Friday, 14 February 2014

Re: [wanabidii] Lowassa, Sumaye, Ngeleja wajieleza Kamati ya Mangula

ngupula <ngupula@yahoo.co.uk> wrote:

>Bwana Mngonge nimependa maoni yako kama ulivyoyatoa kuhusu Lowassa...huyu jamaa ni muwazi sana na si mnafiki...thats why mimi na wenzangu tunaomjua tunampenda. Hata hivyo sijapenda sentense yako ya jabali la siasa za kuchumia tumbo...nimejiuliza maswali mengi...lakini hata hivyo nikajipa majibu kuwa anyway .kila mwanasiasa hapa duniani at last huchumia tumbo to satsfaction yake..kinachotofautoana ni levels za satsfaction na mtindo wa kuchuma. Ngupula

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:

Post a Comment