Friday 30 May 2014

Re: [wanabidii] Profesa Tibaijuka abanwa

Huyu profesa ni watu ambao niliwapa daraja la juu sana, lakini nimegundua anadharau sana. Mwanzoni niliwasikia wakijadili jambo hili mwaka jana au juzi na waziri alikuwa anajibu kwa jeuri sana. Nimependa walipomkona.


On Friday, May 30, 2014 9:46 AM, 'Eberi Manya' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:


Kiwasila  wewe una bifu na mdee, na nadhani ni bora ukamwona yeye binafsi na siyo kumuaatack humu. Sisi wengine humu tunamjua Mdee ni mchapakazi na ni Mbunge anayetimiza wajibu wake kikamilifu......

'Flano' via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:

>Kiwasila nahisi na wewe una lako binafsi na Mdee kwa maana unamtwisha Mdee lawama ambazo ni jukumu la serikali. sasa serikali si ndiyo inayotoa ruhusa ya ujenzi? au hujui majukumu ya mbunge kisheria ndugu? usichanganye majukumu ya serikali na majukumu ya bunge.
>
>Tukitaka mabadiliko ya kweli yatupasa sisi Watanzania kuw wakweli. Mimi simtetei Mdee yeye ni mwanadamu tu bilashaka hatakosa udhaifu ila tusiwapakazie watu udhaifu usio wao.
>
> khildegarda via Wanabidii <wanabidii@googlegroups.com> wrote:
>
>>Waandishi wa habari wengi wa magazeti ni udaku-hupenda kugeuza mambo au kuweka yale mabaya tu, kupaisha kichwa cha habari tumboni street ifanikiwe. Upinzani kazi kupaa na mapungufu au kubomoa tu. Mdee hana lake, yanamshinda yy kuzuia ujenzi holela Kawe, salasala, etc jimboni kwake. Wanachimba mchanga mtoni majumba yanabomoka, wanajenga mabondeni, vijiji vy maendeleo zamani sasa squatters in dar rural; wanavamia eneo la tang packers au wazo wanauza na kula viroba; wameuza mashamba yao wamehamia ktk mashimo ya kokoto yajaayo maji wanatesa watoto; mifereji ya maji kawe mjini takataka kibao wanazalisha mbu wa mabusha. Na sasa dengerua hilo. Yeye yupo tu kelele bungeni lakini grassroots mobilization, education for + change kwa watu wake hawezi; sheria ya ardhi hajui akaelimisha watu wake na kuunda kamati zake ili zifanye kazi waache kutia serikali gharama kwa uvamizi ardhi. Ona makongo  na kulikopimwa mjini dar watu wajengavyo barabarani na kuziba njia. Wanapewa ardhi ya sisal estate vijiji  Hale , sisi kwa sisi e
>>
>>
>>---Original message---
>>From: 'flano mambo' via Wanabidii
>>Sent: Thu, 29 May 2014 03:34:20 -0700
>>To: wanabidii@googlegroups.com
>>Subject: Re: [wanabidii] Profesa Tibaijuka abanwa
>>
>>
>>kwani wandugu hakuna mwenye ka video clip tujionee sisi ambao hatukubahatika kumuona live. tujionee wenyewe maana naona kuna wanaoponda kuwa prof alichemshwa na Halima akachemka kweli na wapo wanaosema ati alijibu vema zaidi kila alipoulizwa.
>>
>>Nimesoma gazeti la Mtanzania limeripoti Tibaijuka achafuka, ahusishwa na kashfa ya sh mil 700, yeye ageuka mbogo asema ni propaganda, kisha wamenukuu kauli za Halima na Prof.
>>                  Halima: Kama waziri ameomba fedha za kulipa fidia shs 15,000 kwakila sqm moja na kulipwa shs 5,000 kwa sqm moja je hiyo 10,000 inakwenda wapi? 
>>                  Halima: Alisema barua ya septemba 8,2013 Profesa Tibaijuka alimtaarifu mkurugenzi mtendaji wa Wazo Hill kwamba fedha za fidia zilipwe moja kwa moja kwa watoa huduma badala ya kulipwa wizarani.
>>
>>Na mimi ningeuliza maswali mawili
>> 1. ikiwa aliomba fidia ya 15,000 mana yake ni kwamba ndicho kiasi stahiki kulipwa kama fidia kwa ardhi ile je kwa nini alikubali malipo pungufu? au tuamini kuwa stahiki ilikua ni sh 5000 kwa sqm sasa iweje aombee 15,000? kwa nini waliiflate kiwango??
>>
>>2. Kama utaratibu ni kulipa fidia kupitia serikali ambao ndio umekuwa wa kawaida kwa nini atumie mbadala? je hao watoa huduma ni taasisi za serikali?
>>
>>Msaada kwenye tuta tafadhali
>>
>>Flano
>>
>>
>>On Thursday, May 29, 2014 10:00 AM, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
>>
>>
>>
>>Kwa mtaji huu ninawashauri maprofessor waepuke kujihusisha na siasa za kisanii. Huyu mama kabla ya kuingia kwenye siasa za kisanii alionekana yuko imara na ana sifa zote za kuwa mwanasiasa ngunguli. Aliwahi kuwatingisha CCM alipoanzisha baraza la akina mama, CCM wakakimbilia mahakamani wakijua angeliuwa umoja wa wanawake wa CCM. Sasa hivi namsikitikia alivyoporomoka kwa kasi ya ajabu kiasi cha kusikitisha. Hana hoja bali ubabaishaji, dogo kamdhihaki ikawa tabu hadi kajisahau kwamba yupo kwenye bunge na ulimwengu unamuona. Ninamshauri akatafute shughuli nyingine za kufany
>>
>>--
>>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>>
>>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>>
>>Disclaimer:
>>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>>---
>>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
>
>--
>Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
>Kujiondoa Tuma Email kwenda
>wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
>
>Disclaimer:
>Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
>---
>You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
>To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
>For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com  Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

0 comments:

Post a Comment