Thursday, 29 May 2014

[wanabidii] Re: [Mabadiliko] KUONDOA SHILINGI NI MCHEZO WA KUIGIZA!

Mngonge, uko sawa mabalaza haya yamewekwa kwa ajili ya kutumia busara ya kawaida na sio tekniko za kisheria. Na hiki sio kitu kigeni miaka ya sabini yalikuwepo mabalaza ya usuluhishi ya vijiji yalisikiliza na kuamua mashauri madogomadogo kabla ya kwenda mahakamani.

Ikumbukwe pia nia nyingine ilikuwa kuharakisha maamuzi na kupunguza msongamano wa kesi mahakamani ulipelekea kuleta msukumo katika kuanzishwa kwa mabaraza haya. Kurudi katika mfumo wa zamani ni kupiga rivasi katika matope utakwama tu.

----------
Sent from my Nokia phone

------Original message------
From: mngonge <mngonge@gmail.com>
To: <wanabidii@googlegroups.com>
Date: Thursday, May 29, 2014 12:54:45 PM GMT+0300
Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] KUONDOA SHILINGI NI MCHEZO WA KUIGIZA!

Mabalaza ya ardhi hayajawahi kuwa mbadala wa mahakama hata siku moja ila
maamuzi yanayotolewa na mabalaza ya ardhi yanakuwa base ya rufaa huko
mahakamani. Kama nilimsikia vizuri Lissu ni kwamba yeye anasema hao wajumbe
wa mabalaza ya kata si wataalamu wa sheria na hivyo maamuzi yao yako likely
kutofuata sheria. Lakini siyo hiyo tu pia wakati wa kuyapitisha mabalaza
hayo katiba ilivunjwa kwa vile inatamka wazi kwamba chombo cha kufanya kazi
hiyo ni mahakama. Kwa vile bado tupo kwenye mchakato wa kutengeneza katiba
mpya nafikiri hilo nalo ni jambo la kuangalia

2014-05-29 10:59 GMT+03:00 <hosea.ndaki@gmail.com>:

> Hoja ya machali ilikuwa na mashiko ndo maana hata lukuvi aliiunga mkono,
> lakini mjadala mzima ulitawaliwa na wabunge njuka, tukumbuke hili wazo la
> mabalaza ya ardhi yalianzishwa na magufuli alipokuwa waziri wa ardhi kwa
> lengo la kushauriana kwanza kabla ya mgogoro kwenda mahakamani na sio kuwa
> mbadala wa mahakama kama anavyotaka kutuaminisha lissu.
>
> ----------
> Sent from my Nokia phone
>
> ------Original message------
> From: mngonge <mngonge@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Thursday, May 29, 2014 10:29:23 AM GMT+0300
> Subject: Re: [wanabidii] Re: [Mabadiliko] KUONDOA SHILINGI NI MCHEZO WA
> KUIGIZA!
>
> Katika siasa za vyama vingi kuondoa shilingi ni kama mchezo wa kuigiza,
> kinachoangaliwa ni mbunge wa kutoka chama kipi kaanzisha hoja. Kama
> mwanzisha hoja ni kutoka upinzani basi wabunge wengi wa CCM hawataunga
> mkono hoja hiyo. Ila wale wa upinzani wako tayari kumuunga mkono mbunge wa
> CCM kama hoja ina mashiko. Jana nilishangaa sana, kwa mara ya kwanza
> niwasikia wabunge wa CCM akiwemo Lukuvi wakiunga mkono hoja ya mpinzani
> (Machali) kuhusu malalamiko ya ardhi. Sijui nani kawapa husia, nafikiri ni
> kwa sababu uchaguzi unakaribia. Nyie wabunge jadilini hoja kwa marefu yake
> bila kuangalia nani na wa kutoka chama gani kaanzisha hoja.
>
> Pili nawashauri watanzania wote wakati wa kupitisha rasimu ya katiba
> tukatae mawaziri kuwa wabunge ili mchezo wa kuteteana hata kama kuna
> upungufu mkubwa ukome. Hii itawafanya mawaziri na serikali kwa ujumla
> kuwajibika ipasavyo kwa wanachi badala ya chama tawala. CCM najua watakataa
> jambo hilo kwa vile mkuu wa kaya tayari alikwishaonyesha anachotaka yeye
> lakini wakumbuke dunia ni duara ipo siku nao watakuwa watazamaji tu.
> Tujaribu kujenga nchi iliyo imara vizazi na vizazi
>
>
> 2014-05-28 17:32 GMT+03:00 Nicomedes Kajungu <nicomedes76@gmail.com>:
>
> > Ametekeleze pakubwa mfano, aliwaahidi akiwa mbunge hakuna michango
> > michango, na michango hawatoi, lakini pia serikali nayo imeamua kulikwepa
> > jimbo lake haipeleki shughuli zozote za maendeleo kisa kazuia wapiga kura
> > wake wasichangie shule na na zahanati.
> >
> >
> >
> >
> > 2014-05-28 16:20 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <
> > wanabidii@googlegroups.com>:
> >
> > sjui.....depend on his voters, je anawahudumia....bungeni sawa, sjui
> >> kule katekeleza vp pledges zake
> >>
> >>
> >> On Wednesday, May 28, 2014 4:02 PM, Nicomedes Kajungu <
> >> nicomedes76@gmail.com> wrote:
> >>
> >>
> >> Mollel
> >>
> >> Lissu bunge lijalo atarudi?
> >>
> >>
> >>
> >>
> >> 2014-05-28 15:38 GMT+03:00 'lesian mollel' via Wanabidii <
> >> wanabidii@googlegroups.com>:
> >>
> >> kuna wabunge jamani kama mh lugora na mh keissy haya ni majembe sana kwa
> >> kweli, chadema kuna mh mnyika na mh lissu, mh mnyaa CUF, Khalifa, mh
> >> mbatia na kijana wake mh machali....haya ni majembe ambayo never miss
> >> bungeni na wanaipenda kaz yao na wanawajibika wakiwa bungeni
> >> CC kama wananchi tunawaona na tunafurahishwa na uwakilishi wao, wengine
> >> aaah sisemi...kama mtihani hawa wana A pluuuuuus
> >>
> >>
> >>
> >> On Tuesday, May 27, 2014 7:29 AM, Jd ChingaOne <chingaone@gmail.com>
> >> wrote:
> >>
> >>
> >> Kaka Robya inaonekana kabisa unashindwa kuficha hisia zako za kuichukia
> >> ccm kiasi cha wewe kushindwa kusifia hata pale wanapofanya yaliyo ya
> >> afadhali....... mie nitakuwa tofauti kidogo na we we coz sijaona la
> maana
> >> kwa hao unaowatetea sijaona tofauti kati ya waliokuwepo na wanaotaka
> >> kuingia
> >> On May 27, 2014 4:16 AM, "'Athanas Macheyeki' via Wanabidii" <
> >> wanabidii@googlegroups.com> wrote:
> >>
> >> Bw. Gikaro, umenena vema. Hata hivyo, ujumbe wako utakamilika na
> >> kueleweka kama utatuorodheshea majina ya wabunge hao wa ndiyoooo...,
> >> ikiwezekana uweke na jimbo atokako, kisha tuwajadili kwa haki.
> >>
> >> Athanas
> >>
> >> Sent from my iPhone
> >>
> >> On 26 Mei 2014, at 22:27, "'Gikaro Ryoba' via Mabadiliko Forum" <
> >> mabadilikotanzania@googlegroups.com> wrote:
> >>
> >> Katika hili bunge la bajeti linaloendelea sasa hivi, pamoja na kwamba
> >> limekosa mvuto kutoka kwa jamii ya watanzania, kuna mambo matatu
> >> nimeyagundua. Kwanza, huu utaratibu wa kuondoa shilingi kwenye mshahara
> wa
> >> waziri ni kama mchezo wa kuigiza kwa kuwa wabunge wanaoshika hizo
> shilingi
> >> hatimaye huziachia na vifungu vya ovyo vya bajeti hupitishwa.
> >>
> >> Pili, kwa mara ya kwanza katika historia ya bunge hili nimeshuhudia
> >> wabunge wa CCM wakiondoa shilingi kwenye mshahara wa waziri wa chama
> chao.
> >> Nadhani ni muendelezo ule ule wa kuleta mzaha na kuwakoga wananchi
> >> wanaowatazama ili waone kwamba wana uchungu na maendeleo yao wakati si
> >> kweli. Lakini pia wanafanya hivyo ili kufuata mkumbo wa wabunge wa UKAWA
> >> ambao tangu mwanzo walitahadharisha kushika shilingi za mishahara ya
> >> mawaziri ambao wameshindwa kuleta maisha bora kwa kila mtanzania.
> >> Kinachowaponza wabunge wa UKAWA ni uchache wao kwani hata kama wakishika
> >> shilingi, mwisho wa siku wabunge wa CCM watapiga kura za
> >> Ndiyooooooooooooooo ili kuwaokoa mawaziri wao wa CCM.
> >>
> >> Tatu, nimegundua kwamba mle bungeni kuna wabunge wa CCM ambao wao kazi
> >> yao kubwa wanayoijua ni kusema NDIYOOOOOOOOOOO kwa sauti kubwa ili
> vifungu
> >> vya bajeti, hata vile vibovu, vipite bila kupingwa. Kundi hili huwa
> >> halichangii chochote bungeni. Wakishaingia bungeni wakasaini kwenye
> kitabu
> >> cha posho, hukaa mezani na kusubiri kugonga meza. Hili ni suala la
> >> kustaajabisha sana kwani wabunge hawa wametumwa na wananchi waende
> >> kuwawakilisha lakini wamegeuka kuwa wachumia tumbo na watetezi wa
> >> ukandamizaji wa serikali dhidi ya wananchi. Na kwa kuwa moja ya kazi ya
> >> wabunge ni kuibana serikali iwahudumie wananchi, wabunge hawa wa CCM ni
> >> wasaliti wa wapiga kura wao na hawafai kurejeshwa bungeni tena msimu
> ujao.
> >> Inasikitisha sana kuona kwamba wabunge hawa wa CCM wapo bungeni kwa
> lengo
> >> la kuwakandamiza wananchi badala ya kuwatetea!
> >>
> >>
> >> --
> >> Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
> >> Kuchangia mada tuma kwenye Email hii:
> mabadilikotanzania@googlegroups.com
> >>
> >>
> >> For more options, visit this group at:
> >> http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups
> >> "Mabadiliko Forum" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an
> >> email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> To post to this group, send email to
> mabadilikotanzania@googlegroups.com.
> >> Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
> >> To view this discussion on the web visit
> >>
> https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/1401132462.96702.YahooMailNeo%40web125301.mail.ne1.yahoo.com
> >> .
> >> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >>
> >> <bunge la kuzomea.jpg>
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.

> >> *_________________________________________________*
> >> Nicomedes M. Kajungu
> >> P.O.Box 7733, Mwanza.
> >> +255 782 315 688, +255 767 48 32 71,
> >> +255 719 451 850
> >> Skype add: nkajungu
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >>
> >>
> >> --
> >> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >>
> >> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> >> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> >> ukishatuma
> >>
> >> Disclaimer:
> >> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> >> legal consequences of his or her postings, and hence statements and
> facts
> >> must be presented responsibly. Your continued membership signifies that
> you
> >> agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and
> Guidelines.
> >> ---
> >> You received this message because you are subscribed to the Google
> Groups
> >> "Wanabidii" group.
> >> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send
> an
> >> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> >> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >>
> >
> >
> >
> > --
> > *_________________________________________________*
> > Nicomedes M. Kajungu
> > P.O.Box 7733, Mwanza.
> > +255 782 315 688, +255 767 48 32 71,
> > +255 719 451 850
> > Skype add: nkajungu
> >
> > --
> > Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
> >
> > Kujiondoa Tuma Email kwenda
> > wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> > ukishatuma
> >
> > Disclaimer:
> > Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any
> legal
> > consequences of his or her postings, and hence statements and facts must
> be
> > presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> > to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> > ---
> > You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> > "Wanabidii" group.
> > To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> > email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> > For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
> >
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree
> to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment