilipwe moja kwa moja kwa watoa huduma badala ya kulipwa wizarani.
>>
>> Na mimi ningeuliza maswali mawili
>> 1. ikiwa aliomba fidia ya 15,000 mana yake ni kwamba ndicho kiasi stahiki
>> kulipwa kama fidia kwa ardhi ile je kwa nini alikubali malipo pungufu? au
>> tuamini kuwa stahiki ilikua ni sh 5000 kwa sqm sasa iweje aombee 15,000?
>> kwa nini waliiflate kiwango??
>>
>> 2. Kama utaratibu ni kulipa fidia kupitia serikali ambao ndio umekuwa wa
>> kawaida kwa nini atumie mbadala? je hao watoa huduma ni taasisi za serikali?
>>
>> Msaada kwenye tuta tafadhali
>>
>> Flano
>>
>>
>> On Thursday, May 29, 2014 10:00 AM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
>>
>>
>> Kwa mtaji huu ninawashauri maprofessor waepuke kujihusisha na siasa za
>> kisanii. Huyu mama kabla ya kuingia kwenye siasa za kisanii alionekana yuko
>> imara na ana sifa zote za kuwa mwanasiasa ngunguli. Aliwahi kuwatingisha
>> CCM alipoanzisha baraza la akina mama, CCM wakakimbilia mahakamani wakijua
>> angeliuwa umoja wa wanawake wa CCM. Sasa hivi namsikitikia alivyoporomoka
>> kwa kasi ya ajabu kiasi cha kusikitisha. Hana hoja bali ubabaishaji, dogo
>> kamdhihaki ikawa tabu hadi kajisahau kwamba yupo kwenye bunge na ulimwengu
>> unamuona. Ninamshauri akatafute shughuli nyingine za kufanya hii ya siasa
>> kwake sasa ni maji marefu
>>
>>
>> On Thu, May 29, 2014 at 8:17 AM, 'Nyabenda' via Wanabidii <
>> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>> Mimi naona amejibu vizuri, kinachoonekana hapa ni wabunge kutaka cheap
>> popularity kwa wananchi, inashangaza kuona mbunge anauliza" his a zina
>> vyumba vingapi", Luna mgongano wa maslahi hapa na si vinginevyo
>> Sent from Huawei Mobile
>>
>>
>> 'Mashaka Mgeta' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>>
>> Jamani, Profesa Tibaijuka, kwa mara ya kwanza namuona anashindwa kujibu
>> hoja bungeni badala yake anafanya kile kinachofanywa mara nyingi na akina
>> Kibajaji. Mnamuona?
>> --
>> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>> Kujiondoa Tuma Email kwenda
>> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
>> ukishatuma
>>
>> Disclaimer:
>> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
>> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
>> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
>> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>> ---
>> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
>> "Wanabidii" group.
>> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
>> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment