Thursday 29 May 2014

Re: [wanabidii] ZITTO KABWE AJIBU SHUTMA ZA CHADEMA BUNGENI

Ryoba,
Nimesoma mahali Sugu akimtuhumu Zitto kuwa mmiliki wa Leka Dutitige na kampuni nyingine ambayo imelipwa mamilioni na TANAPA. Hope hiyo Itakusaidia kujua kulikoni. 
em

Sent from my iPhone

On May 29, 2014, at 4:44 PM, "'Gikaro Ryoba' via Wanabidii" <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

Mbona habari yenyewe iko incomlete? Anayefahamu sakata zima atueleze ni nini kimetokea tafadhali.

On Thursday, May 29, 2014 7:46 PM, Daniel Mbega <mbega.daniel@gmail.com> wrote:

Kweli watu wanapaswa kuwa na ubinaadam. Pole sana kamanda Zitto, Mungu atakusimamia na Insha Allah atamuafu mama!

2014-05-29 19:21 GMT+03:00 MABADILIKO CHADEMA <mabadilikochadema@gmail.com>:
Nasikitika kwamba katika hali niliyonayo ya kumwuguza mama yangu naingizwa kwenye siasa za majitaka.
Kampuni ya LekaDutigite inamilikiwa na wasanii. Gombe Advisors ni kampuni isiyofanya faida (Company limited by guarantee) na haina maslahi yeyote ya kibiashara.
Wasanii wa Kigoma wamefanya kazi na TANAPA na NSSF, kazi ambazo zinajulikana na zipo. Leo mpigie simu mfanyakazi yeyote wa NSSF utasikia kazi ya wasanii hao.
Kwa namna yeyote ile hii ni ishara ya kukosa ubinaadam maana waliyoyasema wanajua sina faida yeyote ya kifedha Leo wala kesho kwa LekaDutigite na Gombe Advisors.
Kipindi ambacho mama yangu yupo mahututi, tena mjumbe wa kamati kuu ya chama chao, pole ninayopewa ndio hiyo. Hakuna namna ya kukosa ubinaadamu zaidi ya hivi.
Hata hivyo, ni vema CAG afanye ukaguzi haraka sana na Mimi binafsi nitawajibika iwapo itaonekana kwa namna yeyote ile nina maslahi ya kifedha katika LekaDutigite na gombe advisors..
Ni ushetani. Ni roho mbaya. There are limits to political attacks.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
"Kama hawatuwekei mgombea mzuri, kwanini watutawale?" ~ Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Dar es Salaam, 1995

0 comments:

Post a Comment