Thursday, 29 May 2014

Re: [wanabidii] Profesa Tibaijuka abanwa

Kidegarda hujui usemalo!
Kumbuka kama kuna halmashauri inayonuka rushwa katika ardhi kinondoni ni kati ya hizo! Wafanyakazi ni wa serikali inayoongozwa name CCM hayo unayoongea ni ya zamani mno hakuna anaeweza kuyamaliza na Rita Mlaki alikuwa Mbunge wa jimbo hilo na naibu wizara ya ardhi madudu yaliyofanyika akaogopa kurudi kuomba kura jimboni akakimbilia viti maalum!

Mh. Halima Mdee bungeni ndiyo mahali pake alichouliza na majibu aliyoyapata wananchi wamesikia na utekelezaji utaonekana.

Magazeti yanaandika kilichosemwa kwa bahati mengi tunayaona wenyewe live.

Usisingizie magazeti wala vyama vya upinzani hata CCM ikipokwa madaraka nao watafanya hivyo ndo kazi ya upinzani popote ulimwenguni!

Sent from Yahoo Mail on Android



From: khildegarda via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>;
To: <wanabidii@googlegroups.com>;
Subject: Re: [wanabidii] Profesa Tibaijuka abanwa
Sent: Fri, May 30, 2014 3:56:00 AM

Waandishi wa habari wengi wa magazeti ni udaku-hupenda kugeuza mambo au kuweka yale mabaya tu, kupaisha kichwa cha habari tumboni street ifanikiwe. Upinzani kazi kupaa na mapungufu au kubomoa tu. Mdee hana lake, yanamshinda yy kuzuia ujenzi holela Kawe, salasala, etc jimboni kwake. Wanachimba mchanga mtoni majumba yanabomoka, wanajenga mabondeni, vijiji vy maendeleo zamani sasa squatters in dar rural; wanavamia eneo la tang packers au wazo wanauza na kula viroba; wameuza mashamba yao wamehamia ktk mashimo ya kokoto yajaayo maji wanatesa watoto; mifereji ya maji kawe mjini takataka kibao wanazalisha mbu wa mabusha. Na sasa dengerua hilo. Yeye yupo tu kelele bungeni lakini grassroots mobilization, education for + change kwa watu wake hawezi; sheria ya ardhi hajui akaelimisha watu wake na kuunda kamati zake ili zifanye kazi waache kutia serikali gharama kwa uvamizi ardhi. Ona makongo  na kulikopimwa mjini dar watu wajengavyo barabarani na kuziba njia. Wanapewa ardhi ya sisal estate vijiji  Hale , sisi kwa sisi e


---Original message---
From: 'flano mambo' via Wanabidii
Sent: Thu, 29 May 2014 03:34:20 -0700
To: wanabidii@googlegroups.com
Subject: Re: [wanabidii] Profesa Tibaijuka abanwa


kwani wandugu hakuna mwenye ka video clip tujionee sisi ambao hatukubahatika kumuona live. tujionee wenyewe maana naona kuna wanaoponda kuwa prof alichemshwa na Halima akachemka kweli na wapo wanaosema ati alijibu vema zaidi kila alipoulizwa.

Nimesoma gazeti la Mtanzania limeripoti Tibaijuka achafuka, ahusishwa na kashfa ya sh mil 700, yeye ageuka mbogo asema ni propaganda, kisha wamenukuu kauli za Halima na Prof.
                  Halima: Kama waziri ameomba fedha za kulipa fidia shs 15,000 kwakila sqm moja na kulipwa shs 5,000 kwa sqm moja je hiyo 10,000 inakwenda wapi? 
                  Halima: Alisema barua ya septemba 8,2013 Profesa Tibaijuka alimtaarifu mkurugenzi mtendaji wa Wazo Hill kwamba fedha za fidia zilipwe moja kwa moja kwa watoa huduma badala ya kulipwa wizarani.

Na mimi ningeuliza maswali mawili
 1. ikiwa aliomba fidia ya 15,000 mana yake ni kwamba ndicho kiasi stahiki kulipwa kama fidia kwa ardhi ile je kwa nini alikubali malipo pungufu? au tuamini kuwa stahiki ilikua ni sh 5000 kwa sqm sasa iweje aombee 15,000? kwa nini waliiflate kiwango??

2. Kama utaratibu ni kulipa fidia kupitia serikali ambao ndio umekuwa wa kawaida kwa nini atumie mbadala? je hao watoa huduma ni taasisi za serikali?

Msaada kwenye tuta tafadhali

Flano


On Thursday, May 29, 2014 10:00 AM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:



Kwa mtaji huu ninawashauri maprofessor waepuke kujihusisha na siasa za kisanii. Huyu mama kabla ya kuingia kwenye siasa za kisanii alionekana yuko imara na ana sifa zote za kuwa mwanasiasa ngunguli. Aliwahi kuwatingisha CCM alipoanzisha baraza la akina mama, CCM wakakimbilia mahakamani wakijua angeliuwa umoja wa wanawake wa CCM. Sasa hivi namsikitikia alivyoporomoka kwa kasi ya ajabu kiasi cha kusikitisha. Hana hoja bali ubabaishaji, dogo kamdhihaki ikawa tabu hadi kajisahau kwamba yupo kwenye bunge na ulimwengu unamuona. Ninamshauri akatafute shughuli nyingine za kufany

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment