Hii ni kweli Bwn Muhingo;
Ujanua inafanana kiutendaji na wauza dawa za kulewa,ukikamata tu aliyeweka tumboni na kumfunga gerezani bila kumtafuta aliyemtuma hakuna kitu umefanya,tunaajiriwa wengine kuendeleza kazi,mana wenye njaa tupo wengi na tumekata tamaa na kufikia ''potelea mabali liwalo na liwe''. siku izi Binadamu tunaogopa zaidi njaa kuliko hata Mungu.
Reuben
From: ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com>
To: "wanabidii@googlegroups.com" <wanabidii@googlegroups.com>
Sent: Tuesday, February 4, 2014 11:46 AM
Subject: Re: [wanabidii] Dk Nchimbi aeleza sababu za kuwajibika
--Wawajibike au wawajibishwe yote sawa. Tembo na faru wetu wanateketea.
Operation Tokomeza haikuwalenga majangili ila watumwa maskini wenye njaa wanaotumwa na majangili kuwinda wanyama hao. Wakikamatwa hao bado hawa majangili wataajili wenye njaa wengine nao wataingia porini na kuwinga tembo na faru.
Operation Tokomeza inapaswa kuwaangalia wale wanaoyasafirisha. ndio wanaowalipa wanaoshika bunduki.
Kama watu hawa wana msaada basi ni kuwakamata na kuwashawishi wawataje waliowatuma. hapo ndio tokomeza inaweza kuzaa matunda. La sivyo ni viini macho na wanyama hao wataendelea kutokomea.
On Tuesday, February 4, 2014 5:33 AM, Telesphor Magobe <tmagobe@gmail.com> wrote:
Nionavyo mimi, hakuna waziri aliyewajibika! Kuwajibika ni pale mtu
anapoona jambo baya linatendeka chini ya utawala wake na kuamua
kuachia ngazi hata kabla tume haijaundwa kuchunguza. Kilichotokea kwa
mawaziri wanne, hakuna aliyejipima hivyo na hivyo hakuna aliyewajibika
kwa maana ya kuona kwamba walishindwa kusimamia vizuri 'Operesheni
Tokomeza' ambayo imekiuka kwa kiwango cha hali ya juu haki za binadamu
na kusababisha mauaji. Hivyo, tusikubali kirahisi kulishwa hii huu
msemo mzuri 'kuwajibika'!
On 2/3/14, ELISA MUHINGO <elisamuhingo@yahoo.com> wrote:
> Majangili watakaotokomeza tembo na faru wako wapi??! Wako maporini wameshika
> bunduki au ni hao waliomaofisini wanaowatuma washika bunduki. Wenye
> makampuni ya utalii kama kinga na uchochoro wa kujificha??
>
> ----------
> Sent from my Nokia Phone
>
> ------Original message------
> From: Abdalah Hamis <hamisznz@gmail.com>
> To: <wanabidii@googlegroups.com>
> Date: Monday, February 3, 2014 8:31:27 AM GMT-0800
> Subject: [wanabidii] Dk Nchimbi aeleza sababu za kuwajibika
>
>
>
> Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Dk Emmanuel Nchimbi amesema yeye pamoja
>
> na mawaziri wenzake watatu walikubali kuwajibika kutokana na makosa
> yaliyofanywa na askari waliokuwa wakitekeleza Operesheni Tokomeza Ujangili.
>
> Dk Nchimbi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini (CCM), alisema
> kuna uhalifu wa hali ya juu katika mbuga za wanyama, ambao baada ya miaka
> 10 unaweza kumaliza wanyama kwenye mbuga hizo.
>
> Akizungumza na wakazi wa Manispaa ya Songea kwenye Viwanja vya Kiblang'oma,
>
> Kata ya Lizaboni Songea katika kilele cha maadhimisho ya miaka 37 ya CCM,
> alisema Serikali ilifanya uamuzi wa kuwasaka majangili na kuwatokomeza.
>
> Alisema katika operesheni hiyo, wananchi wapatao 11 na askari sita waliuawa
>
> jambo lililosababisha matatizo makubwa...
>
> "Baada ya kuonekana raia wamefariki kukatokea ushawishi wa kutaka baadhi ya
>
> watu wabebe dhamana ya askari ambao walionekana hawajatekeleza majukumu yao
>
> inavyotakiwa."
>
> Alisema yeye na wenzake waliwajibika baada ya kutafakari kazi inayofanywa
> na askari katika nchi hii kwani wanalala usiku na kung'atwa na mbu kwa
> ajili ya wananchi, pia wanapambana na majambazi na hata kupoteza maisha
> wakati mwingine wakati wakilinda raia.
>
> Hata hivyo, alimshukuru Rais Kikwete kwa kumpa heshima kubwa ya kumsaidia
> katika kipindi cha miaka minane na kuwatoa hofu watu wa Songea kwa
> kuwahakikishia kuwa kasi ya maendeleo katika jimbo lake haitapungua.
>
> Uteuzi wa Dk Nchimbi na mawaziri wengine Khamisi Kagasheki (Maliasili na
> Utalii), Shamsi Vuai Nahodha (Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa) na Dk David
>
> Mathayo (Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi) ulitenguliwa mwishoni mwa mwaka jana
>
> baada ya malalamiko ya wabunge kutokana na matatizo yaliyojitokeza kwenye
> Operesheni Tokomeza.
>
> *CCM Dodoma waishukia Chadema*
>
> Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Dodoma, Paul Luhamo amewataka wananchi wa
> Dodoma Makulu kukikataa Chadema kwa madai kuwa viongozi wake wanaendekeza
> malumbano ndani ya chama chao.
>
> Akizungumza katika maadhimisho hayo ya miaka 37 ya CCM katika Kata ya
> Dodoma Makulu, Wilaya ya Dodoma Mjini ambayo ni ngome ya Chadema, alitumia
> muda mwingi kuwaponda viongozi wa Chadema kuwa hawana jipya tena.
>
> "Naomba mrudi CCM na kuweni na moyo wa kuchangia michango mbalimbali kwa
> ajili ya maendeleo yenu na watoto wenu hata kama Kata hii inaongozwa na
> Chadema," alisema Luhamo.
>
> http://www.mwananchi.co.tz/habari/Kitaifa/Dk-Nchimbi-aeleza-sababu-za-kuwajibika/-/1597296/2170542/-/do4fsg/-/index.html
>
> --
> Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
>
> Kujiondoa Tuma Email kwenda
> wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha
> ukishatuma
>
> Disclaimer:
> Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal
> consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be
> presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to
> this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
> ---
> You received this message because you are subscribed to the Google Groups
> "Wanabidii" group.
> To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an
> email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
> For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

0 comments:
Post a Comment