Kama mtanzania anayefanyakazi ya kusafiri kona hadi kona ya nchi hii, ninavithibiti vya mashamba umasaini, usukumani kwa wafugaji, degradation, milimbikizo ya mifugo, makazi yao na hakuna anayelishia mifugo mazao yake au mtu wa kabila lake. Wanamuogopa Mpare, Msambaa, mchaga lakini wengine ni pumba tupu-lishia mashamba, charaza bakora. Mifugo milimani mkoa wa Morogoro, sasa wanajaribu kupitia Msimba kupanda Vidunda juu ukitokea Ruaha mbuyuni. hatutafikia maendeleo kama misitu, wetlands,ardhi ya kilimo yote iwe mifugo na kilimo kisichoendelevu, majumba kila fertile land ya kilimo na wajengao majumba, magarage sio walala hoi ni wenyefedha na wahamiaji wengine haram. ardhi ya rutuba Kibaha, Mkuranga, Rufiji Wami iwe ni majumba sio kilimo. Tuagize mchele India na china na wetlands kumwaga zege kujenga bar za vileo na chips Bunju-Bagamoyo-Chalinze-Tanga. Mifugo wetlands na misitu hifadhi uharibifu kila kona. Eti halafu tumesoma, tunapanga mipango ya maendeleo kisha tunalaumu tu uongozi kusema mizigo ila nasisi mizigo akili finyu hatutaki kubadilika. ufahari una mifugo 10 elfu, wakw 12 watoto 100 wajukuu 300 na waziri fulani anakutembelea-SIFA wazimu!!
Hii miradi inayozungumzwa hapa tunaifahamu sana, hatujaota meno leo.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
On Monday, 10 February 2014, 19:35, Felix Mwakyembe <fkyembe@gmail.com> wrote:
Hildegarda,
Msimamo thabiti, kwani ukweli siku zote utabaki pale pale, hii kutumia neno ukabila kuwazuia wakulima kudai haki yao, NOOOO!2014-02-10 21:32 GMT+05:30 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>:
Kama mauaji yanayofanyika siyo ya makusudi au sio calculated pamoja na kulishia mashamba ya wakulima, tungeona mapigano hayo yanatokea Moshi kila mara na wachaga, Same na sambaani maana ni karibu na vijiji vya wafugaji hao Mkoa wa Arusha, Manyara, Kilimanjaro. Unayasikia nje ya maeneo hayo maana wanawaogopa Wapare, Wachaga na Wasambaa. Huko kwao simanjiro, vijiji vya arusha, ngorongoro wanalima wao tena kwa plau za ng'ombe na trekta na hukuti mmasai mkulima akalishia mazao yake mifugo yake. Mkusuma afanyaye hivyo mvomero halishii mpunga wala mahindi mifugo. Wanazungusha miti ya miiba na kupitisha mifugo mbali na mashamba. Mto loiborsirret near Tarangire NP ulikauka kwa kunyweshea. Wazee wakasimamia sheria kwa wafugaji. Huko wanalima kwa trekta na ardhi kipara, wanajenga majengo ya kisasa hela za mererani na kuuza maharage kenya. Ndani ya Ngorongoro area authority kunaongezeka kilimo na ni mpambano na mamlaka mashamba kutanuna na mifugo kuongezeka. Lakini-hukutu mifugon ikalishiwa mahindi pamoja na mifugo kuwa mingi na wanyamapori kukosa malisho. Ukienda Monduli-wanalima hawalishii mashamba mifugo yao, hata Kitwai kwenye game conservation area-wanalima. Lakini wakifika kwa wanyonge-bwawa na maji ya kunywa wanakutwa wanaoga humo wao na mifugo sio kuchota maji kutoka outlet ya pipe iliyowekwa. Dharau-wanampiga mkulima akifukuza mifugo isile mazao na kumuua. Ng'ombe ile nini? Ukifika Ruvu ya bagamoyo-mabirika yote ya kilimo cha mpunga ni mifugo inamaliza na kufanya desertification. Kilimo cha mpunga Ruvu wetlands bagamoyo ni cha karne. Watu wanakaa 4 month kuhamia ndege hadi kuvuna kabisa warudi bagamoyo mjini. Waarabu waliokuwa na mifugo ikikaa mbali na mashamba wakilisha nyama bagamoyo. Walikuwa na ardhi kubwa na mifugo michache. Wananchi wengine-mbuzi za kienyeji za maziwa. Wakalewtena support ya irrigation na Japan funds-sasa mifugo imejaa mashamba yote ya improvedtraditional irrigation na wamehamia saadani NPark. kisha waziri wa uwekezaji anaona wanag'ati eti wanaonewa. Toka lini Bagamoyo mjini na Ruvu irrigation rise area kukawa na mmang'ati? Toka Lini Mgeta milimani na Mvomero kaba sio Magindu na LUgoba walikohamia 1880 walipofukuzana Mkomazi Pare Kingdom na kugombana na jamii nyingine za Maasai hao waliohamia Lugoba. TZ archives zina list ya majina ya Maa wahamiaji ktk maeneo kwa sababu walitengeneza hao wakoloni Maa reserve na kutoa vibali vya wafugaji kuingia na kutoka kuangalia colonial production haiharibiwi na vurugu za vita, mapigano na kulishia mashamba? Kwa taarifa-uchumi wa madini mererali, kazi za ulizi mijini hela zinatumika kulimbikiza mifugo for status reasons bila ya kuangalia wingi wa mifugo na uharibifu mazingira. Zama hizi kuhamahana na kukata miti au milimbikiza mifugo ni tatizo kutokana na wingi wa watu na matumizi mbali mbali ya maendeleo na livelihoods. Hatuwezi tena kila jamii ifanye itakavyo bila ya kuangalia mazingira na upatikanaji maji, ardhi bora, kuwepo uoto wa miti na nyasi. Climate change tunaisababisha na isiwe kisingizio cha uharibifu, uchafuzi na mauaji.
Hakuna mtu wa coast atakayeweza kuhamia ndani ya kijiji cha msukuma au mmasai alime usiku na mchana bila ya kuuawa. Msukuma wa Magu, Maswa, Bunda au Mmasai wa Erkusumet, Olbalbar atakusuhusu ufanye hivyo? Hata walimu wa for example Engerosambu Loliondo kulima ardhi ya shule au kijijini hawaruhusiwi wasije wakalowea. Na wale wa Soitsambu mashamba yao yanalishiwa mifugo na mahindi kuibiwa usiku-tumekuta haya. Wanakomolewa-Waswahili! Umefika wakati wa kusema ukweli wafugaji wa kimasai, mang'ati waheshimu makabila mengine na hasa wakulima wanaoonewa. Wao wanahela za kuhonga, kushinda kesi au kumgeuzia kibao mkulima kisha akakimbia akatokomea aliyekatwakatwa ashindwe hata kulipia matibabu. Lakini-wale walaorushwa na kunyima haki wenzao 'Mungu' anawaona. Atalipa. Toka monduli ulilishie mifugo mashamba ya wachaga ila ufike morogoro, Kilwa, Lindi, Rufiji, Mbeya ulishe ekari 5 usiku ni haki? Ukaushe mito viwanda na jamii DSm, bagamoyo isipate maji nin haki? tuna mtazamo chanya au upofu wa ukabila? Jee, kila mtu akikaa kwao kwa kabila lake yule ambaye hana ajira kijijini kajiajiri huko mwenyewe mapambano yatatokea? mbona wanaolima na ni wamasai Monduli-Naitolia, Makuyunmi, Mswakini hatusikii wakipigana kwa kulishiana mazao shambani-why wafikapo mvomero walishie mashamba? Utamiliki vipo bonde la kilimo cha mpunga mvomero kwa wewe kuja majuzi na hukuwa na miliki hiyo kimila au kwa uzawa hapo na wala wakati wa vijiji ila uje leo uwe na hati miliki wewe mgeni-umeipataje na wazawa wakilima hapo? Tutafika 2015? Mto Ruvu, Mkulazi, Mgeta umekaushwa na mifugo imejaa huko milima ya moro, wetlands za Kilosa, Bagamoyo, sasa kisarawe na wanaelekea kuumaliza rufiji na misitu ya kilwa lindi. Watamchangia mtu wao awe Rais tuumie zaidi.
On Saturday, 8 February 2014, 4:29, lesian mollel <aramakurias@yahoo.com> wrote:
--hoja zenu ni against mfugaji tu, mko biased nawashauri tembeeni maeneo msiendeshwe na magazeti..ongea na wafugaji then wakulima uje conclude hapa,acheni hukumu na research zenu za macho...ukitaka kujua ni za nacho hakuna mpunga unaolimwa monduli.....anyway na si kweli kua mfugaji ndio chanzo cha ujangwani hapa duniani bse its like a world phenomena nooow....hata kwa tanzania, hiii shida ni masuala ya hali ya hewa kugeuka,,,,,,suhuhu nilisha sena to have a sound participatory land use planning koote nchini kutapunguza migogoro ya namna hii kwa asilimia 89.1...fimding jamani zifanyike, am saying so bse nimepata bahati ya kuzungukia hii tanzania mikoa yote na hua nafanya findings za macho na verbal interviews.....
On Thursday, February 6, 2014 11:12 PM, Edgar Mbegu <embegu@hotmail.com> wrote:
--Ziwa Rukwa limejaa mchanga mtupu! Kina chake kinazidi kupungua, shughuli za uvuvi zimeathirika kwa kiwango cha kutisha. Huwezi kujenga daraja la kudumu katika barabara itokayo Majimoto (Katavi) kukatisha Bonde la Rukwa kwenda Kamsamba, Mbeya. Mito (ambayo karibu yote imebaki ni ya msimu tu) inabadili mielekeo yao kila mara au huyasomba madaraja yenyewe, suala ambalo, licha ya kusababisha adha kubwa kwa wakazi wa Bonde la Rukwa hasa nyakati za masika, huisababishia Serikali vile vile hasara kubwa ya kujenga madaraja kila mwaka. Kisa? Uharibifu wa mazingira unaoendelea kusababishwa na ufugaji holela. Miaka kadhaa iliyopita, alipokuja Dr. Shein na kujionea mwenyewe uharibifu huo wa mazingira, aliamuru wafugaji hao holela waondolewe Bondeni Rukwa. Lakini mpaka leo, wapiiii! Argentina ni wafugaji wakubwa na exporters wakubwa wa nyama ya ng'ombe ulimwenguni kote, lakini mazingira yao hayaathiriki. Sisi, Watanzania ambao hata kimataifa hatujulikani kwa kuzalisha nyama, tunaruhusu namna gani mazingira yetu yaharibiwe kwa kiasi hicho eti kwa kuheshimu "mila" za kundi dogo la watu (kana kwamba wengine nao hawana mila) na kwa kisingizio, eti kila Mtanzania ana uhuru wa kuishi na kwenda anakotaka ali mradi havunji sheria? Tumeshindwa namna gani kuwaelimisha hawa wafugaji holela na waharibifu wa mazingira ili wajue kwamba wanaweza wakafuga ng'ombe wachache lakini wenye ukubwa, uzito na ubora wa kimataifa kwa sababu mazao yake yote kama vile nyama, maziwa na ngozi yatakidhi viwango hivyo badala ya kuwa na maelfu ya ng'ombe ambao wanatufaa kwa mishikaki ya kwenye mabaa tu?
Date: Thu, 6 Feb 2014 20:01:01 +0530
Subject: Re: [wanabidii] WAKULIMA WAFUNGA BARABARA HUKO MVOMELO
From: fkyembe@gmail.com
To: wanabidii@googlegroups.com
Hildegarda,Ahsante sana, umeyasema yoote.
Mjumuiko wa yote ni kwamba Mkulima hana thamani katika nchi hii. Subiri mfugaji atapopigwa, tena mtu akijitetea, serikali yoooooote itahamia huko, Bungeni hapatakalika.
Ukifoka mkoani Rukwa, katika Wilaya za Namanyere na Sumbawanga Vijijini, unatoa machozi, wameharibu uoto wa asili, maeneo yaliyokuwa yameshona misitu na vichaka sasa ni vumbi, hawaguswi.Ni kweli, wakulima wamechoka kunyanyaswa kwenye ardhi yao, serikali na bunge chukueni hatua, vinginevyo wananchi tutaamini nanyi mko kwenye mgawo wa wafugaji!!!
2014-02-06 18:23 GMT+05:30 Hildegarda Kiwasila <khildegarda@yahoo.co.uk>:
Inabidi katiba iseme kila mtu akae kwake na kutunza ardhi yake kiendelevu. Juzi tu gazeti la Raia TZ limeeleza mfugaji kumpiga mkuki mkulimamKilwa na kumuua na mwenzake alipokwenda kumgombea wakamfunga mikono nyuma na kumtumbukiza mtoni. Bahati walipomtumbukiza kina kilikuwa kifupi akaweza kutoka na kujifungua kamba. Ukienda Monduli, Loliondo etc na Mwanza, Maswa, Magu, Bunda -wanalima mpunga, mahindi, mihogo etc hawalishii mashambani mwao. Wanaweka na miti ya miba mifugo haiingii. Lakini wakifika nje ya maeneo yao ni kulishia maekari mamia kwa usiku na mchnana na kuwachapa fimbo wakulima. Wamefikia kubaka mpaka wanawake tena wazee eti anafukuza ng'ombe zisile kisha anahonga na kutoroka rumande. Kumbaka kizee mikumi mume akafa kwa shock. Mkoa wa |Morogoro ni bread basket ya nchi sasa ni njaa tupu. Mito ya mkoa na ya iringa imetengeneza wetland nzuri kwa kilimo. Mifugo imejaa mapaka ktk miradi ya irrigation schemes japaneese financed. Wetland za za Ulaya, Zombo etc watu hawalimi wafugaji wamehama vijiji walivyopangiwa wameingia maeneo ya makazi ya wakulima. Njaa inaua na rural prostitution na ujambazi unakua. Misitu ya Mkulazi, Kidunda, Mgeta inayotegemewa na dawasa haina outgrowth ardhi ni sakafu nyeupe. Mifugo inakatiza Mikumi town kama ndege kware au kuku. Bado wanatetewa na wanasiasa walafi na wasomi wabinafsi badala ya idara za mifugo na wasomi hao na wanasiasa kuhakikisha kuwa wafugaji wanabadili ufugaji wa kizamani wa kulimbikiza kwa sifa badala yake wanafuga kisasa sustainably. Mifugo ya kuishi ktk mazingira haya yetu imefanyiwa utafiti na taasisi na vyuo vya mifugo. Madawa yapo, insurance ya mifugo ipo, wakichanga pale walipo wanaweza kuomba msaada Tasaf wakapata bwana na kuchangia. Pia tajiri wa mifugo anaweza kuchimba borehole yake akanyweshea mifugo yake na kuwauzia wenzake maji. Tumelogwa. Lakini mbona hatusikii wafugaji mfano kutoka Monduli, Batabi etc huko north kupigana na Wachaga ambao ni jirani zao. Unapita unaona mahindi yamesimama yanaiva na mmasai au mmang'ati anapita mbali sana na mifugo. lakini akifika Ruvu, Chalize, Ngerengere, Mvomero, Mbeya, Kilwa, kisarawe, Rufiji, huko Bakora zinaanza kuwaonea wasiojiweza. Kwa Mchaga na mpare anapita kwa adabu!! Morogoro imechoka uonevu huu unaolelewa na wanasiasa. Maana unafika mahala mifugo inakula, bwana kilimo haruhusiwi kufanya assessment eti inawanywa na hakimu mwenewe. Aibu kuwa kulea uzembe wa namba hii. Hata Bwawa la maji ya kunywa lililohifadhiwa na Tasaf likawekewa mabomba ya matoleo ya maji, wao wanaingia kuoga ndani, kuingiza mifugo bila ya kuzingatia sheria ndogongogo za watumia mahi (Water user association) na za kijiji. Isipoangaliwa na kuweza kupima ardhi na kutoa hati miliki8 vijijini, kuachia land iwe public land kila mtu afanye atakavyo-tutauana kila leo. Watu wa ardhi pia waache kupima mabonde ya kilimo kuyafanya maeneo ya kujenga nyumba. Watu wa uwezo wanajaza mchanga, mawe na kujenga nyumba kuzuia kilimo vizee vinakufa njaa. inawezekana kabisa kuwa na cities with farms. Tuache ushamba kuifanya kibaha yote ni majumba kila shamba ni house plot, Bunju, Ruvu, Kitopeni Bagamoyo, Mkuranga etc ni house plots. Pumba tupu watu wa rural and urban planning. Wamesomea wapi? hata study tour za ulaya haziwasaidii? Wanajali tumboni street yao tu!! Shame on you peolpe na wajengao majengo hayo si watu wenye njaa, mnakula nao. Inakera kujitia umasikini penye raslimali za kutosha na kutesana kwa rushwa ya kuruhusu mapigano ya watu wa livelihood tofauti. Kila mtu akae kwao alikozaliwa au kwa kabila lake basi kama hatuwezi kuacha kuonea wengine kwa kwenda ktk mazingira yao na kuwatesa wewe yako kwenu unatumia upendavyo.
On Thursday, 6 February 2014, 15:30, mngonge <mngonge@gmail.com> wrote:
Yaelekea hawa wananchi wamekwishachoka na sasa wanasema come what may. Hii ni hatari kubwa
--On Thu, Feb 6, 2014 at 1:44 PM, Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com> wrote:
Wakulima wamefunga barabara huko mvomelo na kusababisha vurugu kubwa , chanzo bado hakijajulikana--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.--

0 comments:
Post a Comment